Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru [emoji23] sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Mungu ni mmoja imani ndio tofauti halafu bila dini hii dunia ingekuwaje unadhani watu wangeishi kama wanyama wangeuwana wangedhulimiana yaani dunia isingekuwa sehemu Salama kuishi.
 
Preaching is not acceptable. Understand that we are still testing the entire concept of the existence of God as it contradicts itself.

Back to post #183

Answer it
Testing God?Can a vessel test a porter?Really?It is so ridiculous.No further comment.
 
I think you've finished preaching, now please answer my question
Huna swali la mimi kujibu,yote yanatokana na kiburi cha uzima(pride of life) na unfortunately siko tayari ku-address issues pertaining to pride of life.
 
Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Ni wafisadi, na wametenda mambo ya kuchukiza, Hakuna atendaye mema.zaburi 53:1
 
Mit 27:22 SUV​

Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
 
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Ndugu mungu yupo,angalia Imani za Africa kabla ya kja wazungu ama warabu ,Imani hiyo ilikuwa inamwelekea muumba!kitu kikubwa ambacho binadam anacho tangu enzi na enzi ni Imani juu ya ukuu ulio na nguvu zaidi katika kuamua mambo ambayo binadamu hawezi so supernatural creature is there to stay
 
Kingunge alikuwa na msimano ila kwa kuwa akili za kiafrika zinawatosha wenyewe, mwisho ailipamic na kumkiri Yesu.
 
Back
Top Bottom