Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Umecho kiangalia ni muda tu!
hahaha wemtu kwanini Kasoro zako kila upande!
mbele,Nyuma,kushoto,kulia kote shida tu
Naona umekuja na ID nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umecho kiangalia ni muda tu!
hahaha wemtu kwanini Kasoro zako kila upande!
mbele,Nyuma,kushoto,kulia kote shida tu
Zile nyanya, vitunguu, karoti, ndizi zangu zitafika dar salama. Je hizo treni zitatumia mda gani kutoka Arusha mpaka Dar? Isikute ni siku 2!!
sukari yenyew ipo? hapo moshi mjini tu haipatikani iyo yakusafirisha labda itoke bandariniSukari ya tpc sasa itaanza kusafirishwa na reli bila kusahau soda za cocacola. Magufuli Vivaa
Tusipoitambua thamani ya Magufuli wakati huu, ipo siku tutajutia.Sukari ya tpc sasa itaanza kusafirishwa na reli bila kusahau soda za cocacola. Magufuli Vivaa
Sure! Wamilki wa mabasi na malori ndio wahujumu wakubwa wa reli zetu.Lengo ni kufufua treni ya abiria kulingana na maelezo, watakaothirika ni wale wafanyabiashara za usafirishaji na wala sio kenya
Magufuli ni kiongozi ambaye watanzania hatutakuja kumpata mwingine kama huyu, haya mambo Magufuli anayoyafanya ni Mungu tu ndio anaweza kuyafanya sababu Tanzania tulishafika point tukaona hakuna matumaini ya kuendelea tena.Tusipoitambua thamani ya Magufuli wakati huu, ipo siku tutajutia.
Na rombo nao niwachapa kazi mkuu watu wanalewada wote tena pombe za Kienyeji use me wachapa kaziUkanda wa wachapakazi ule miundombinu ikiwekwa mbona watasalute wenyewe
Kwani roli la mizigo husafiri kwa siku ngapi Dar-Arusha?Zile nyanya, vitunguu, karoti, ndizi zangu zitafika dar salama. Je hizo treni zitatumia mda gani kutoka Arusha mpaka Dar? Isikute ni siku 2!!
Kwani roli la mizigo husafiri kwa siku ngapi Dar-Arusha?
Nikipata kamzigo kengine ka kupeleka Arusha nitakutafuta unielekeze pa kulipata hilo roli.Masaa 10-12
Nikipata kamzigo kengine ka kupeleka Arusha nitakutafuta unielekeze pa kulipata hilo roli.
Nataka hilo la Masaa 10-12 Dar to Arusha mkuu.Pale jangwani malori yote ya kwenda Tanzania nzima utayakuta.
Nataka hilo la Masaa 10-12 Dar to Arusha mkuu.