Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Then they are right, ile ni nembo ya rais.View attachment 2637031
Inawezekana upo sahihi. Maana hiyo ndio bendera ya rais. Bibi na Bwana washaachana na mlima Kilimanjaro umeng'oka
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then they are right, ile ni nembo ya rais.View attachment 2637031
Inawezekana upo sahihi. Maana hiyo ndio bendera ya rais. Bibi na Bwana washaachana na mlima Kilimanjaro umeng'oka
Ok, kwa hiyo hili lilikuwa kosaThen they are right, ile ni nembo ya rais.
P
Inaitwa bendera ya IKULU mkuu,
Hii hapa ni nembo ya Rais.
Ndio hivyo iite Nembo ya Ikulu, Bendera ya Ikulu au Bendera ya Rais vyote sawa,Naona kama upo sahihi. Maana kwenye bendera ya Rais. Bibi na Bwana washaachana na mlima haupo.
No rais ana uhuru wa ama kutumia nembo ya taifa au kutumia nembo ya rais, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, hawakutumia nembo yoyote!, hawakutembea na podium wala kiti!.Ok, kwa hiyo hili lilikuwa kosaView attachment 2637039
😂😂Mlima umeng'oka
Bibi na Bwana washaachana
🤣🤣
Bibi na bwana kuwa nchi hii inajengwa na wanaume na wanwake Kwa umoja.Ningependa sana kufahamu ni kwa nini kuliwekwa bibi na Bwana kwenye Nembo yetu, kwa nini isiwe hakuna chochote?
Aisee somo la uraia ni somo muhimi sana.
Kuna tofauti kubwa kati ya nembo ya taifa na nembo ya raisi. Isiyo na bibi na bwana ni ya raisi ipo pia kwenye bendera yake, kiti, pod na kibao cha gari.
Ila nina lakuongezea kwenye uzi wako kuhusu hizi alama,. Wizara ya elimu inapaswa kuonddoa au kubadili vitabu vinavyosema bendera ya taifa ina rangi ya njano. Hii sio kweli bendera ta Tanzania haina hiyo rangi Njano bali ina rangi ya dhahabu
Pia iweke wazi kuwa kamba inayosimamisha bendera ya taifa ni rangi ya kijani kibichi maana ipo siku tutakutana na manila nyekundu zimesimamisha bendera kwenye mlingoti. 😂😂
Isisahaulike mlingoti ni mweusi
Inasikitisha hii elimu huwezi ipata shuleni kabisa na hata baadhi ya waalimu wa uraia nao hawafahamu haya.
Bendera ya rais ina rangi ya kijani na huzungukwa na ushoroba wa njano huku katikati kukiwa na nembo ya taifa inaoneka kwenye gari alilomo rais ,ikulu pia ofisiniDuh kumbe kuna nembo ya nchi na nembo ya Rais.
Na ile ni rangi ya bendera ni ya dhahabu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1544][emoji1544].
Leo nimejua sijui. [emoji1787]
Hakuna nembo ya Rais mkuuKwa vile kuna bendera ya taifa na bendera ya rais, labda pia kuna nembo ya taifa na nembo ya rais!.
P
So hapa kuna limkandarasi lilipewa hii tendaNo rais ana uhuru wa ama kutumia nembo ya taifa au kutumia nembo ya rais, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, hawakutumia nembo yoyote!, hawakutembea na podium wala kiti!.
P
Mpuuzi mwenyeweeHuu upuuzi ulifanywa kipindi Cha magufuli hata bendera za taifa ziko mbili ile ya blue bahari na pure Blue
Magufuli hakuwa Mungu alikuwa na makosa yake pia
USSR
Nimeielewa hii.Bibi na bwana kuwa nchi hii inajengwa na wanaume na wanwake Kwa umoja.
Pembe za ndovu ni kielelezo Cha mali asili hasa wanyama na mimea
Pamba na karafuu mazao ya biashara karafuu Zanzibar na pamba bara
Bendera ya taifa inawakilisha uhuru wetu
Mawimbi ya bahari inawakilisha vyanzo vya maji ,mito,maziwa na bahari
Ngao na mkuki ni zana za kulinda taifa
Maneno" uhuru na umoja " ni kauli mbia ya muda wote ya kitaifa
Kilelel Cha mlima Kilimanjaro inawakilisha fahari ya kitaifa ,mlima mrefu zaidi afrika
Rangi nyekundu inawakilisha ardhi yenye rutuba
Rangi ya njano inawakilisha madini mengi yaliyopo Tanzania
Jembe na Nyundo ni alama za wafanyakazi (Nyundo) wakulima (jembe)
USSR
"Pascal Mayalla, tofauti ya matumizi ya nembo hizi mbili ni nini? Wapi Rais anatumia nembo ya taifa na kwa nini na wapi anatumia nembo ya Rais na kwa sababu gani..Then they are right, ile ni nembo ya rais.
P
Ooohooo!Teeenaaa?Achana nalo hilo jambo.Utaambiwa hawezi kujitetea.Naenda Chato kutoa adhabu kwenye kaburi la aliyeiharibu nchi
Hii nchi ina watu wengi sana ambao sio raia halisi ambao wanahudumu maeneo nyeti na wanafanya mambo kihuni sanaAisee somo la uraia ni somo muhimi sana.
Kuna tofauti kubwa kati ya nembo ya taifa na nembo ya raisi. Isiyo na bibi na bwana ni ya raisi ipo pia kwenye bendera yake, kiti, pod na kibao cha gari.
Ila nina lakuongezea kwenye uzi wako kuhusu hizi alama,. Wizara ya elimu inapaswa kuonddoa au kubadili vitabu vinavyosema bendera ya taifa ina rangi ya njano. Hii sio kweli bendera ta Tanzania haina hiyo rangi Njano bali ina rangi ya dhahabu
Pia iweke wazi kuwa kamba inayosimamisha bendera ya taifa ni rangi ya kijani kibichi maana ipo siku tutakutana na manila nyekundu zimesimamisha bendera kwenye mlingoti. 😂😂
Isisahaulike mlingoti ni mweusi
Inasikitisha hii elimu huwezi ipata shuleni kabisa na hata baadhi ya waalimu wa uraia nao hawafahamu haya.
Kiukweli kuna vitu mimi sivijui, mfano tulipoungana na Zanzibar kuunda serikali ya JMT, tulikuwa na bendera moja ya JMT na wimbo mmoja wa taifa wa JMT, na JMT ina katiba moja ya JMT, inayosema Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar na kuielezea Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani. Mwaka 2010 kukafanyika mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na kuitambulisha Zanzibar kuwa ni nchi, na ni moja ya nchi mbili zilizounda JMT, baadae kukatokea na wimbo wa taifa wa Zanzibar, baadae kukatokea na bendera ya Zanzibar, japo mabadiliko hayo ya katiba ya Zanzibar, katiba ya JMT haiyatambui lakini yapo!. Mpaka sasa bado siijui status ya Zanzibar ni nini?!."Pascal Mayalla, tofauti ya matumizi ya nembo hizi mbili ni nini? Wapi Rais anatumia nembo ya taifa na kwa nini na wapi anatumia nembo ya Rais na kwa sababu gani..
Je, wananchi wananufaika nini na mabadiliko ya matumizi ya nembo pale zinapotumika tofauti..pse!