mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,376 Reaction score 3,811 Sep 25, 2022 #22 technically said: Yanga Tutaenda robo fainali au nusu fainali mwaka huu tunza hii comment kwenye ubongo wako Click to expand... Labda roboduara fainali na nusuduara fainali lakini robo na nusu fainali ya CAFCL hakuna. Au mnafikiri kwenda robo na nusu ni kutamka tu kwamba iwe na ikawa kama Mungu alivyokuwa akitamka wakati wa uumbaji? Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
technically said: Yanga Tutaenda robo fainali au nusu fainali mwaka huu tunza hii comment kwenye ubongo wako Click to expand... Labda roboduara fainali na nusuduara fainali lakini robo na nusu fainali ya CAFCL hakuna. Au mnafikiri kwenda robo na nusu ni kutamka tu kwamba iwe na ikawa kama Mungu alivyokuwa akitamka wakati wa uumbaji? Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,376 Reaction score 3,811 Sep 25, 2022 #23 Utopolo = urojorojo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] et tutafika nusu fainali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Utopolo = urojorojo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] et tutafika nusu fainali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Gordian Anduru JF-Expert Member Joined Apr 16, 2021 Posts 369 Reaction score 747 Mar 15, 2023 Thread starter #24 fa mautani nini
Drat JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,160 Reaction score 1,359 Oct 22, 2023 #25 Gordian Anduru said: Kwa background hii nyekundu utakuwa umeitoa kwenye ma group ya makolo je zile dala dala mlizochukua kwa vita na al ahly unazo screen shot Click to expand... Lakini ukweli ndio huo, kacheki data online. Ulikuwa unakaza lakini, hauvuki. Ni kama sasa hivi unataka kumtisha Medeama, nao wakiangalia records wali draw Dar, Ghana wakakupiga 3-1. JAMBO MOJA LA UHAKIKA YANGA INAISHIA MAKUNDIš¤£š¤£.
Gordian Anduru said: Kwa background hii nyekundu utakuwa umeitoa kwenye ma group ya makolo je zile dala dala mlizochukua kwa vita na al ahly unazo screen shot Click to expand... Lakini ukweli ndio huo, kacheki data online. Ulikuwa unakaza lakini, hauvuki. Ni kama sasa hivi unataka kumtisha Medeama, nao wakiangalia records wali draw Dar, Ghana wakakupiga 3-1. JAMBO MOJA LA UHAKIKA YANGA INAISHIA MAKUNDIš¤£š¤£.