Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

Daaaaah[emoji24]
Habari wana jukwaa. Kwa kweli hivi sasa bila connection ni ngumu kupata kazi, vinginevyo Mungu aingilie kati. Binafsi kwa neema ya M/Mungu nimefanikiwa kuwa nahistoria ya kufanya vizuri darasani, na kuwa mwanafunzi bora kuanzia nilipokuwa shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Historia yangu kwa ufupi ipo hivi.

Primary

Ufaulu mzuri nikapangiwa kwenda sekondari, japo ni ya kata, wakati huu ndo shule za kata zimeanzishwa kwa wingi, hivyo hata wenye ufaulu mzuri walipelekwa shule hizi ili kufidia gap la wanafunzi

Sekondari

Nilifanya vizuri sana. Nimekuwa mwanafunzi namba moja darasani tangu kidato cha kwanza mpaka cha nne na nikafanikiwa kuzawadia cheti cha mwanafunzi bora na uongozi baada ya kufanya vizuri kwa miaka yote minne ya sekondari.

Nikafaulu kwa ufaulu wa daraja la kwanza, nikiwa mwanafunzi pekee darasa nzima la wanafunzi 138 mwenye daraja la kwanza na nikapangiwa kwenda Advance kwa mchepuo wa PCM (Physics, Chemistry, Advance Math)

Advance

Hapa napo sikukaa kizembe, katika darasa la wanafunzi 38, kidato cha tano na cha sita vyote nilikuwa mwanafunzi namba moja ama namba mbili kwenye mitihani ya terms na kikanda. Katika wanafunzi 38 wa PCM, wanafunzi 2 pekee tukafanikiwa kupata Div I. Hivyo moja kwa moja tukapangiwa chuo kikuu, na wote tulikwenda chuo kimoja, UDSM (University of Dar Es Salaam)

Chuo Kikuu.

Nikasomea program ya engineering (Engieering Geology), ni program ya miaka minne. Kwa ufupi hapa shule ilikuwa ngumu sana, ukijumlisha na changamoto za kifedha, lakini historia ya nyuma ya shule ilinibeba nikapata mkopo wa serikali 100%. Chuoni tulianza wanafunzi 14, lakini tuliobahatika kumaliza mpaka mwaka wa mwisho ni wanafunzi 6, na katika hao sita, ni mimi pekee nilifanikiwa kufaulu kwa kiwango cha juu kidogo ukilinganisha na wenzangu cha Second class honors, Upper division ambacho na hakika si kiwango haba kutokana na ugumu wa program husika.

Hio ndo historia yangu ya shule kwa ufupi sana, nimeelezea matokeo tuu, sijaelezea matukio. Lakini nasikitika kuona kwamba rekodi hio haijawa na mchango chanya kuniwezesha kupata kazi. Mpaka sasa kijana natangatanga, hapa na pale. Nipo wazi kufanya kazi kwenye migodi ya uchimbaji, kampuni za ujenzi wa majengo na barabara. Na kwa sasa nina leseni ya ulipuaji (blasting licence for both Open pit & Underground mining)
Hahah! Ama hakika kupata kazi zama hizi connection... Wakuu nipeni CONNECTION!! Umri ni miaka 27.
 
Ndiyo maana mi mtoto wangu nimempangia asome mwisho form 4 then peleka SUA akasomee KILIMO NA UFUGAJI then akiwa anaingia Degree namuanzishia duka la pembejeo akimaliza nauza viwanja viwili namfundisha kufuata madawa ya mifugo na shambani KENYA NA CHINA likiwa pumbafu shauri lake nahamia kwa mdogo ake.
KAMA UMEPENDA HUU MPANGO WANGU GONGA LIKE TWENDE WOTE
Sometimes maisha inabidi ugawanye kwa njia fupi maana ukilazimisha kwa njia ndefu utaishia kuzurura tu mtaani
 
Usikate Tamaa hata Mimi Nina record Kama yako, tofauti me ni upande wa arts, licha ya ufaulu mkubwa chuo nikasoma ualimu mwaka wa tatu sasa sijui cha jufanya nimepiga Boda nknikachoka nimefanya kadi za ujenzi nkaachoka nikaenda Veta mwaka Jan welding nkamaliza napiga kazi sipati nitakacho ilaa sikati tamaa ipo Siku bado miaka 26 inatia huzuni
 
Utatoka mkuu ulituma hizi ajira za karibuni.
 
Sio kipindi zinaanza rasmi. Lakini ilikuwa ni kipindi ambacho bado shule za kata zinapewa kipaumbele sana. Mwaka 2010 ( Std 7)
Mm mwenyewe kama wewe 2010 std 7, 2014 4m 4, 2017 4m 6, 2018 self study in computer studies, 2019 DIT went home for health issues, 2021 totally left at DIT with NTA level 4 in mechanical engineering from 2021 to date worked as tutor, farming labour, construction worker, government worker, factory worker, internet entrepreneur and small business. Sema wewe ulichelewa kuelewa kua elimu ya tanzania ni utapeli haendani na mazingira hafu ufaulu mkumbwa Hauna Cha kufanya mbele ya maisha magumu
 
Ukiangalia record yako ya ufaulu kwa maoni yangu inaonesha trend mbovu ya mahusiano tangu shuleni.

O-level umepata div one peke yako kati ya watu 138
A-level mmepata div one wawili tu
Na chuo trend ni the same.

Connections huwa zinaanza kujengwa level za primary, mtu anaweza asiwe na uwezo mzuri sana class ila ana connections ambazo ukiwa na mahusiano mazuri anaweza kukuconnect na watu ukapata unacho hitaji.

Matokeo na ufaulu wako yanaakisi kiwango flani cha ubinafsi wa kujitenga na kutotaka kushare knowledge na wenzio nao wakafanya vizuri nadhani ni sababu kubwa unastruggle kupata japo ajira pamoja na ufaulu mzuri.

Watu wa aina yako mara nyingi ikitokea hawajabebwa na matokeo yao kwenye kazi/maisha huwa wanapitia unachopitia.

Hujachelewa, change mindset yako, ongeza kiwango chako cha interaction na watu mtaani bila kujali status zao sana ilimradi unaona wanaweza kukuvusha kwa jambo lako.

Ile mindset ya shule kutaka kufaulu prke yako mtaani haiko relevant. Mtaani we ukifanikiwa haizuii mtu mwingine kufanikiwa bali ili ufanikiwe zaidi unahitaji kuzungukwa na walio fanikiwa zaidi pia.

Ukiwa matured utagundua kuwa Maisha ya mtaani ni about improving and helping each other na si kushindana. Mtaani, matokeo ya jitihada za mtu yanategemea zaidi volume ya watu ulionao (network) wakati shule unaweza komaa kivyako na ukatoka na flying colors.
Hii ni Point kubwa sana umeongea si kwa mtoa mada tuu bali kwa jamii nzima itakayosoma. Ni muhimu sana kupunguza ubinafsi na kujua kwamba hapa Duniani kila mtu yuko na umuhimu wake, kuna mahali mtu fulani anafit vizuri kuliko wengine hivyo yatupasa kushirikiana sanaa na kuheshimiana.
Big Up Chief.
 
Habari wana jukwaa. Kwa kweli hivi sasa bila connection ni ngumu kupata kazi, vinginevyo Mungu aingilie kati. Binafsi kwa neema ya M/Mungu nimefanikiwa kuwa nahistoria ya kufanya vizuri darasani, na kuwa mwanafunzi bora kuanzia nilipokuwa shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Historia yangu kwa ufupi ipo hivi.

Primary

Ufaulu mzuri nikapangiwa kwenda sekondari, japo ni ya kata, wakati huu ndo shule za kata zimeanzishwa kwa wingi, hivyo hata wenye ufaulu mzuri walipelekwa shule hizi ili kufidia gap la wanafunzi

Sekondari

Nilifanya vizuri sana. Nimekuwa mwanafunzi namba moja darasani tangu kidato cha kwanza mpaka cha nne na nikafanikiwa kuzawadia cheti cha mwanafunzi bora na uongozi baada ya kufanya vizuri kwa miaka yote minne ya sekondari.

Nikafaulu kwa ufaulu wa daraja la kwanza, nikiwa mwanafunzi pekee darasa nzima la wanafunzi 138 mwenye daraja la kwanza na nikapangiwa kwenda Advance kwa mchepuo wa PCM (Physics, Chemistry, Advance Math)

Advance

Hapa napo sikukaa kizembe, katika darasa la wanafunzi 38, kidato cha tano na cha sita vyote nilikuwa mwanafunzi namba moja ama namba mbili kwenye mitihani ya terms na kikanda. Katika wanafunzi 38 wa PCM, wanafunzi 2 pekee tukafanikiwa kupata Div I. Hivyo moja kwa moja tukapangiwa chuo kikuu, na wote tulikwenda chuo kimoja, UDSM (University of Dar Es Salaam)

Chuo Kikuu.

Nikasomea program ya engineering (Engieering Geology), ni program ya miaka minne. Kwa ufupi hapa shule ilikuwa ngumu sana, ukijumlisha na changamoto za kifedha, lakini historia ya nyuma ya shule ilinibeba nikapata mkopo wa serikali 100%. Chuoni tulianza wanafunzi 14, lakini tuliobahatika kumaliza mpaka mwaka wa mwisho ni wanafunzi 6, na katika hao sita, ni mimi pekee nilifanikiwa kufaulu kwa kiwango cha juu kidogo ukilinganisha na wenzangu cha Second class honors, Upper division ambacho na hakika si kiwango haba kutokana na ugumu wa program husika.

Hio ndo historia yangu ya shule kwa ufupi sana, nimeelezea matokeo tuu, sijaelezea matukio. Lakini nasikitika kuona kwamba rekodi hio haijawa na mchango chanya kuniwezesha kupata kazi. Mpaka sasa kijana natangatanga, hapa na pale. Nipo wazi kufanya kazi kwenye migodi ya uchimbaji, kampuni za ujenzi wa majengo na barabara. Na kwa sasa nina leseni ya ulipuaji (blasting licence for both Open pit & Underground mining)
Hahah! Ama hakika kupata kazi zama hizi connection... Wakuu nipeni CONNECTION!! Umri ni miaka 27.
Pole sana mkuu hayana Muongozo.
 
Mkuu kama ulivyosema kwenye haya maisha mara nyingine unaamua tu kusoma kitu flani ili mradi usije ukateseka kwenye maisha... Back in 2009 nilikua na one but niliamua tu kusoma education pale udsm ilimradi tu nisije hangaika baadae nibaki kujilaumu kwamba nilikua vizuri darasani but Leo Sina KAZI.... Sasa mtu akisikia jamaa ni teacher basi anajua huyu ni kilaza alifeli kumbe ni kuchekecha maisha...
Hongera, ingawa walimu nao wanakula jeramba.
 
Ndiyo maana mi mtoto wangu nimempangia asome mwisho form 4 then peleka SUA akasomee KILIMO NA UFUGAJI then akiwa anaingia Degree namuanzishia duka la pembejeo akimaliza nauza viwanja viwili namfundisha kufuata madawa ya mifugo na shambani KENYA NA CHINA likiwa pumbafu shauri lake nahamia kwa mdogo ake.
KAMA UMEPENDA HUU MPANGO WANGU GONGA LIKE TWENDE WOTE
Nakumbuka uzi wako uliosema unataka mtoto wako aishie form4
 
Usikate Tamaa hata Mimi Nina record Kama yako, tofauti me ni upande wa arts, licha ya ufaulu mkubwa chuo nikasoma ualimu mwaka wa tatu sasa sijui cha jufanya nimepiga Boda nknikachoka nimefanya kadi za ujenzi nkaachoka nikaenda Veta mwaka Jan welding nkamaliza napiga kazi sipati nitakacho ilaa sikati tamaa ipo Siku bado miaka 26 inatia huzuni
Una mpaka welding unalia njaa?
 
Pole sana mkuu, wako wengi. Kuna mmoja ana ufaulu mkubwa sana zaidi yako, Olevel div 1 ya 9, Advance div 1 ya 4, akaingia top 20 wanafunzi bora kitaifa, Chuo akasoma petroleum, mpaka sasa hana ajira rasmi.
Huyu namjua ni Rafiki yangu sana .
 
Back
Top Bottom