Reli ya Dar-Tanga-Kilimanjaro-Arusha imeanza kujengwa; Dec, 2018 kuanza kazi rasmi, Kenya kuathirika

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Inajulikana kama reli ya kaskazini kama inavyoonekana kwenye ramani ilijengwa miaka ya 1890s na German



Mkurugenzi Mkuu wa Rahco asema lengo ni kurudishia opereshen za tren za abiria Dar-Arusha kuanza mwezi Dec 2018 @TanzaniaHistory

Kazi ya kurudishia reli ya Tanga-Arusha ikiendelea na hapa ni mbele kidogo ya stesheni ya Korogwe



Hii itakua ni pigo kubwa kwa bandari ya Mombasa nchini Kenya hasa ukizingatia baadhi ya Mizigo (michache) ya kaskazini mwa Tanzania ilikua ikipitia Kenya.



Ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania hii chini ya Magufuli itafika mbali hata zaidi ya tulivyodhani, katika reli zilizokua mfu na hakuna mtu angedhani ingekuja kufanya kazi ni hii, company ya Germany ipo kwenye mpango wa kuiendeleza zaidi hii reli.



 
Zile nyanya, vitunguu, karoti, ndizi zangu zitafika dar salama. Je hizo treni zitatumia mda gani kutoka Arusha mpaka Dar? Isikute ni siku 2!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…