Rekebisheni nembo ya Taifa

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Wakuu siku za karibuni nimeona kuna kukosewa kwa nembo ya "bibi na bwana" ile niliyoisoma kwenye maarifa ya jamii. Au labda siku hizi imebadilishwa?


Hii ndio inayotambulika



Hapa ikitumika


Je hizi ni zipi? Au imebadilishwa? Angalia zaidi "bibi na bwana"
πŸ‘†πŸΎπŸ‘†πŸΎ hiyo kwenye jukwaa ni ipi?

Angalia "bibi na bwana" za hapo chini zilivyo





Nafahamu hii ndio sahihi πŸ‘‡πŸΏ



Nawasilisha
Jobless
Akilindogosana


========================
UPDATE
========================
Inasemekana hiyo nembo isiyo na bibi na bwana na mlima Kilimanjaro haupo ni nembo ya Rais tu. Ipo kwenye bendera ya Rais.
 
Huu upuuzi ulifanywa kipindi Cha magufuli hata bendera za taifa ziko mbili ile ya blue bahari na pure Blue

Magufuli hakuwa Mungu alikuwa na makosa yake pia


USSR
Duh! Je wahusika hawapo? Je Aliyechonga anajua nembo halisi? Watu wooooooooooote hao, hakuna aliyegundua hilo, na maposho makubwa wanayopokea ya mamilioni meengi hakuna aliyegundua? Mpaka mimi jobless ndio nigundue 🀣🀣🀣
 
Duh! Je wahusika hawapo? Je Aliyechonga anajua nembo halisi? Watu wooooooooooote hao, hakuna aliyegundua hilo, na maposho makubwa wanayopokea ya mamilioni meengi hakuna aliyegundua? Mpaka mimi jobless ndio nigundue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ilisha letwa humu hasa kuhusu hizo content na maana zake kuwa sasa haionekani

USSR
 
Hao bibi na bwana walisha achana mkuu!
Pia pembe halisi za ndovu walisha zigawana baada ya ndoa kuvunjika kila mmoja kachukua yake kapita hivi.
So wako mtaani wanafanya mambo yao.
Inawezekana upo sahihi. Maana maisha yalivyo magumu itakuwa washaachana siku nyingi. Tena wana kesi ya talaka na kugawana mali, nyumba na kiwanja. Huyo bibi ana mwanaume mwingine na bwana ana mke mpya pisi kaliiiii nyeupe halafu ina tako kubwa.
 
Ilisha letwa humu hasa kuhusu hizo content na maana zake kuwa sasa haionekani

USSR
Duh! Kuna shida mahali. Kama kitu kidogo kama hicho wameshindwa, vipi kuhusu matrillioni ya hela?
 
Kama wamebadili nembo wangetoa taarifa. Je Pascal Mayalla na bagamoyo kuna mabadiliko yoyote ya nembo ya "bibi na bwana"?
Unahitaji akili ndogo sana kama jina laki kutambua kuwa kuna mabadiliko

Haya tazama picha zifutaZo na useme tarifa ilitoka lini walipobdili muonekano toka enzi ya mzee kikwete








Hii ndiyo ya kisasa na yenye mvuto.
 
Aisee somo la uraia ni somo muhimi sana.

Kuna tofauti kubwa kati ya nembo ya taifa na nembo ya raisi. Isiyo na bibi na bwana ni ya raisi ipo pia kwenye bendera yake, kiti, pod na kibao cha gari.

Ila nina lakuongezea kwenye uzi wako kuhusu hizi alama,. Wizara ya elimu inapaswa kuonddoa au kubadili vitabu vinavyosema bendera ya taifa ina rangi ya njano. Hii sio kweli bendera ta Tanzania haina hiyo rangi Njano bali ina rangi ya dhahabu

Pia iweke wazi kuwa kamba inayosimamisha bendera ya taifa ni rangi ya kijani kibichi maana ipo siku tutakutana na manila nyekundu zimesimamisha bendera kwenye mlingoti. πŸ˜‚πŸ˜‚

Isisahaulike mlingoti ni mweusi

Inasikitisha hii elimu huwezi ipata shuleni kabisa na hata baadhi ya waalimu wa uraia nao hawafahamu haya.
 
Huu upuuzi ulifanywa kipindi Cha magufuli hata bendera za taifa ziko mbili ile ya blue bahari na pure Blue

Magufuli hakuwa Mungu alikuwa na makosa yake pia


USSR
Ningependa sana kufahamu ni kwa nini kuliwekwa bibi na Bwana kwenye Nembo yetu, kwa nini isiwe hakuna chochote?
 
Wamesummarize, hamna mlima wala bibi na bwanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duh kumbe kuna nembo ya nchi na nembo ya Rais.


Na ile ni rangi ya bendera ni ya dhahabu? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ.


Leo nimejua sijui. 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…