Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

Nilikuwa mbinafsi, sikatai. Ama "anti-social" naweza jiita hivyo, japo sikuchukiq wengine. Nilikuwa mpole tu na kujitenga tenga mwenyewe, tangu nikiwa mdogo mpaka utu uzima, pale chuoni. Ni hulka niliyokuwa nayo ama tabia ya ngozini. Lakini nakiri imeniathiri kijamii, nikashindwa kuwa na jumuiya ya watu kwenye mtandao wangu wa watu. Ndicho nachojaribu kukiweka sawa hivi sasa. Ili nitoke kwenye hii hali.
 
K

Kwa sasa nipo na civil contractor. Hawana kazi nyingi na za mara kwa mara. Kazi husimama hasa baada ya malipo ya serikali kusuasua. Sio mahali pa kutegemea.
 
K

Kwa sasa nipo na civil contractor. Hawana kazi nyingi na za mara kwa mara. Kazi husimama hasa baada ya malipo ya serikali kusuasua. Sio mahali pa kutegemea
Ahsante sana ndugu. Leseni ya udereva ninayo pia. Hizo websites za hiyo migodi, nakesha humo siku nzima wiki hadi wiki.
 
japo tayari umeshasoma ila ulibug sana kusoma engineering geology,

vp akina lupogo hawakukukamata, kessy, mshiu et al, ulitoboa miaka yote bila sup.
Umenikumbusha mbali akina elisante mshiu

Alafu jamaa asipanick mbona rekodi yake ya kawaida wapo waliotoka primary miaka ile ya shule za kata kuanzishwa na akapangiwa iyunga tech na ufaulu mzuri sana advance lakn yupo mtaani

Mm niliajiliwa nikiwa na miaka 32 ni asikate tamaa tu
 
Mwanangu alipomaliza sekondari na kuchaguliwa kwenda High School nilimwambia aache ujinga huo nikamfungulia duka la jumla Leo mwaka wa tano kajenga ana gari mke na watoto wawili na hua mara moja moja hunipa Hela ya ''ugoro''😁
Kazi ya kuajiriwa utaipata ndotoni kama huna ndugu waziri.
 
Mimi pia shuleni nilikuwa nafaulu na sifa yangu nyingine nilikuwa muombaji nakumbuka nilishawahi hadi kumuombea mkuu wa shule alipopagawa na pepo lakini yote hayo hewa tu sina ajira hadi sasa
Aiseee Jf sihami kabisa…japo huu ni uzi wa huzuni lakini hii comment imenichekesha sana aiseeeee
 
Duuu noma sana Jf
 
Kaa ukijua watoto wa siku izi hawapendi kupangiwa pangiwa mambo! Unaweza kuwa unamhangaikia kwa yote hayo lakini yeye akawa na interest ya kuwa producer wa muziki
 
Utakuwa kipanga wa wastani, ila utafanikiwa tu dogo. Never give up.
 
Duuuh ila ndo maana tunatofautiana, kwa hizo akili kama kweli zimo basi ondoa fikra za kuajiriwa, ingia chimbo jiajiri kwa sasa ajira ni kujuana tu, vilaza kibao wapo maofisini sio kwamba wana uwezo, lahasha wana connection

Mie nlikua na track nzuri nadhan zaidi hata yako lkn nikaona education was too simple and easy, so I left and went to seek something more challenging

Go employ yourself mzee
 
Wewe ni mimi mtupu... Tangu nipate ujasiri wa kujiajiri from the scratch saizi nakula matunda ya ujasiri wangu na bado nazidi kujibrand zaidi kufika level za juu. Vyeti vipo tu kabatini vinasubiri panya mwenye uchu navyo

Kinachoua ndoto za wahitimu wengi ambao kupata kwao ajira ni ngumu ni ule ujasiri wa kuweka vyeti pembeni na kujichanganya mtaani kwa wasiojua kama umesoma

Kijana mwenzangu amka
 
Hakika mkuu.
 
Hapa ulikosea sana sana mkuu hukutakiwa kuonea huruma ndugu kwa kipindi hiki

Binafsi Cv yangu inafanana na yako sema mimi nimekutangulia na nilisomea ualimu target yangu ikiwa nipate šŸ’Æ ya mkopo wa kujikimu kutokana na life ilivyongumu home

Nilipiga GPA nzuri tu ila kwakuwa Boom ndio ilikuwa target yangu nilianza kujishughulisha na biashara nikiwa chuoni na ile pesa ya boom. Mimi kwangu ilikuwa tofauti ndugu hakulamba hata mia japo najua wanateseka kweli

Nilijua sina connection ya kitu ninachosomea japo najua ajira kila mwaka zinatoka. Nashukuru Mungu kabiashara kangu nimesota nako toka namaliza chuo hadi sasa

Ila bado hujachelewa unao muda wa kupambana na kuimarika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…