mkuu ni bora ukiangalia matendo ya waumini na vipengele vinavyohusiana na matendo yao unapotaka kuhoji pia ukiweka wazi imani yako ilipo.manake inaonyesha wewe ni ''African religion believer'' ambazo zimedhohofu tangu enzi za kinjiktile ngwale aliposhindwa kuwaokoa majemedari wake wasipigwe risasi. ninachopenda kusema kama wewe ni mtu mwenye imani ya dini unatakiwa ujue hakuna dini yoyote duniani isiyojulikana in and out, hata kama ni mungiki ama illuminati. hivyo your not free from being criticized if your a part of it.na hizi dini za ukristo na uislamu ndizo zinajulikana sana, unapokosoa neno ni vema ukahusisha na matendo ya waumini wake, na maandiko mistari wanayotumia. kwani kwa kutumia utaalamu wa lugha tu, unaakisi staili za wanasiasa especially wanaotaka kuvutia kwao kwa kunukuu kamstari.wazungu especially wamarekani wametusaidia sana na wanazidi kutupa msaada sisi wanadunia katika kuondokana na ukatili tunaotendewa kwa hizi imani za kulazimishana kwa mapanga wakijua hatma ya mwanadamu ipo hatarini pale utu wake na nafsi yake ikiangamia kwakukosa uhuru wa kujua ukweli na kufuata bila shuruti. uhuru wa kuhoji na kujajadili unaheshimika sana ulaya. haki hizi hazipo sehemu kubwa ya mashariki ya kati walipo waarabu ambao ni maskini, hawana elimu na traditionalisti na somalia. wazungu kuanzia nyumbani kwao wanaheshimu sana utu wa mtu. kama unaelewa nini maana ya utu utakuwa umenipata fresh, manake hata nyerere na viongozi wa africa walikipigania wakikitaaja kama ''utu wa mwafrika utambuliwe''
Mkuu! Hizo details ulizozitoa hapo juu hazina ukweli ndani yake hata kidogo!
Wamarekani na mabara yote ya ulaya ndio waanzilishi wa biashara za watumwa na ni watu wa kwanza kutawala nchi za wenzao kwa mabavu! Na hayo wanayafanya mpaka leo!
Leo wazee wetu na mashujaa wetu waliuwawa wakati wa kupambana na mkoloni wakiskia wewe mjukuu wao unasema WAMAREKANI WAMETUSAIDIA! Nadhani wanaweza kukuachia radhi!
Nimeishi na hawa wakoloni karibu 3/4 ya umri wangu na nakwambia ndugu sheria wanazo zitengeneza ni KWA AJILI YA MANUFAA YAO TU!
Na kama wewe na mimi hatuna maslaha nao. Basi mbele yao sisi ni invisible! !
Tuliyaona rwanda! Wamechinjana over 100.000!! Umemuona mzungu kaingilia??
Tazama iraq ilipoingia kuwait!! Within 24 hrs majeshi ya wazungu yaliingia kila kona! Why!!? Maslahi tu! Hakuna ziada!
Tazama Wanavyo iminya Cuba!!
Na mengine meengi mno siwezibkutaja yoote!
Nakubali kuwa mila zetu za kale zimechangia baadhi yetu kuumia na hata kupoteza maisha! Lkn huwezi hata siku moja ukasema wazungu na mila zao ni bora kuliko za kwetu!
Sisi juu ya tofauti zetu bado TUNA UTU!
Tunaishi na jirani zaidi ya miaka 19 leo huku kwa wakoloni! Na Zaidi ya "Hi" asubuhi baaaaas! Hakuna zaidi!
We ugua, kufa yeye hana habari!
Upande wa pili naishi na bibi wa miaka 93!!! Anaishi peke yake! Hana mtu wa kumuangalia zaidi ya social workers! !
Na amezaa watoto watatu wakubwa tu!
Wanakuja Christmas mpaka Christmas!
Wakrito na waislamu juu ya tofauti zetu huko home bado kuna utu baina yetu na mara nyingi matatizo yanaletwa na hao viongozi wanaolazimisha system za imani zao ziingie kila mahali kwa nguvu! (Mifumo kristo) and thats the fact!
We angalia chokochoko nyingi hapo TZ chanzo ni nini!
But generally we are all cool with each others!
Believe me bro! When you live with these colonial masters! Then you will know how nice we african are!
Be proud of yourself. Na hatta siku moja usiwasifu hawa wazungu waliotuletea dini na kuzitumia kutunyanyasa kuwa ni bora kuliko sisi!
Look at the history
NA Hata huku kwao wanaubaguzi kwa sana tu!
These people they spend billions if dollars! Kutengeneza silaha za maangamizi ya binaadamu! Na kila siku wanatafuta na kubuni silaha kali kuliko ingine ya kuweza kuuwa kwa halaiki!!
Bado unasema hawa ni waungwana??
Hio misaada wanayokupa wewe na mimi ni sumu yenye asali!
Si unaona mugabe!!
Kuwaambia ukweli tu! Amekuwa adui wa dunia nzima! Mpaka waafrika wenzake wanamkana!!
I wish people could see the true colour if these colonial masters!