Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kujengwa ama kuikarabati!!?
Safi sana,mambo mazuri.Inajulikana kama reli ya kaskazini kama inavyoonekana kwenye ramani ilijengwa miaka ya 1890s na German
View attachment 603832
Mkurugenzi Mkuu wa Rahco asema lengo ni kurudishia opereshen za tren za abiria Dar-Arusha kuanza mwezi Dec 2018 @TanzaniaHistoryView attachment 603828
Kazi ya kurudishia reli ya Tanga-Arusha ikiendelea na hapa ni mbele kidogo ya stesheni ya Korogwe
View attachment 603829
Hii itakua ni pigo kubwa kwa bandari ya Mombasa nchini Kenya hasa ukizingatia baadhi ya Mizigo (michache) ya kaskazini mwa Tanzania ilikua ikipitia Kenya.
View attachment 603830
Ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania hii chini ya Magufuli itafika mbali hata zaidi ya tulivyodhani, katika reli zilizokua mfu na hakuna mtu angedhani ingekuja kufanya kazi ni hii, company ya Germany ipo kwenye mpango wa kuiendeleza zaidi hii reli.
View attachment 603827
Sukari ya tpc sasa itaanza kusafirishwa na reli bila kusahau soda za cocacola. Magufuli Vivaa
HuuuHiyo reli ikfufuka nitaamini kweli Magufuli ni mteule