Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Acha uwongo wewe; kuna bendera ya Rais na bendera ya taifa. Kama ulikuwa hujui hivyo basi tunakufahamisha uelewe. Siyo kila ukiamka wewe kazi yako ni kulaumu Magufuli tu.Huu upuuzi ulifanywa kipindi Cha magufuli hata bendera za taifa ziko mbili ile ya blue bahari na pure Blue
Magufuli hakuwa Mungu alikuwa na makosa yake pia
USSR
Unaiona hiyo bendera iliyo mbele ya Kikwete enzi zake?
Unaina hiyo bendera iliyo nyuma ya Mkapa enzi zake?
Hizo zote ziliwekwa na Magufuli?