goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Hasira za nini jamaa. Ukikosa hoja unaleta hasira. Hizo reli kweli ni za zamani na hazifai kabisa. Ndiyo maana zinajengwa za kisasa.Unachoamini wewe siyo sare hadi wote waamini.
Kwani reli hazipo nchini na jiulize zina hali gani .Usilazimishe kuwa navyo vingi angalia vichche ulivyo navyo vina ubora gani.
Acheni unafiki semeni ukweli reli zina hali mbaya ziko taabani leo mnakalia kuona kama tunamchukia kagame.
Tatizo mnataka wote tufuate mawazo ya mtu mmoja bila kuhoji hata ikiwa ni ya hovyo au yanahitaji kurekebishwa.
Mbona huongelei nchi za ulaya zaidi kusafisha mizigo kwa reli na Bandari.