pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Ka game anacheza game nasubiri game liishe 2060 viwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu kama hawa wanasikitisha sana mkuu.Kama MITAZAMO ndo kama hii hii frankly speaking bado tuna SAFARI NDEFU sana as Tanzanians kuufikia UKOMBOZI wa KIFIKRA ...
Usipaniki eleza hay mistari mitatu watu tujue mawazo yako. Sasa hapo utukanwe kwa lip la maana uliloeleza.Kama unaona Tanzania tutaumia kwa ujenzi wa reli hyo haujalazimishwa kuish, kufa au hama nchi hii, ni hayo tu sina hoja ila nasubir uniambie mimi mjinga au nina uwezo mdogo wa kufikir
Dah! Upo vizuri sana, ipo siku mm nikiwa rais ww utakuwa waziru mkuuUnajua unapo argue na mtu ndo unajua ana upeo gani. Rwanda,burundi,congo ni land locked country na uganda so reli ya kati ni muhimu sababu ya manufaa makubwa ya kiuchumi kwa tanzania. Kwa sasa mza dar ni masa 24 ndo ufike. Biashara inakuwa ngumu na gharama ni kubwa. Reli ikiwepo ni masaa saba tu.huoni itasereresha uchumi mbele
Unadhani akili ni sare hadi tuwaze sare wote kama mnavyowaza huko kwenu.Leta hoja siyo udaku.Another Beta Male kama Henri Kilewo, vipi umeshapewa Pocket money ya weekend na Mammaa? Au umenyimwa hela ya Mtori asubuhi?
Aisee,wewe Mkenya ni diehard, bado unapambana humu? Ni hivi SGR yenu itaishia NAIVASHA,haitafika Kampala,poleni.Unadhani akili ni sare hadi tuwaze sare wote kama mnavyowaza huko kwenu.Leta hoja siyo udaku.
Una point mkuu sema tu JF imejaa wapiga fegi.Wewe ndo hujielewi na utajielewa siku ukifa. Wala akili yako ni ndogo haiwezi chochote.
Reli ni mhimu lakini si lazima ijengwe lazima uangalie aspects nyingi. Huko unakojenga reli mizigo haifiki kwa sasa?. Kama inafika kwa njia gani?.
Usinitoe relini kwangu hiyo reli siyo kitu kwa nchi na lengo ingekuwa kufaidika na reli angeanza na ya Zambia ambapo nchi nyingi zinaitumia siyo hako katarafa ka Rwanda.
Huyo ni wa kuhurumia mkuu. Achukulie mfano nchi za ulaya na asia ni watengenezeji wakubwa wa maroli, lkn soko kubwa la maroli hayo liko Afrika na si huko yanakotengenezwa je ni kwa nini?Aisee kama haujasoma rudi shule kwa kweli khaa so unamaanisha sisi tunajenga reli sabu ya kagame? Idiotic thinking hii... Hahaha unajua faida za reli kwa nchi? Hivi gharama za usafirishaji wa mizigo Kwa njia ya reli ni sawa na njia ya bara bara? Hahaha nacheka kwa dharau sababu haujielewi...afu sijaona hoja why iwe ndio chanzo cha kuanguka uchumi?
Usije na vitisho hatumuogopi mtu.Leta hoja.Wewe si wa kupimwa mkojo, yatakiwa ukapomwe kinyesi.
Kumbuka hiyo reli kwa Tz itapita mikoa ya Shinyanga, Geuta na Kagera, je wananchi wa mikoa hiyo na mikoa ya jirani hawatafaidika na reli hiyo?
Kwanini wote tunaomsema kagame mnatuona tuna chuki naye.Nadhani ni mawazo yenu tu.@Mla Panya,
I won't blame you probably ni uelewa mdogo ukiongezea chuki binafsi.
1: Ujenzi was reli ukikamilika sio mizigo ya Rwanda tu itakayopitishwa,mizigo inayoelekea mashariki ya DRC sanasana Coma pia itatumia reli hii.
2: I wish ungejua revenue zinazotokana na mizigo iendayo Rwanda kupitia Dar, usingeongea upuuzi unaouongea sasa hivi.
3:Chuki zako binafsi dhidi ya Kagame inabidi uzitofautishe na nchi, Rwanda itaendelea kuwa jirani ya Tanzania daima:
4:Umetoa proposal kwamba ingekuwa bora reli hii ingejengwa kuelekea Kenya, kwani zikijengwa mbili kunashida gani? Project kama hizi inahitaji willingness na priority ya nchi husika. Probably Kenya au jirani wengine hawako tayari kwa sasa,are we to wait for them?
Fikra kama hizi ndio zinadidimiza bara letu.
Hujatishwa mkuu nimeishangaa hoja yako. Nimetoa pia hoja ya kuwa je mikoa ya Tanzania ambayo hiyo reli itapita haitanufaika nayo? Au Kagame atakataa ya kuwa reli hiyo itasafirisha Mizigo ya Rwanda pekee?Usije na vitisho hatumuogopi mtu.Leta hoja.
Unachoamini wewe siyo sare hadi wote waamini.Huyo ni wa kuhurumia mkuu. Achukulie mfano nchi za ulaya na asia ni watengenezeji wakubwa wa maroli, lkn soko kubwa la maroli hayo liko Afrika na si huko yanakotengenezwa je ni kwa nini?
Jibu ni rahisi tu, kusafirisha bidhaa kwa maroli ni expensive than reli na maji. Lkn pia magari makubwa yanaharibu miundominu. Na kuharibika kwa railway na Bandari ni inachukua mda mrefu sana. Chukulia mfano reli zetu. Hivyo kupungua kwa magari makubwa barabarani kutapunguza na uharibifu wa barabara.
Huyu amesoma chuo gani huyu!!!
Unaposema hatusitahili kupimwa mkojo bali kinyesi what do you mean?.Hujatishwa mkuu nimeishangaa hoja yako. Nimetoa pia hoja ya kuwa je mikoa ya Tanzania ambayo hiyo reli itapita haitanufaika nayo? Au Kagame atakataa ya kuwa reli hiyo itasafirisha Mizigo ya Rwanda pekee?