Rekebisheni nembo ya Taifa

Nembo ya taifa ni miongoni mwa tunu za taifa; hata kama ni suala la rebranding utaratibu sahihi ukitakiwa uzingatiwe.

Kuna haja ya kutunga sheria ya kulinda tunu hizi kuepusha wenye mamlaka kujifanyia wapendavyo! Ikiwezekana iwe suala la kikatiba kama ambavyo Rasimi ya Warioba inapendekeza.
 
Duh! Kumbe ni tunu kabisa.

Labda wameibadilisha?
 
Hio kwenye Podium ya Ikulu ni Nembo ya Ikulu mzee sio Nembo ya Taifa unakwama wapi ?
Naona kama upo sahihi. Maana kwenye bendera ya Rais. Bibi na Bwana washaachana na mlima haupo.




Lakini zamani Marais walitumia ile nembo ya taifa
 

Hii hapa ni nembo ya Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…