kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Mkuu huyo jamaa alikimbia maswali!
Unamshangaa huyo jamaa!?
Wewe mbona ukiulizwa maswali pia unakimbia?
Nilikuonyesha ushahidi kwenye ule uzi uliofungwa! Mbona ukakimbia jumla!?
Tatizo lenu nyie ni kufuata kama mkia bila ufahamu hata wa hio imani yenu!
Na hilo ni janga kuu!
Halafu eti ukiwa na sauti nzuri tu ya kuimba kwaya! Wanakupa na unabii!
Mhhhh hizi imani zingine balaaaaa!