DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
nakupenda sanaVigezo ni vile vya kawaida mkuu wangu kwa sasa wapo dasalam na kama unahitaji takujuza mda rasmi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakupenda sanaVigezo ni vile vya kawaida mkuu wangu kwa sasa wapo dasalam na kama unahitaji takujuza mda rasmi
Kuna mtu anasemaga kwa kuwa wewe ni role modal wangu..Mzee wa mshangazi umeamua kutoa tag inapendeza🤔😐
Nadhani hii comment yako ndo comment bora
Nilishagakukataza kugombana.Jiheshimu mkuu
Sikujua kama una akili kiasi hiki, nisamehe sana tatizo nyege zinanisumbua sana.Njoo hapa tufanye kazi kijana usilalamike sana..
Mchongo upo hivi. Kampuni yetu unafanya kazi kwa siku ni 15000 hyo kwa ajili ya kula..
Akini pia mwisho mwezi unapewa chako kama kawaida yaani mshahara..
Sasa kazi ipoje.. kuwa mpole...
Kwanza hii kampuni yetu unajihusisha na uuzaji wa blue band. Na biadhaa nyingine kama mafuta pamoja na majiko ya gesi.
Kazi unafanya vipi. Utapata maelekezo ofisini.
Je ukiulizwa nyumbani unafanya nini jibu ni..... Bussness manager
Mkuu pesa ipo huku hatuzunguki sana mda mwingi upo kwa gari.
Ikitokea root ya mkoani utainjoi sana sana sana tena sana.
Kama ni mtu wa totoz mkuu hapa ndo.mahari pake mkuu..
Karibu sana mkuu.
Your warmly welcome
Take heart Mjolo mwenzangu..Mungu atafanya njia na kutenda kwa wakati. Umemaliza mwaka gani??Habari wana jukwaa. Kwa kweli hivi sasa bila connection ni ngumu kupata kazi, vinginevyo Mungu aingilie kati. Binafsi kwa neema ya M/Mungu nimefanikiwa kuwa nahistoria ya kufanya vizuri darasani, na kuwa mwanafunzi bora kuanzia nilipokuwa shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Historia yangu kwa ufupi ipo hivi.
Primary
Ufaulu mzuri nikapangiwa kwenda sekondari, japo ni ya kata, wakati huu ndo shule za kata zimeanzishwa kwa wingi, hivyo hata wenye ufaulu mzuri walipelekwa shule hizi ili kufidia gap la wanafunzi
Sekondari
Nilifanya vizuri sana. Nimekuwa mwanafunzi namba moja darasani tangu kidato cha kwanza mpaka cha nne na nikafanikiwa kuzawadia cheti cha mwanafunzi bora na uongozi baada ya kufanya vizuri kwa miaka yote minne ya sekondari.
Nikafaulu kwa ufaulu wa daraja la kwanza, nikiwa mwanafunzi pekee darasa nzima la wanafunzi 138 mwenye daraja la kwanza na nikapangiwa kwenda Advance kwa mchepuo wa PCM (Physics, Chemistry, Advance Math)
Advance
Hapa napo sikukaa kizembe, katika darasa la wanafunzi 38, kidato cha tano na cha sita vyote nilikuwa mwanafunzi namba moja ama namba mbili kwenye mitihani ya terms na kikanda. Katika wanafunzi 38 wa PCM, wanafunzi 2 pekee tukafanikiwa kupata Div I. Hivyo moja kwa moja tukapangiwa chuo kikuu, na wote tulikwenda chuo kimoja, UDSM (University of Dar Es Salaam)
Chuo Kikuu.
Nikasomea program ya engineering (Engieering Geology), ni program ya miaka minne. Kwa ufupi hapa shule ilikuwa ngumu sana, ukijumlisha na changamoto za kifedha, lakini historia ya nyuma ya shule ilinibeba nikapata mkopo wa serikali 100%. Chuoni tulianza wanafunzi 14, lakini tuliobahatika kumaliza mpaka mwaka wa mwisho ni wanafunzi 6, na katika hao sita, ni mimi pekee nilifanikiwa kufaulu kwa kiwango cha juu kidogo ukilinganisha na wenzangu cha Second class honors, Upper division ambacho na hakika si kiwango haba kutokana na ugumu wa program husika.
Hio ndo historia yangu ya shule kwa ufupi sana, nimeelezea matokeo tuu, sijaelezea matukio. Lakini nasikitika kuona kwamba rekodi hio haijawa na mchango chanya kuniwezesha kupata kazi. Mpaka sasa kijana natangatanga, hapa na pale. Nipo wazi kufanya kazi kwenye migodi ya uchimbaji, kampuni za ujenzi wa majengo na barabara. Na kwa sasa nina leseni ya ulipuaji (blasting licence for both Open pit & Underground mining)
Hahah! Ama hakika kupata kazi zama hizi connection... Wakuu nipeni CONNECTION!! Umri ni miaka 27.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽✊🏿Kuna mtu anasemaga kwa kuwa wewe ni role modal wangu..
Et vingi navyofanya nimekuiga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Ni kweli kabisa! Niliishi maisha ya kujitenga(ama kujiona special/introvert) tofauti na wenzangu. Kumbe najiangamiza mwenyewe.Ukiangalia record yako ya ufaulu kwa maoni yangu inaonesha trend mbovu ya mahusiano tangu shuleni.
O-level umepata div one peke yako kati ya watu 138
A-level mmepata div one wawili tu
Na chuo trend ni the same.
Connections huwa zinaanza kujengwa level za primary, mtu anaweza asiwe na uwezo mzuri sana class ila ana connections ambazo ukiwa na mahusiano mazuri anaweza kukuconnect na watu ukapata unacho hitaji.
Matokeo na ufaulu wako yanaakisi kiwango flani cha ubinafsi wa kujitenga na kutotaka kushare knowledge na wenzio nao wakafanya vizuri nadhani ni sababu kubwa unastruggle kupata japo ajira pamoja na ufaulu mzuri.
Watu wa aina yako mara nyingi ikitokea hawajabebwa na matokeo yao kwenye kazi/maisha huwa wanapitia unachopitia.
Hujachelewa, change mindset yako, ongeza kiwango chako cha interaction na watu mtaani bila kujali status zao sana ilimradi unaona wanaweza kukuvusha kwa jambo lako.
Ile mindset ya shule kutaka kufaulu prke yako mtaani haiko relevant. Mtaani we ukifanikiwa haizuii mtu mwingine kufanikiwa bali ili ufanikiwe zaidi unahitaji kuzungukwa na walio fanikiwa zaidi pia.
Ukiwa matured utagundua kuwa Maisha ya mtaani ni about improving and helping each other na si kushindana. Mtaani, matokeo ya jitihada za mtu yanategemea zaidi volume ya watu ulionao (network) wakati shule unaweza komaa kivyako na ukatoka na flying colors.
Ndiyo ninaweza, vizuri kabisa. Insha' Allah!...Naomba nipe maelekezo.
Hongera kwa kuhitimu. Kwa ujuzi ulionao, unaweza ukaangalia aina fulani ya mwamba na kuutambua kuwa una madini? Kama ni ndiyo, njoo tuanze kukagua miamba miwili mitatu; baada ya hapo tunaweza kupata mtaji ata wa milioni mia mbili, kwa sababu tutauza hayo madini na mtaji utapatikana. Kama ni hapana, elimu itakuwa haitatui kero zaidi ya kuwa na wingi wa karatasi.
Amin! Amin! Ahsante sana.Kijana, kwanza hongera.
Pili, usikate tamaaa hata siku moja. Kaa chini mshukuru Mungu bado unanguvu na akili. Unaweza kuishi kwa namna yoyote ile na sio lazima uajiriwe. Fikiria cha kufanya mbali na kufikiri kuajiriwa. Wewe ni mpambanaji... kama uliweza pambana darasani naamini hutashindwa pambana katika chochote mbele yako. Waza cha kufanya na Mungu atakuwa upande wako. Mara nyingi Shetani huzuia riziki za mtu.... mtumainie Mungu ukiendelea kupambana.
Ahsante sana mkuu! InshaAllah nitafika huko.Mimi nilimaliza form4, nikapata dv3 na comb ilibalanc lkn sikuchaguliwa kwenda 4m5, nikapangiw chuo ada ikawa kizungumkuti, nikapiga moyo konde nikaingia mtaani in early 17'yrs nikaanza kuexpirience msoto wa mtaa, nikawa nazurura mtaani nusu niwe chizi, ila n0w maisha yameflow on it's line namilik gheto kali vijisenti vipo, so wewe ambae angalau ulifanikiwa kuifikia elimu ya juu mshukuru Mungu, weka vyeti pembeni, tafuta biashara yeyote fanya, kazi yeyote ngumu ambayo ni halali fanya yani usichague kazi, wewe bado hujapitia msoto kama wangu.. sali sana na fanya kazi kwa bidii 0ne day utasahau shida zote.....Naandika comment hii nikiwa ndani ya gari yangu (Mercedez-benz) 🙏🙏🙏🙏
Mkuu! Hali zetu za kifamilia zilitufanya tusibakishe hata senti 1 ya ule mkopo wa baada ya miezi miwili ya kila semister. Kutokana na kwamba ukipokea mkopo ndo huohuo unatuma nyumbani kwa wazazi/ndugu. Nao pia wapate ahueni, utaweza vipi kusave hapo na kufanya biashara. Binafsi ilikuwa ngumu mno kufanya hivyo.Yaani wewe jamaa umenikera sana .
Mkopo asilimia 100% ukahindwa kujiajri.
Kweli usilaumu elimu ,jilaumu wewe hapo
Mwamba upi umeuona tukiupasua lazima tupate dhahabu?Ndiyo ninaweza, vizuri kabisa. Insha' Allah!...Naomba nipe maelekezo.
SI kweli kwamba nina hiyo miaka. Umri nilioutaja ni sahihi kabisa. Hata miaka hiyo nilipomaliza primary, bado wito wa kwenda shule za kata ulikuwa bado ni mkubwa.Kitu kama hicho rafiki, wekapo miaka 7 kabla ya s/msing na miaka 7 baada ya s/m hapo aseme anaelekea 40yrs.
Halafu wakat anamalza chuo nna uhakika kwa kiwango chake cha ufaulu na rekod yake tangu s/m, migod mikubwa kama GGM na Buzwag wangekua washa mgongea/ kumwekea oda kabla hata hajamaliza chuo labda kama fields zake alikua anazifanyia kwenye tumigod tudogo tudogo coz najua walokua wanapga fd migod mikubwa na wakaonyesha uwezo mkubwa walikua wanakua booked mapema sana.
Kitu kimoja tuwekane sawa hapa, practical sio theory na theory sio practcal so unaweza kua mzuri kwenye makaratas halafu ukawa wa hovyo unapopewa mashine ufanye kaz.
Ushauri, kuna watu hawana hata chet cha la7 ila n wakemia migod midogo ya uchenjuaji madn (dhahabu) maarufu kana migod ya kuozesha (vat reaching plants) nenda kajifunze hyo fan for free kikubwa uwe na hela yako ya kula wskat wa mafunzo. Migod mingine mtu kama wewe unaweza kwenda kujfunza ni elution plants na sp plants.
Geology mnasoma miamba halafu unakua na njaa kweli?? Kwahyo hujui jinsi ya kuipata miamba ya dhahabu eti? Au umesomea miamba ya chumvi? Tafta mashine za kufanyia survey ya miamba (we unajua mnafanyaje) ukipata hyo mashine nenda machakani huko katafte miamba ukiipata nenda ofis za madini omba resen ya kuchimba umiliki claim (kilempu, kwa kibongo bongo). Then tafta mtu mwenye mtaji mkachimbe hizo dhahabu. Kumbuka uki claim eneo hata la kituo cha afya au police unaweza kuwalipa wenye eneo wakahama we ukapiga kaz kama huwez kuwalipa bas mtagawana dhahabu. NB NB NB Vipimio vya miamba vipo had vya laki na nusu
Shukrani mkuu!Nenda Ajiraportal omba hizi nafasi then uendelee na kutafuta vijiwe vya kupata hela ya kula.View attachment 3151584
Ahsante!Kazi zinahitaji connection ni kweli lakini connection unazitengeneza mwenyewe.
Kwa mfano,
1. kuna maonyesho ya uchimbaji wa madini kila mwaka je umewahi kuhudhuria angalau ukijua ni makampuni yapi yapo kwenye imdustry yako na yanafanya nini wapi.. Ukachukua na business card na ukafanya soft approach.
2. Kuna wanafunzi wenzio ambao walikuwa wamekutangua au mmemaliza pamoja na wamepata kazi. Je unawasiliana nao na kuwatembelea? Tembelea rafiki zako walioko kazini watakukutanisha na watu wengine kwenye industry.. Unatengeneza connection.
3. Kuna lecturers zako wa vyuo. Ulikuwa na uhusiano mzuri unawasiliana nao. Wale wana connection nyingi tu.
Connection zinatengenezwa hakuna aliye zaliwa akiwa ana ana connection, labda watoto wa viongozi ambao ni wachache sana.