Heshima mbele wadau
Najua hapa kuna manguli wa kutosha na wazee wa kusuka private cars pale wanapofanya safari.
Kuna wazee wa Druti za Dar - Arusha, DOM-DAR, DOM -MBEYA, DAR MWANZA. Wakati tukielekea msimu wa likizo mwezi Disemba.
Share uzoefu wako, ni safari gari umewahi kwenda kwa muda mfupi sana kuliko kawaida mpaka mwenyewe ukashangaa.
Mfano Mimi majuzi nimetoka Dodoma kwenda Mwanzam nilitoka Dodoma saa tisa na nusu alasiri (15.30hrs) na kuingia mwanza saa nne na nusu usiku (22:00hrs) ikiwa ni masaa 7 tu.
Binafsi sikuwahi kuendesha gari ruti hii kwa muda mfupi kama huu. Unaweza share na uzoefu wako.
Nawasilisha wanabodi