ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
BASI, hivyo tu?:bored:
hapo sasa mkuu kuna mwingine alisemaje juu ya God na Allah huyu ni atheist "Kama humtambui Mungu wangu kwanini unilazimishe kumtambua Mungu wako"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BASI, hivyo tu?:bored:
Nilitaka nishanga mtu wa dini ajadili hoja bila kuwaza kuuwana, mbona tunawaona kila siku mnatupiana mabomu na kutukanana, ni kawaida yenu wala hamshangazi! Hivi kwa akili ya kawaida kabisa unashindwa mpaka kuelewa impact ya wamisheni katika kuleta ukoloni katika bara la Africa? Sijawahi kuona vidence yoyote ya uwapo wa Mungu, na siwezi kuamini kuwa niliumbwa sijui na jamaa gani wakati naelewa kabisa nilizaliwa na wazazi baada ya sperm ya baba kukutana na yai la mama, hiyo itakuwa ZAIDI YA KUJITOA AKILI! Naamini miungu ipo, Eli naye ni labda ni mmojawapo tu wa miungu hiyo, na mtu yeyote anaweza kuwa Mungu, hata mimi naweza kuwa mungu, lakini hakuna Mungu mwnye mamlaka yoyote juu yangu.
Lol Maskini Atheist, Mwenye akili Nyingi, uwezo wa kutafakari kiduchuu!, hakuna mahala nimezungumzia kuua watu kwa mtazamo wa andiko lako,ni tatizo la wewe kufikiri kiatheist, nimesema dawa ya kuwauwa wadudu waliobadilika kutoka,plasmodiamu,kuwa ngedere then kubadilika kuwa atheist, dawa ya plasmodiamu ilikuwa klolokwini, tukapata dawa ya pale walipobadilika kuwa ngedere ikawa SP,tunatafuta dawa ya kuwaangamiza baada ya ku evolve na kuwa Atheist. Wewe ulivyo Atheist mwenye akili nyingi ushaona mabomu ya m,aangamizi na matusi, Ooh kwa akili ya Theist nashindwa kuona Impact ya wamisheni kuleta Ukoloni, yaani Maatheist mna uwezo wa kuwaza hata kwa niaba ya binadam wengine,hakika akili mnazo nyingi hadi zinamwagika hovyo, wakati gani tumejadili impact ya wamisheni na Ukoloni ukagundua kwamba sisi Theist hatujui lolote ? Hujawahi kuona evidence yoyote ya uwepo wa Mungu ? sijui kama evidence ya kutokuwepo kwake umeiona,kama hujaiona evidence ya kutokuwepo kwake , wewe na mimi tuna tofauti gani ? Maana mimi naamini bila evidense unayoitaka ili ujue uwepo wake, nawe huamini bila evidencew ninayoitaka ili uthibitishe kutokuwepo kwake ATHEIST WENYE MAAKILI MENGI NINYI. Ulivyomalizia unaonesha hata nguruwe kakuzidi akili, yaani huamini Mungu yupo kwa vile tu wewe ni matokeo ya starehe ya baba yako na mama yako, ambao ndiyo waliovumbua starehe husika na sperm na mechanism yote ya kiumbe kuwa tumboni mwa mama yako kukua kwa miezi tisa hatimae kutoka kuja kwenye dunia hii, kwamba mama yako ndiyo madesigner wa ubinadam wao na wako na mfumo wote wa DNA ulidesigniwa na mama na baba yako wakati wanabadilishana sperm ili uzaliwe wewe...nimeamini wewe ni ATHEIST tena mwenye akili kuliko Atheist wote. umethibitisha pasipo shaka kuwa Atheist mna akili nyingi kuliko Theist, jipongeze Dada
Kwanza nitake radhi kwa kuniita dada! Baada ya hapo ndiyo tunaendelea
Tujadili hoja moja baada ya nyingine kwa ustaarabu na tuache ushabiki, personal attack na kupindisha hoja kwa kujibu swali kwa swali. By default kitu hakiwezi kuwa existent bila kuwa na evidence ya existence, sasa unavyosema nikupe evidence ya kuprove kwamba your god doesn't exist while you are the one claiming that uko na unseen father who protects you from the satan who lures you to do bad things unakuwa umeishiwa hoja! Ugumu wa ku-urgue na fideist ni kwamba yuko blinded kiasi kwamba hawezi kuwaza nje ya kitabu alichokaririshwa!
Habari za Yesu sio story ni facts, sasa wewe kama unaweza kushindwa kumfundisha mtoto historia ya kweli na kile ambacho kilinenwa na kutendwa,kwa kisingizio chochote ni udhaifu tu wa kibinadam,lakini kumfundisha mtoto kwamba kenge,binadam,panya,punda, twiga,tembo,macho,masikio na midomo ni vitu ambavyo vilitokea kkutokana na uhitaji wa viumbe kimazingira,viumbe vilipohitaji kula,mdomo ukamea ili viumbe viweze kula,viumbe vilipohitaji kuona,macho yakamea,lakini hili tendo linaitwa evlotion,kwa sasa hivi huwezi kuona evolution inayoendelea au iliyonusu kwa kuwa evolution inachukua mamilioni ya miaka kutokea,mfano unakumbuka malaria ilikuwa inatibiwa kwa klolokwini ? klolokwini ilishindwa baada ya wale wadudu wa malaria kuevolve na kuwa ngedere kwenye damu,hivyo klolokwini ilikuwa watu wanapomeza kuua plasmodiamu ikifika kwenye damu inawakosa plasmodiamu kwa kuwa wali-evolve na kuwa vingedere vidogo,hivyo wataalam wakagundua kwamba dawa ya kuuwa vingedele ambavyo vimerithi uambukizaji wa malaria ni kutumia SP, lakini bado Sp inasusua kwa vile vile vingedere sasa hivi ni aina ya binadam waitwao Atheist,dawa ya kuwauwa ndiyo kwanza inafanyiwa majaribio.
Hiyo sumu ya evulution at Macro level hata vichaa hawawezi kuiamini inahitaji zaidi ya kichaa,zaidi ya mpumbazu,zaidi ya zezeta...Lakini ilisemwa na mzungu tutafanyaje na tunaaamini hakuna Mungu ? maana ukikubali kwamba evolution (Macro)si kweli,bali ni chaka la kuhalalisha imani ya kutokuwepo kwa Mungu, utatakiwa ulete nadharia nyingine,kwani iliyobaki ambayo sisi wenye akili kidogo tunaijua na ina mantiki ndani yake ni uumbaji,huku tukiamini juu ya evolution at micro level. ipo evolution kwenye viumbe vyenye nasaba moja,alkini si kwa viumbe vyenye nasaba tofauti.
Kama wewe ni mmoja wa Atheist na ukimaanisha ni mwenye akili,no wonder waafrika tupo hapa tulipo kama wenye akili wenyewe ni pamoja na wewe...MAJANGA
Mbona na hata hiyo dini(bila shaka ukristo na uislam) unayoikakamalia na kuitolea mapovu mpaka kufikia hatua ya kuwakejeli wenzako na kuwaita wapu..mbavu,wajinga mara majanga walituletea hao hao wazungu na kutukaririsha_leo wameamua kuiacha sababu hailipi tena(outdated)...wameamua kuhubiri dini mpya yenye manufaa kwao i.e demokrasia.
Anyway_hata mimi ni mfuasi wa mojawapo wa hizi dini mbili za kuletwa na walami.....lakn kamwe siwezi kumkashifu mtu sababu ya haya mambo ya kukaririshwa bila pasi na ushahidi wowote.
-------- asema moyoni mwake ''Hakuna Mungu'' kama wewe ni mfuasi unaona aibu kutoa sifa ambayo ni kweli kwa mujibu wa kitabu kinachonifanya niamini uwepo wa Mungu hilo ni tatizo binafsi.
Atheist wangesimama kwenye IMANI yao pasipo kukashifu sisi wenye IMANI tofauti na wao isingekuwa nongwa hata, lakini kwa kuwa wao wanajipa sifa kuwa ndiyo wenye uwezo wa kuwaza hadi wakagundua kwamba Mungu hayupo kwa kuwaza tu,then kubeza sisi kuwa ni watu tusiokuwa na hata chembe ya mawazo ndiyo maana tunaamini Mungu yupo,hapo ndipo penye hoja ambapo sitawaacha kwa kuwa najua,miongoni mwa ATHEIST wapo watu smart kuliko mimi,lakini wako pia ambao ni mazu.zu kweli kweli,hivyo hakuna uhusiano wa usmartness katika kuamini au kutokuamini uwepo wa Mungu ni swala la maamuzi tu.
Majority of us we hadn't get an opportunity to meet "earthiest" I leave in the country were this people make high percentage. But make no mistake these people are the unhappy people you will ever met.
They fail to challenge the concept of religion. They gave up on themselves and they just believe there is a force somewhere.
My HR lady was telling me how she doesn't get God phenomenon. She said all kind of nonsense. But when her husband was in the coma she turn to "God" and she didn't know how to ask.
Earthiest are the short mind people who can't reason beyond the box. They like to bash religion but when you challenge their believe they become provocative. The number of people who believe in something increase year in and year out. While those who believe in nothing their number shrink.
You know why people in Tanzania like to say oooh these religion are nothing but innovation from Middle East because we don't like to think. If you want to believe in something research and challenge.
God call people to challenge His existence. He ask people to walk across the global and see the creation and those who think will always believe the creation.
Why earthiest like to be incriminated after death. They hate the idea of being put in the ground why? Any human being sense the creation. God embedded some kind of chip in us and when all is gone and done we fill in our inner core His existence. Ask any earthiest to prove that God doesn't exist they will fail. They like to challenge the existence of religion from WHY prospective. Why if god exists he can't stop death of children. Why and why? And they forget to think that why we breath. Why we have connection to our parent. Because God is there. Do your homework don't let this people think for you.
Majority of us we hadn't get an opportunity to meet "earthiest" I leave in the country were this people make high percentage. But make no mistake these people are the unhappy people you will ever met.
They fail to challenge the concept of religion. They gave up on themselves and they just believe there is a force somewhere.
My HR lady was telling me how she doesn't get God phenomenon. She said all kind of nonsense. But when her husband was in the coma she turn to "God" and she didn't know how to ask.
Earthiest are the short mind people who can't reason beyond the box. They like to bash religion but when you challenge their believe they become provocative. The number of people who believe in something increase year in and year out. While those who believe in nothing their number shrink.
Waache tu wajitetee hao wasiomtambua Mungu. Mungu anawaona vizuri tu na ameahidi kuwa atawanyooshea maisha yao ili wajione kwamba hivyo wanavyoamini nisawa ila siku ya hukumu hawatakua na pakukimilia!!!
Jambo jema lolote halipatikani kirahisi, vile huwezi kupata amani kwa watu kama hujawawekea sheria na magereza kwa ajili ya watakao kwenda kunyume! that is natural.. Mungu hakumuumba mwanadamu ili amuadhibu bali alimuumba ili awe mnyenyekevu na kufuata sheria, ambazo ndio zinaleta amani duniani. sasa kama jitu linaishi kama mnyama (madawa ya kulevja, mashoga, mafias) kweli hawa waachwe tu waingie mbinguni wakale raha..!!!!Kweli kabisa. You have confirmed the true nature ya mungu wenu.
Jeremiah 4:10 Ah, Lord GOD! surely thou hast greatly deceived this people.
Ni asiye na uelewa wala huruma, ni mkatili, mbabe, and nina wasiwasi na hizo "hekima kuu" zake. Ukiangalia jinsi alivyo- na atakavyoshughulikia mambo (kama ulivyoonyesha hapo juu), mtu unajiuliza what exactly is great about this being.
Usifikiri watu waliamka tu wakaamua hawaamini mungu...kama mungu wenu yupo na anajua kilichowasibu na anataka kuwasaidia angewasaidia. But nani hajui mungu wenu kabaki kutishia moto tu. UJINGA!!!!!
Ifike watu mjishtukie kidogo, watu wazima mnatishiwa vitu vidogo na moto. Kha!!!!
Hapo kidogo umejenga hoja ya msingi pasi na jazba_mvuta bangi.
Yawezekana ni uzuz.u ulionao umekufanya uone kuna hoja ya msingi,au sio mkuu. makambo tu
Jambo jema lolote halipatikani kirahisi, vile huwezi kupata amani kwa watu kama hujawawekea sheria na magereza kwa ajili ya watakao kwenda kunyume! that is natural.. Mungu hakumuumba mwanadamu ili amuadhibu bali alimuumba ili awe mnyenyekevu na kufuata sheria, ambazo ndio zinaleta amani duniani. sasa kama jitu linaishi kama mnyama (madawa ya kulevja, mashoga, mafias) kweli hawa waachwe tu waingie mbinguni wakale raha..!!!!
Unaweza kuniambia wewe ulikujaje kujaje hapa duniani, na nini hasa lengo la wewe kuwepo hapa duniani?? jee unajua utakufa, jee baada ya hapo unajua nini kitatokea!! hebu tuanzie hapa, halafu ndio tutaangalia hoja yako ya mwanzo!!there are so many things wrong with what you've just said, hata sijui nianzie kukujibu wapi.
Kwanza umeaminishwa mbingu......kama mtoto mdogo na we unashabikia mbinguni. Sijui mungu wenu anapowaahidi mbingu ni kwamba anakubali dunia yake sio "vema" kama alivyodhani au vipi. Kwanza me naona mbinguni hakuna deal, kuna kila kitu nachotaka huku huku, the food, the music, the dancing, SEX, the jokes.......hivi huko mbinguni kuna utani kweli??
Pili, umeonyesha kuwa binadamu aliumbwa akiwa SI MKAMILIFU, na wakati huohuo mungu kumwekea sheria ambazo ziko nje ya uwezo wake na ambazo hupitwa na wakati. Au umemaanisha nini kuwa mungu ameweka sheria na binadamu hafuati? Vipi zile zilizopitwa na wakati ambazo mungu alisema ni KAMILIFU na ZITADUMU?
Tatu, umesema mungu hakumuumba binadamu ili amuadhibu bali ili atii sheria. THAT DOESN'T EVEN MAKE SENSE!!!!! What the hell were you trying to say!!! Na sijui We ni dini gani inayofundisha mwanadamu aliumbwa atii sheria!!! Najua ukristo na uislamu unataja sheria moja tu waliopewa wale wawili. Kwahiyo mungu aliwaumba kwa ajili hiyo tu!!!!!!!?? Iwe ndio au sio, sikubali hadithi ya "wale wawili" kwasababu haiitaji akili ya ziada kujua THAT STORY IS THE GREATEST BULLSHIT MAN HAS EVER MADE.
Nne, umesema vizuri haviji kirahisi ......huwa nashangazwa na jinsi mungu anavyoendeshwa na nature ya binadamu....kwangu it only proves atheists claim that GOD WAS MADE IN MAN'S IMAGE.....
Tano, siku nyingine unapojaribu kutetea imani yako, usilinganishe mifumo ya kibinadamu na ile ya mungu ambayo inapaswa kuwa 'kamilifu'. Mf. unaposena binadamu anahitaji sheria ndo aende ndomana mungu akaumba sheria, unaprove kwamba uumbaji wa mungu si kamilifu
Mwisho, sijaelewa jibu lako linahusiana vipi na nilichosema.