Relay ya Dr. Samia ni nzuri sana bigup, lakini...

Relay ya Dr. Samia ni nzuri sana bigup, lakini...

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
MAMA' unakimbiza mpaka basi, kwa sisi watazamaji tuoangalia mwendo wako tunaamini ushindi upo, mwalimu wako alikufunza vema, usisahau kuchungulia saa yako ili ujue pa kuongeza na pa kupunguza, lakini katika mbio hizo shikilia kijiti chako sawa sawa, usije ukafika karibu na mwisho kijiti kikadondoka, mpaka urudi nyuma ukiokote atakaye kupokea kijiti atapata tabu sana kuifanya timu yako ishinde. Narudia tena chungulia saa yako.
 
Back
Top Bottom