Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
KilimbaSiamini uwepo wa miungu ya Wakristo Wala Waislamu
Naamini kwenye mizimu ya kinyiramba na Kiha
Ukiniona Kanisani ujue mama watoto ameniomba nikamsaidie kumuuzia sura kwa mashoga zake kuwa ana mume handsome,mpiga pamba Kali na mcha Mungu
Jina langu ni Yohana,hata sijui Hilo jina linamanisha nini kimzimu,hata sijui mizimu yake ilikuwaje
Huwa najisikia amani na furaha nikiitwa Kilimba,at least I know what the hell it means