barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nitajibu hoja kama utakavyo wewe endapo hoja yenyewe imetolewa na BROAD MINDED person ....Unadhani kwa maelezo yako hayo ndo viwanda vitajengwa. Nataka ujibu hoja kwa hoja.
Niambie hiyo reli inataka ibebe kitu gani ambacho kimeshindwa kubebeka kwa njia ya barabara,maji na anga.
Huko treni it a be a nini toka Rwanda ambacho ni kizito mno hakibebeki kwa mode of transportation zilizopo.
Mbona reli ya tazara na kati zipo na miundombinu mibovu hamsemi?.
Acha kunihamisha relini mi siwezi kukaa kimya kwa matusi yako nakusubiri hapa ulete hoja ya maana siyo ooo oh ukabila, sijui mange leteni hoja acheni mambo ya udaku kwenye serious issue.
Sisi tunaumizwa nyinyi mnashangilia.
Trani ni cheaper lakini treni za SGR hazitakua cheaper kama unavyofikiria..Treni ni cheaper kuliko hizo mode zingine za transport.cost of doing business zitakuwa chini sana na bidhaa zitakuwa bei chini hivyo kunufaisha wananchi wa kawaida.
Ni sawa naweza kuwa kilaza kweli lakini naomba unieleze huko Rwanda treni itabeba vitu gani visivyobebeka kwa gari, meli au anga.Eti tujenge reli pamoja na kenya?kweli ww ni kilaza.
Nilidhani umeleta hoja kumbe bado unalaumu tu. Basi endelea kulaumu.Nitajibu hoja kama utakavyo wewe endapo hoja yenyewe imetolewa na BROAD MINDED person ....
By the way CRITICISM is ACCEPTABLE but not in everything ... muwe mwapinga jambo mkiwa na ENOUGH EVIDENCE to support your arguments .... They always say ... "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK ..." And we call ourselves GREAT THINKERS ... hili ni tatizo ...
Haha,wakenya mtakufa kwa pressure, nani alikwambia SGR yetu inaishia Rwanda tu?hizo Mali zinabebeka kwenye train tu?mmeshindwa kufanya electrification kwenye SGR yenu mnaleta propaganda humu.Ni sawa naweza kuwa kilaza kweli lakini naomba unieleze huko Rwanda treni itabeba vitu gani visivyobebeka kwa gari, meli au anga.
Kenya kuna priority nyingi compared to Rwanda.
Kama haitoshi reli za ndani tu zinapumulia mashine. Acha unafiki siku nyingine muwe mnatumia akili zenu kuwaza siyo za kuazima. Rwanda inayozidiwa ukubwa hata na wilaya ya chunya tutapata nini cha ajabu tulichokosa kwa uwepo wa hiyo standard gauge.
Jiulize inajengwa kwa priority ipi kama siyo kurahisisha wizi tu wa mali za tz kwenda Rwanda kutoka migodini mwetu.
Reli ni mhimu lakini hoja yangu iko pale pale ujenzi huo uanze na reli za ndani kwa kiwango hicho na kufufua zilizokufa. Pia pamoja na uharibifu wa barabara tambua kuwa nyingi zinajengwa chini ya kiwango hivyo huwezi kukwepa kuharibika kwake hata ikiwa reli itakuwepo.Mtoa mada hayo ni maono yako lakini sina uhakika kama umefanya hata research ndogo ndo ukaja na andiko hilo for your information hiyo reli itasaidia sana kwa wafanya biashara na at the same time itasaidia kutokuharibu barabara zetu amabazo zimekuwa zikiharibiwa na ma semi tera ya mizigo yanayo toka Rwanda/Tanzania/Rwanda.Wengine tumeshuhudia uharibifu wa barabara hizo na italahisisha kwa wasafiri ambao hutumia zaidi ya masaa mengi wakiwa barabarani kutoka let say dar to Kigali.
Ulichoeleza ndiyo hoja yangu kuu. Wengi wanaona mwisho wa urefu wa pua zao.Mtoa mada katoa mada nzuri tu japo kuna wenzi wetu wana mkosoa
Nilivyoelewa point kuu ni kwamba hakatai kujengwa reli, ila ingeangalia ina athari zipi za kiuchumi kwa kuunganisha na nchi hiyo, na ametoa mapendekezo afadhali tungejenga aina hiyo ya reli na Kenya sababu tunafanya nao biashara kubwa kubwa au kukarabati reli ya Tazara na kuwa standard gauge tungelisha ukanda huo wenye mizigo mingi na ni nchi kubwa
Na hofu yake nyingine mtoa mada isije kuwa Rwanda akatumia reli hii kupata rasilimali zetu hapa refer DRC
Mtoa mada ana hoja sema muda unataka tuwe connected na wenzetu labda na inchi nyingine muda ukifika tuta unganishwa nao na bila kusahau reli itasaidia ukanda wa nchi yetu sehemu za kati mpaka magharibi na kuna shughuli nyingi za kiuchumi
Kinachonikera kuhusu haya ma reli na ndege ni kupewa kipaumbele kwa wakati huu wakati maji,umeme,madawa hospitalini,elimu havijakaa sawa tungeimarisha haya ndo turukie hayo
Unajua unapo argue na mtu ndo unajua ana upeo gani. Rwanda,burundi,congo ni land locked country na uganda so reli ya kati ni muhimu sababu ya manufaa makubwa ya kiuchumi kwa tanzania. Kwa sasa mza dar ni masa 24 ndo ufike. Biashara inakuwa ngumu na gharama ni kubwa. Reli ikiwepo ni masaa saba tu.huoni itasereresha uchumi mbeleKagame mjanja mjanja sana, bora hiyo reli ingejengwa from dodoma to Arusha - kenya
Tulitakiwa tuambiwe ujenzi wa hiyo reli utakuwa na manufaa gani na kuna nini ambacho tumekuwa tukikikosa kwa kutokuwepo kwa hiyo reli.Aisee kama haujasoma rudi shule kwa kweli khaa so unamaanisha sisi tunajenga reli sabu ya kagame? Idiotic thinking hii... Hahaha unajua faida za reli kwa nchi? Hivi gharama za usafirishaji wa mizigo Kwa njia ya reli ni sawa na njia ya bara bara? Hahaha nacheka kwa dharau sababu haujielewi...afu sijaona hoja why iwe ndio chanzo cha kuanguka uchumi?
Surerwanda hakuna faida yeyote labda watoto wazuri