Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Kilimba
 
Sijawahi kuvaa rozari. Na hoja yako imethibitisha nilichokiandika. Unahisi dini yako ndiyo ya kweli na sahihi, kwanini?
Naona siku hizi WAKRISTO mmekua atheists hasa huku nyuma ya keyboards

Anyway

Mna swali lenu hili wenyewe hua mnalipenda sana "how can you be sure of something you don't see & never have",lengo hapa ni kwamba hayupo ALLAH Kwa sababu huna nae na huwezi kumuona

But, "look over there, it's dark and you don't see the men,but with your goggles you see them"

So,if you don't see the men it doesn't mean they're not there, it means it's dark and you have no goggles"

MWENYEZIMUNGU "ALLAH" yupo tangu enzi na enzi,yeye ndio wa kwanza na yeye ndio wa mwisho
 
Kwahiyo utakua kuzimu ama mbinguni ?😀😀😀
 
😀😀😀 Ni tabia ya Lucifer,kutoka na woga
 
Mimi uwa nawaza nikisia Mtu anasema "Mungu kasema" eti Allah kasema 😁😁😁😁
 
Kwani huyo Mungu wa hizo dini si ndio huyo huyo anayeaminiwa kuwa ni muumbaji?
 
I think you've finished preaching, now please answer my question
 
Preaching is not acceptable. Understand that we are still testing the entire concept of the existence of God as it contradicts itself.

Back to post #183

Answer it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…