Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Na wewe unaamini Israel ndio mtowa roho?unaposikia israel mtoa roho.unajua roho ni nini?
Kasimame kwenye highway weka godoro lala hapo ndio utajuwa Fuso pia ni Israel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unaamini Israel ndio mtowa roho?unaposikia israel mtoa roho.unajua roho ni nini?
kwa hyo unataka kusema kila anayegongwa na gari anakufa?wangapi wanakufa wakiwa wamelala?Na wewe unaamini Israel ndio mtowa roho?
Kasimame kwenye highway weka godoro lala hapo ndio utajuwa Fuso pia ni Israel.
Paroko anadai tumchangie finishing Nyumba ya ma PadreThe opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru [emoji23] sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Kama ujui maana ya neno uhuru endelea kuchekaKwamba dini inawaweka huru wafuasi wake[emoji28][emoji28] kichekesho cha mwaka.
Hawa watu ilikuwa waje wanakubali kupigwa chaini
Picha za Waarabu hauna nikusaidie?Hao ndio waleta Dini wenyewe😭
Lete tu.Picha za Waarabu hauna nikusaidie?
Lete tu.