Rekebisheni nembo ya Taifa

Rekebisheni nembo ya Taifa

Huu upuuzi ulifanywa kipindi Cha magufuli hata bendera za taifa ziko mbili ile ya blue bahari na pure Blue

Magufuli hakuwa Mungu alikuwa na makosa yake pia

USSR
Acha uwongo wewe; kuna bendera ya Rais na bendera ya taifa. Kama ulikuwa hujui hivyo basi tunakufahamisha uelewe. Siyo kila ukiamka wewe kazi yako ni kulaumu Magufuli tu.

Unaiona hiyo bendera iliyo mbele ya Kikwete enzi zake?
1685234423894.png

Unaina hiyo bendera iliyo nyuma ya Mkapa enzi zake?

1685234466423.png

Hizo zote ziliwekwa na Magufuli?
 
Duh! Je wahusika hawapo? Je Aliyechonga anajua nembo halisi? Watu wooooooooooote hao, hakuna aliyegundua hilo, na maposho makubwa wanayopokea ya mamilioni meengi hakuna aliyegundua? Mpaka mimi jobless ndio nigundue 🤣🤣🤣
Kuna waziri alituletea sanamu ya Nyerere anayefanana na Bujibuji Simba Nyamaume au umesahau?
 
Duh kumbe kuna nembo ya nchi na nembo ya Rais.

Na ile ni rangi ya bendera ni ya dhahabu? 🤣🤣🤣🙌🏿🙌🏿🙌🏿.

Leo nimejua sijui. 🤣
Nembo ya nchi ina watu wameshikilia pembe za ndovu wakati nambo ya rais ina pembe bila watu waliozishika.

Bendera ya nchi ndiyo kama ile tunayoijua, wakati bendera ya rais ni ya kijani iliyozungukwa ulna rangi ya blue, huku katikati ikiwa na nembo ya rais.

Bendera ya rais
images.png
 
Wakuu siku za karibuni nimeona kuna kukosewa kwa nembo ya "bibi na bwana" ile niliyoisoma kwenye maarifa ya jamii. Au labda siku hizi imebadilishwa?

Hii ndio inayotambulika
View attachment 2636923

Hapa ikitumika

View attachment 2637046
Je hizi ni zipi? Au imebadilishwa? Angalia zaidi "bibi na bwana"
View attachment 2636927👆🏾👆🏾 hiyo kwenye jukwaa ni ipi?

Angalia "bibi na bwana" za hapo chini zilivyo
View attachment 2636927View attachment 2636929View attachment 2636930View attachment 2636931View attachment 2636932View attachment 2636933

Nafahamu hii ndio sahihi 👇🏿
View attachment 2636935

Nawasilisha
Jobless
Akilindogosana

========================
UPDATE
========================
Inasemekana hiyo nembo isiyo na bibi na bwana na mlima Kilimanjaro haupo ni nembo ya Rais tu. Ipo kwenye bendera ya Rais.
View attachment 2637045
Hiyo isiyo ni bibi na bwana ni nembo inayokaa kwenye bendera ya rais inavyoonekana na kwenye vitu vyote vya rais mfano podium, kiti na meza, gari n.k
 
Wakuu siku za karibuni nimeona kuna kukosewa kwa nembo ya "bibi na bwana" ile niliyoisoma kwenye maarifa ya jamii. Au labda siku hizi imebadilishwa?

Hii ndio inayotambulika
View attachment 2636923

Hapa ikitumika

View attachment 2637046
Je hizi ni zipi? Au imebadilishwa? Angalia zaidi "bibi na bwana"
View attachment 2636927👆🏾👆🏾 hiyo kwenye jukwaa ni ipi?

Angalia "bibi na bwana" za hapo chini zilivyo
View attachment 2636927View attachment 2636929View attachment 2636930View attachment 2636931View attachment 2636932View attachment 2636933

Nafahamu hii ndio sahihi 👇🏿
View attachment 2636935

Nawasilisha
Jobless
Akilindogosana

========================
UPDATE
========================
Inasemekana hiyo nembo isiyo na bibi na bwana na mlima Kilimanjaro haupo ni nembo ya Rais tu. Ipo kwenye bendera ya Rais.
View attachment 2637045
Nilitaka nikujibu hivyo kama ulivyofanya update! Huo ndio ukweli, Rais huwa na nembo yake na pia huwa na bendera yake kwa rangi anayoipenda! Naona maarifa yako ya jamii haikukupa vyote!
 
Nembo ya taifa ni miongoni mwa tunu za taifa; hata kama ni suala la rebranding utaratibu sahihi ukitakiwa uzingatiwe.

Kuna haja ya kutunga sheria ya kulinda tunu hizi kuepusha wenye mamlaka kujifanyia wapendavyo! Ikiwezekana iwe suala la kikatiba kama ambavyo Rasimi ya Warioba inapendekeza.
Mbona sheria ipo? Huyo mwamba amejichanganya tu, nembo ya taifa haijabadilika hata siku moja!
 
Back
Top Bottom