bubbs
JF-Expert Member
- Feb 2, 2013
- 361
- 178
Non-Theists are Monkey Incarnate
So.........?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Non-Theists are Monkey Incarnate
Angalia hizo zilizokolezwa wino mwenkundu.
Oh, and I forgot. Umesema kusikia mungu huyo hadi niwe na masikio.
Typical of religious ----.
Umesema matatizo najitakia mwenyewe alafu naomba msaada! Mh.
Watu wanaozaliwa na ulemavu walijitakia?
Watu wanapopata magonjwa hata baada ya kujitahidi kukwepa walijitakia?
Watu wanaokufa vifo vya kikatili walijitakia?
Vitoto vizaliwavyo kwenye umaskini uliokithiri au vitani walijitakia.
Vipi mtu kama mama yangu who is the politest woman I know of, who is such a faithful and zelous Christian but happens to be stuck in an abusive marriage for decades? Naye kajitakia?
Hivi una umri gani we kiumbe!!!! Throughout I've been assuming your older than I and its such a shame!!!!!
Pia una matatizo na kutoelewa context. Sijui secondary ulisomaje!!!
Or maybe I was open to many interpretations.
When you quote a source, you quote it as facts from the source.
Wewe ulimisinterprete man's evolution. I corrected you from the evolution's point of view, that is the evolution fact from the evolution source.
Now whether the info is subjectively fact or not is another case.
Hope I'm clear
Nguvu ya asie na elimu ni matusi!
Imani yenu hamuijui wala kuifahamu vizuri!
Mnakubali kuwa yesu alioendwa na baba yake mpaka akamtoa kafara kwa ajili ya dhambi zenu!
Leo hii baba zenu wangewapenda kama yesu alivyopendwa na huyo mnaemwita baba yake, hakuna mgalatia angebaki duniani.
Wacha matusi! Na kujifanya mjanja kutia dots katikati ya maneno yasiofaa ili ufanikishe uchafu wako!
Hio sio busara na unaliangusha kanisa lako hadharani kwa kuonyesha ufinyu wa elimu.
JUST WHAT I THOUGH AND SAY!!
Silaha ya mlevi hio!! matusi na kashfa!
Hlafu leo WATANZANIA WANADHANI KUTAKUWA NA USALAMA WATU WENYE IMANI KAMA HUYU KUTUONGOZEA NCHI!!
Sio ndio nyinyi mnaotujazia waliberali duniani! halafu mkiulizwa mnatupeleka kwenye andiko! ya kuwa imeruhusiwa!!
EEH MUNGU TUSAIDIE!!
Wapumba.vu watu wa ajabu sana, .
With your second last paragraph it occured to me that i might be talking to a computer program and not a reasonable being. Plus your insults and failure to carry a mature and descent convo, this is my last reply to you, unless u decide to go on with a descent convo.
Throughout you have been playing semantics.
You pretend to not know what I meant by mtu mwenye nguvu za ajabu. (although, kweli, it would have made more sense in English)
Swali lako number tisa halikuwa clear, nikauliza if what u meant is advance in technology ndo evolution au vipi. Ukashikwa na ushabiki na kuasaume nimesema advance ya technology ni evolution. Ona ulivyonijibu na swali lako no. 9 uone unavyojicontradict.
Either way your interpretation on advance in technology and evolution is beyond ridiculous.....
DNA is a good topic for debate between educated and matured atheists and theists. I read lots and I could dare challenge one. In this case neither of us qualify for this debate, I having a limited knowledge of it, and you being immature or both.
Sijui ni wapi nimesema science ni ya atheist, hata baada ya kurudia rudia kusoma my text. So I'll assume nguvu zako za ushabiki zimepita za kudebate. SIJASEMA SCIENCE NI MALI YA ATHEISTS. THAT DOESN'T EVEN MAKE SENSE.
About macro evolution, as I said I know very little about it. I would have taken your word for it if u had been giving scholarly inputs in your previous posts. But I'll have to ignore you due to your previous hogwash.
I answered all your questions as I saw fit, kama hukuridhika that's no my problem. Although, I would be happy to elaborate if you changed your attitude. But again, I lost interest in this silly convo.
Atheism can be used just like theism. Eg. Killing inthe name of god. In this case, killing because there is no god!
Nimependa mfano wako wa akili. Umeonyesha kuwa mungu ni wa kufikirika kama 'akili' ilivyo
Mlevi alipita mtoni akaona watu wanabatizwa akajua kuna kitu wanatafuta kwa vile mchungaji anawazamisha na kuwatoa kwny maji, mlevi nae akapanga folen, ilipofika zamu yake mchungaji akamzamisha hlf akamtoa,akamuuliza umempokea Yesu? Akajibu bado, akamzamisha tena hlf akamtoa akamuuliza jee umempokea Yesu? Akajibu bado, mara ya tatu akamuuliza tena jee umempokea Yesu? Mlevi akajibu "Mchungaji unauhakika alizama maeneo haya au tunahangaishana???? 😀😀
Teh teh teh teh!
JE ! WEWE MWENYE BUSARA UMESHAMPOKEA Yesu??
Namaanisha nilichoandika, soma tena utaelewa.Umemaanisha sifanyi vile anavyotaka Mungu?
If so, me nitajuaje anachotaka?
taahira kweli, unajiotekenye mwenyewe na kucheka mwenyewe... wahi mirembe hospital
Soma tena hili bandiko lako utagundua kwamba, hutaki kuamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hafanyi vile unavyotaka wewe. Sasa jiulize unadhani wewe nani hadi umuelekeze huyo Muumba jinsi ya kufanya mambo yake?
mungu wako kuwa Best DECEIVER ni tusi au sifa. mtu unayeamini mungu anaweza kuwa best deceiver, utakuwa mzima kweli ? no wonder unafundishwa kweli unaona ni matusi,biblia imeandika shetani ni baba wa uwongo na muuwaji tangu zamani, na mungu wenu ni mbora wa waongo,atakuwa nani kama sie Shetani ?
sina kanisa,Yesu Kristo pekee ndiye mwenye kanisa,ama hayo uliyoandika yanaonyesha wewe ni binadmu kamili mwenye utashi ni shetani tu,kakupiga muhuri ili usiijue kweli,ndiyo maana ukweli wauti matusi,na ni bahati njema kuwa hata wale ambao walidhani Allah ni Mungu wajue kuwa sio Mungu bali ni BABA WA UWONGO NA MUUWAJI TANGU ZAMANI. Ukiishi nyumba ya vioo usirushe mawe, Best deceiver follower take note
Hata enzi za Yesu yote haya yalikuwepo..so sishangai fuateni mkumbo ila siku ikifika nayo i karibu kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe!
Hata siku moja Mungu hawezi kushindwa nguvu na shetani, bali anajaribu kuwavuruga binadamu, aliahidi kufanya hivyo na Mungu akamruhusu kama kweli ataweza, kwahiyo tupo kwenye vita ya vita ya kupambana na shetani kama vile tunavyohangaikia chakula, elimu, makaazi n.k. duniani ni kama darasani au boarding school! tupo hapa mda mfupi tu ili kuandaa maisha ya milele yasiyoisha!!
wakati anaumbwa binadamu, shetani alichukia sana na kumwambia Mungu kwa nini ameumba kiumbe chengine na kusema kwamba ni chema, ilihali yeye shetani ndo alijiona kuwa mwema zaidi! baada ya kuumbwa Adam viumbe vyote vilitakiwa kumsujudia, lakini shetani alikataa, na hapo ndipo alipoanza kumuasi Mungu, aliahidi kuwapoteza wanadamu wote ila aliomba apewe muda mrefu wa kuishi kutimiza ahadi yake! Mwenyezi Mungu alimkubalia ombi lake la kuishi mda mrefu, lakini Mungu alimuhakikishia shetani kwamba hatawapoteza wote ila wale tu ambao hawatamuogopa na kumuabudu YEYE kama alivyoagiza. Kupambanisha ni njia moja ya kujua ukomavu wa timu moja dhidi ya nyingine, sisi wanadamu tunapambanishwa na shetani na vibaraka wake, atakae shinda vita ndio anapata maisha mema baada ya haya!!
Sasa nyie mbona mnatichanganya!!?
Mara mseme YESU KAFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU WOTE!
Halafu leo unasema "KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE!
SASA TUSHIKE LIPI??
Hebu mparokia wa kkkkt Eiyer uje utusaidie hapa!
Je! Yesu alikufa ili wewe upone? Au alikufa na nyie kivyenuvyenu!!