Reli ya Dar-Tanga-Kilimanjaro-Arusha imeanza kujengwa; Dec, 2018 kuanza kazi rasmi, Kenya kuathirika

Lakini ujue hata Mwanza, Kigoma, Tabora, Dodoma wapo wateja wengi tu.

Kwa mizigo hapa wameula sababu cement za Tanga zitasambazwa na reli hii na mbolea kutoka arusha kuelekea Tanga, and Dar kupelekea kusini
Nyie endeleeni na maendeleo tu,sisi hapa nikuimba tibim na tialala tukipora na kuchoma mali ya watu..tukiamka kutoka haya majanga mtakuwa mbele sana kiuchumi
 
Wewe hujaambiwa uende na chupi yako kwenye mkutano wa Odinga?
 
Lakini ujue hata Mwanza, Kigoma, Tabora, Dodoma wapo wateja wengi tu.

Kwa mizigo hapa wameula sababu cement za Tanga zitasambazwa na reli hii na mbolea kutoka arusha kuelekea Tanga, and Dar kupelekea kusini
Mvumilivu..................
 
vizuri sana ila Mjerumani bana chuma chake haiozi
 
[HASHTAG]#hapakazi[/HASHTAG] tu...haya mambo yapo vitabuni yalihitaji msimamizi tu....Ajira nyingi zilikosekana kwa kuua hii miradi
 
Zile nyanya, vitunguu, karoti, ndizi zangu zitafika dar salama. Je hizo treni zitatumia mda gani kutoka Arusha mpaka Dar? Isikute ni siku 2!!
Umecho kiangalia ni muda tu!
hahaha wemtu kwanini Kasoro zako kila upande!
mbele,Nyuma,kushoto,kulia kote shida tu
 
Back
Top Bottom