Oasis Swai
New Member
- Oct 30, 2020
- 3
- 3
Haaaaa haaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda roboduara fainali na nusuduara fainali lakini robo na nusu fainali ya CAFCL hakuna.Yanga Tutaenda robo fainali au nusu fainali mwaka huu tunza hii comment kwenye ubongo wako
Lakini ukweli ndio huo, kacheki data online. Ulikuwa unakaza lakini, hauvuki.Kwa background hii nyekundu utakuwa umeitoa kwenye ma group ya makolo je zile dala dala mlizochukua kwa vita na al ahly unazo screen shot