Hebu mkuu jaribu km wewe ni mwenye kutaka kujua! Jaribu kufuatana na mimi hapa chini!
You will be amazed!
NADHARIA ya uwezekano
Katika hisabati kuna nadharia inayojulikana kama 'Nadharia ya Uwezekano'.
INAKWENDA KWA MIFANO HII KAMA IFUATAVYO!!
MFANO WA KWANZA!
Kama kuna njia mbili, kati ya hizo -moja ya SAWA, na moja ni MAKOSA{si sawa},
Na wewe ukaambiwa uchague njia moja ya sahihi!
-nafasi ya wewe kuwa UTACHAGUA NJIA ILIYO SAWA ni nusu, yaani mmoja kati ya mbili itakuwa sahihi.
-Kwa hivyo Una ASILIMIA -50% ya nafasi ya KUCHAGUA NJIA ILIYO -SAHIHI.!!
MFANO WA PILI!
kama wewe umerusha sarafu juu ! halafu ukabahatisha kwa kusema - -ni "mkia" au "kichwa" basi nafasi ya wewe kupatia na kuwa ni sahihi ni {1 kati ya 2} -ambayo ni asilimia 50% -
Kama wewe umerusha -sarafu mara ya pili, nafasi ya kwamba utakuwa sahihi katika mara zote mbili kwa mpigo inapungua kuwa -asilimia 25%
Ki mahesabu ni nusu kugawa kwa nusu (1/2 x 1/2) ambayo ni sawa na 1/4% yaani 50 ya 50% ambayo ni sawa na asilimia 25%.
-Na ukirusha sarafu mara ya tatu, nafasi kwamba utakuwa sahihi mara zote tatu ni (1/2 x 1/2 x 1/2)
-ki mahesabu ni -1/8 au 50% ya 50% ya 50% ambayo ni asilimia 12 ½% .
MFANO HAI WA TATU.
Chukua gololi -sita zenye namba! -{1,2,3,4,5,6,) Halafu -zitie kwenye mkebe ambao huwezi kuona ndani
-CHANGANYA HUO MKEBE!
Halafu tia mkono utoe hizo gololi kwa mpangilio wa namba! {yaani toa namba 1, halafu 2 halafu 3...nakuendelea mpaka mwisho}
-nafasi ya kubahatisha kwako na ukawa sahihi KWA MUJIBU WA NADHARIA YA UWEZEKANO -itakuwa -ni 1/6 .
-kwa lugha nyepesi, Ili uweze kupatia kuzitoa hizo gololi zoote sita kwa mpangilio wa namba 1 hadi 6! -ITABIDI UJARIBUJARIBU -MARA MILIONI 6!!
NA UKITAKA KUFANYA KWA MARA YA PILI NA PIA UPATIE MARA ZOTE MBILI KWA MPIGO !! BASI -NAFASI YAKO YA KUFANYA HIVYO NA UPATIE,-
Ki mahesabu ni -(1/6 x 1/6)-
ITABIDI UJARIBUJARIBU ATLEAST MARA MILIONI 36!!
NA UKITAKA KUFANYA KWA MARA YA TATU!
BASI NAFASI YAKO YA KUPATIA INAPUNGUA -TENA INAKUWA -(1/6 x 1/6 x 1/6) !
KWA LUGHA INGINE ITABIDI UJARIBU JARIBU KWA MARA MILIONI 216 -au kifupi ktk asilimia 100% nafasi yako ya kupatia mara zote 3 ni asilimia 0.5%!!
NA HIZI NI GOLOLI TU MKUU ...........
HII NDIO NADHARIA YA UWEZEKANO!
Hebu sasa tuiingize hii nadhari ya uwezekano ndani ya -QURAAN!
na tuseme kuwa mtu alizitunga tu na kuzibuni hizi aya za quraan na taarifa zote -zilizotajwa katika Qur'an ambayo ilikuwa haijulikani wakati huo.-
Hebu tujadili uwezekano wa kubahatisha wote uliotajwa ktk quraan! na mara ngapi QURAAN IMEBAHATISHA VITU NA VIKAWA SAHIHI 100%!!!!
NA SAYANSI PIA IKALITHIBITISHA HILO QURAAN INAPOLISEMA!!
1. UMBO LA DUNIA
-Wakati Qur'an inateremshwa, watu walidhani dunia ilikuwa tambarare, kuna chaguzi nyingine zilizo husishwa na umbo la sura ya dunia.
wengine walisema -Inaweza kuwa ni pembe tatu, inaweza kuwa mviringo, au pembe nne, au kama mpira, kama papai, au kama nusu ya kipande cha chungwa, quadrangular, pentagonal, hexagonal, heptagonal, octagonal, spherical, nk
Watu wa wakati huo walifanya chaguzi mbalimbali 30! kwa ajili ya kuitafakari sura ya dunia.
QURAAN IMEPATIA -SAWASAWA 100% {kama sayansi ilivyo gundua}KWA KUSEMA KUWA DUNIA NI -MVIRINGO{spherical},
-kama ilikuwa nafasi ya KUDHANI KUWA NI SAHIHI BASI NI 1/30.!
2.MWANGA WA MWEZI.
Mwanga wa mwezi unaweza kuwa mwanga wake mwenyewe au mwanga ulioakisiwa!.-
Qur'an -imepatia 100% {kama sayansi ilivyo gundua}kwa kusema kuwa ni MWANGA ULIOAKISIWA -.
-Kama ni KUDHANI TU, nafasi kwamba itakuwa sahihi ni 1/2 { 50/50}
-na uwezekano kwamba mifano yote miwili -kubahatisha kuwa -dunia ni mviringo na mwanga wa mwezi ni -mwanga ulioakisiwa ni 1/30 x 1/2 = 1/60 .
3.CHANZO CHA UHAI WOTE!
Zaidi ya hayo, Qur'an pia anataja kuwa kila kilicho hai basi asili yake ni maji.!
Kwa mujibu wa kanuni yetu ya nadharia, -Kila kilicho hai kinaweza kufanywa kwa kutumia miti, mawe, shaba, aluminium, chuma, fedha, dhahabu, oksijeni, nitrojeni, hidrojeni, mafuta, maji, saruji, zege, nk
-chaguzi hizo hapa wanavyosema ktk ile nadharia yetu ni kama nafasi 10,000. !!
Qur'an imesema sawa Sawa 100% {kama sayansi ilivyo gundua} kwamba kila kitu kilicho hai asili yake ni -maji.
-Kama ni kunadhani tu, basi nafasi kwamba itakuwa sahihi ni 1/10, 000.!!
Na uwezekano wa kubahatisha zote tatu yaani dunia ni mviringo, mwanga wa mwezi ni mwanga ulioakisiwa na kila kilicho hai asilia yake na maji kuwa sahihi ni 1/30 x 1/2 x 1/10, 000 = 1/60, 000 ambayo ni sawa na -asilimia 0017.%.
Qur'an inazungumzia kuhusu mamia ya mambo ambayo yalikuwa -hayajulikani -kwa watu wakati wa ufunuo wake.
-katika chaguzi za mifano mitatu tu , basi tumeona matokeo ya quraan kubahatisha na kupatia kuwa sahihi ni 0.0017%.
-Mimi nakuachia ... wewe, utazame ktk QURAAN mamia ya mifano iliyomo ambayo leo sayansi imekuja kutuonyesha kuwa ni kweli,
Na kila NADHARIA iliyotajwa ndani ya quraan., BASI HAKUNA HATA MOJA AMBAYO MPAKA SASA IMEKWENDA KINYUME NA SAYANSI!
Ni zaidi ya uwezo wa binadamu kuweza kudhani na wakati wote akawa sahihi bila kosa hata moja,-
Na kama wewe .... una busara iliyo wazi na kwa mantiki hizi basi hii mifano michache tu inakutosha kuthibitisha -kwamba asili ya Qur'an ni Mungu.
NA MUNGU YUPO!
Lkn uamuzi ni wako! kama utakubali hayo -na uingie ktk lile kundi linaloitwa" walio amini" MUNGU!
Au utakataa na kutafuta ile mifano isiyo na mantiki wala ushahidi wowote wa kiakili wala wa kisayansi ambayo inapinga kuwepo kwa MUNGU! uwe ktk kundi lao!
Fahamu kuwa ipo siku mimi na wewe TUTAKUFA!! na hapo ndipo tutakapo uona ukweli!! na ndugu yangu wakati huo ukifika! ni mawili tu!
STAREHE NA UZIMA WA MILELE!
AU-
ADHABU ZA MUNGU NA SHIDA ZA MILELE!.