Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Hoja yako ni dini au imani?dini ni mfumo wa maisha ambao unaish mfn waarbu na wazungu they way wanavyoishi,ila imani ni kuamini/kukubali kwa kutumia hisia na unavyoviona mfn jua na mwezi..siku na na mchana kwamba mungu yupo lakin kwa ushuhuda wa nabii au mtume fulani...mwsho hulazimishw kuamini na acha kupotosha watu.
 
God created the World and man,but he also gave man freewill:to choose between God and Satan,but not without consequences.So if you have choosen Satan,which I believe you have,the consequence is eternal condemnation,unless you repent of your iniquity.
"Can you give someone free will and then punish them for what they choose?

Do you know that the free will you grant to someone you love should not lead to harm in order for you to remain all-loving!?

_20230919_181728.JPG

God, the Almighty, the All-Knowing, and the All-Loving, giving us free will that results in harm to us is a contradiction.

Do you understand that!?"
 
"Can you give someone free will and then punish them for what they choose?

Do you know that the free will you grant to someone you love should not lead to harm in order for you to remain all-loving!?

View attachment 2754964

God, the Almighty, the All-Knowing, and the All-Loving, giving us free will that results in harm to us is a contradiction.

Do you understand that!?"
You cannot dictate terms for God,He is the porter,you are the vessel,take it or live it.

But I know what you are trying to do,you are trying to show that God is evil.God is not evik,He is a loving and rational God,but who does not tolerate unrepentant habitual evil doers, because he has given humanity power over sin,ni kiburi tu.
 
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Jamani mtuache na Mungu wetu tunaemuamini...

Baba wa Yatima....

Mume wa wajane....

Mungu wa maskini kama mimi.....
 
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru [emoji23] sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
You don't need to die to know if Christianity is true or not. Once you are truly a Christian you will experience GOD and you will be sure.

You can argue all you want but thats the truth.
 
Hawakuaminishi, bali ni kwamba waamini Mungu akili zao zimefungwa hadi zinapuuza Science
Ndio vile vile unataka tuone kwamba wasioamini Mungu ndio wanajua sana sayansi na kuizingatia na ndio maana hawaamimi Mungu, ukiangalia suala la watu kukana uwepo wa Mungu lipo kabla hata ya zama hizi za sayansi na teknolojia.
 
Kila dini ni ya kweli kulingana na waamini wake.

Unaelewa hilo!?

Kwenye dini zote zilizopo duniani, unadhan mtaelewana na waamini wengine kuhusu dini ipi ni ya kweli kama mtakutana kwenye mjadala!?

Ungezaliwa kwenye familia ya Kikristo unadhani ungekuwa unasema haya uyasemayo sasa!?
Ni ajabu sana na ndio maana hata atheists wapo wenye kubadili msimamo na kukubali uwepo wa Mungu na kuwa waamini Mungu pamoja na hoja zote walizokuwa wakitumia kudai hakuna Mungu.

Ni kutofautiana mitazamo tu.
 
You don't need to die to know if Christianity is true or not. Once you are truly a Christian you will experience GOD and you will be sure.

You can argue all you want but thats the truth.
Which of the many gods are you even talking about? Why is yours any better than the others?

So, billions around the world who were born in other religions / countries or even children would be sent to Hell to burn in fiery torment for eternity cause they were unlucky to be born to never hear about Christianity.

That's what you're calling a "loving God"?
 
Ni ajabu sana na ndio maana hata atheists wapo wenye kubadili msimamo na kukubali uwepo wa Mungu na kuwa waamini Mungu pamoja na hoja zote walizokuwa wakitumia kudai hakuna Mungu.

Ni kutofautiana mitazamo tu.
Kukubali uwepo wa Muumbaji wa Ulimwengu na Mungu ni vitu viwili tofauti.

Mungu ni yule anayeongelewa kwenye dini. Wapo wengi, kuna Mungu wa Wakristo, Waislamu n.k. Mungu ni mwenye upendo na mkamilifu lakini bado aliweza kuumba binadamu anaojua fika wataenda motoni. Ukifuatilia haina maana ya yeye kuwapa wanadamu free will halafu watakaobisha uwepo wake waende kuzimu. Ni kama vile Mungu anataka kujionyesha kuwa yeye ndiyo yeye.

Muumbaji wa Ulimwengu ndiyo nadharia yenye mashiko kuliko kuamini Dunia ilitokea tu maana hapa tunaongelea na uumbaji sayari wa nyingine pamoja na Ulimwengu tuliopo, The Milky Way Galaxy.
 
People should understand, that Jesus Christ did not bring religion but "Salvation." Religion is man's creation,it has nothing to do with God whatsoever.
👏👏👏💯💯💯
 
What does all this imply,religion is a fake system of devide and rule designed by Satan himself,so a true believer in God with the Holy Spirit cannot associate himself with religion.
🙆🙆🙆🏼‍♀️🙆❌❌❌❌❌
 
Misingi hiyo imewekwa na Nani!?
Nimeshasema mimi siyo Atheist. Naamini kuna Creator of the Universe, the first cause, an unmoved mover. Aliyeumba Ulimwengu ndiyo kaumba na misingi yake ili Dunia kujiendesha.

Sikubaliani na jinsi idea ya Mungu inavyokuwa portrayed. Kwenye dini Mungu anaelezewa kuwa ni mwenye upendo na mkamilifu, pamoja na hayo bado Mungu kaumba binadamu wasio wakamilifu na wenye upendo kama yeye.

Pamoja na uwezo wa Mungu anayeelezewa kwenye dini bado ameruhusu mateso kwa binadamu, kwanini? Njaa, magonjwa, vita n.k.

Kwenye dini wanasema Mungu katupa free will lakini siyo free will kweli kwasababu kama tayari kuna dhambi maana yake njia ya kumfuata yeye ni moja tu, kuwa mtakatifu. Zaidi ya hapo akaumba binadamu kuwa na matamanio yanayopelekea kutenda dhambi. Sasa kwa uwezo wake kwanini aruhusu yote haya?

Mimi sikubaliani na idea ya kuomba au kupenda mtu asiyeonekana. Nina uhakika aliyeumba Ulimwengu ana sababu ya yeye kutoonekana machoni pa Mwanadamu. Kama Mungu angetaka tumjue kusingekuwa na dini. Wanadamu ndiyo wanahangaika kumtafuta mtu asiyetaka kuonekana kwenye uso wa Ulimwengu.
 
Hizo nguvu zinatoka wapi!?
Swali lako ni kama kuuliza uchawi unatoka wapi.

Ilipoumbwa nuru ndiyo na giza likaumbwa. Aliyeumba Ulimwengu ndiyo aliyeumba nguvu na roho zote safi na chafu.

Yalipoumbwa magonjwa ya mwili ndiyo zikaumbwa dawa: mimea n.k. Vivyo hivyo magonjwa ya rohoni yana tiba yake pia.

Dunia iliumbwa ikiwa imekamilika.
 
Anzisha dini yako Basi..

Wivu wa kike tu.

Kwahiyo wewe hupendi tu vile Mungu alivyoenezwa na dini.

Inakuuma Nini!?

You can't fight them ... Join them
 
And your title stands as if it's eternal truth and fact... While it is just a scam by itself and needs people's views and opinion.

I wonder why it isn't edited by the mods.
 
Back
Top Bottom