Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

big up wakubwa, nimekua sina dini kwa muda mrefu, kuna contradictions and fabricated events nyingi sana. nimechoka
 

Wewe ni Muislam safi kabisa, na watu kama wewe ndiyo sababu ya watu WA dini kutukanwa, haiwezekani useme Yesu ni Mungu huku uendelee kuwa Muislam, ni sawa na Mkristo akimkiri shetani ambaye ninyi ni Mungu hawezi kuendelea kuwa mfuasi WA Kristo. Islam kwa Bahati mbaya sana hauwezi kusomama pasipo rejea katika maandiko ya Mungu WA kweli toka Biblia, lakini waKristo wamejitosheleza hawahitaji mafundisho ya mungu mwingine awaye Yote , unateseka si mapenzi yako ni ibilisi anatumia kichwa chako kufanya tafiti zake ili awaangamize wanadam, kwa makusudi shetani alianzisha dini yake ili ishinde dini zingine ikiwa ni pamoja na imani juu ya Mungu WA kweli. Usichojua wewe no kwamba shetani au mungu wako hawezi kupambana na Neno la Mungu.
 
Kaah....! ww balaa jamaa'ngu,hivi nikuulize yale yaliyowapata watu wa Sodoma na Gomora ni hadithi za kutunga au kweli.....?
 
Sasa ndugu kwani hapo ni Kahtaan aliyesma sio Mungu au Biblia,maana yeye kaquote aya,au ndio yaleyale.....?
 
big up wakubwa, nimekua sina dini kwa muda mrefu, kuna contradictions and fabricated events nyingi sana. nimechoka

Kutomtambua Mungu ni Ujinga! Na ukumbuke "Ignorance of law doesnot afford any excuse!"
Akili kumkichwa!
 
Ni nini mwanzo wa maarifa?? Kama sio kumjua Mungu??? Wanasayansi ni wa upande upi hadi waseme hayo??? Ni wa upande wa dini au wasio na dini??? Ukipata jibu changanya na zako.
 
Funny thread..kivipi dini inapunguza Intelligence?
 
Syrian boy's family killed by Syrian army and then boy himself is cut open for fun. How will Bashar reply to this boy on the Day of Resurrection
Are you an atheist?this act was done by religious people and it only proves that religious people are less intelligent than atheist
 

What you don't understand about the bible is that is the word of God, but also depicts human actions - their belief systems, customs and norms - and the word of God is intended to purify and change whatever is wrong and turn it into virtues. What you don't understand also is that, whatever is recorded in the bible has a theological lesson. The bible is not a history book, it's meant to make believers understand matters of faith. For instance, the creation of the universe depicts God as molding the earth/mud and making a human being and then breathing into it and then the human being becomes alive. Yet, we know that, whatever God willed it instantly became. "Mungu akasema uwe mwanga na ukawa..." Kwa hiyo, since you are lost in the morphology of the wording, you cannot grasp the message. It's like when reading this metaphor 'the camel is the ship of the desert' - is it meant to be understood that the camel is the ship to the extent that, the desert is the sea or ocean or does it mean that as the camel frequents desert trips so does the ship in the sea or ocean?
 
Pepo yao iko katikati ya miguu ya wanawake. Tenda haki ukaipate hiyo pepo huko akhera. Maana utakuwa nao sabinit huku wewe ukiwa na nguvu za wanaume mia.

Jitahidi shika maamrisho ya dini ILI ukaifaidi hiyo pepo.

LAKINI,ukiwa mwanamke haijawekwa wazi kama nawe pepo yako iko katikati ya miguu ya wanaume.
 

Na wale wenye imani ya kizungu pepo yao iko migongoni mwa wanamme wenzao!
Wao na ULIBERALI ni km WAMASAI na Ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…