Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Angalia hizo zilizokolezwa wino mwenkundu.

Oh, and I forgot. Umesema kusikia mungu huyo hadi niwe na masikio.
Typical of religious ----.

Umesema matatizo najitakia mwenyewe alafu naomba msaada! Mh.

Watu wanaozaliwa na ulemavu walijitakia?
Watu wanapopata magonjwa hata baada ya kujitahidi kukwepa walijitakia?
Watu wanaokufa vifo vya kikatili walijitakia?
Vitoto vizaliwavyo kwenye umaskini uliokithiri au vitani walijitakia.
Vipi mtu kama mama yangu who is the politest woman I know of, who is such a faithful and zelous Christian but happens to be stuck in an abusive marriage for decades? Naye kajitakia?

Hivi una umri gani we kiumbe!!!! Throughout I've been assuming your older than I and its such a shame!!!!!
 
What the fok.....is it the system that automaticaly edited my post or ni mods?

I was being insulted throughout and a simple "----" is edited.upuuzi.
 
Oh, and I forgot. Umesema kusikia mungu huyo hadi niwe na masikio.
Typical of religious ----.

Umesema matatizo najitakia mwenyewe alafu naomba msaada! Mh.

Watu wanaozaliwa na ulemavu walijitakia?
Watu wanapopata magonjwa hata baada ya kujitahidi kukwepa walijitakia?
Watu wanaokufa vifo vya kikatili walijitakia?
Vitoto vizaliwavyo kwenye umaskini uliokithiri au vitani walijitakia.
Vipi mtu kama mama yangu who is the politest woman I know of, who is such a faithful and zelous Christian but happens to be stuck in an abusive marriage for decades? Naye kajitakia?

Hivi una umri gani we kiumbe!!!! Throughout I've been assuming your older than I and its such a shame!!!!!

Unajifanya mwanasayansi lakini unaandika pumba ambazo zinaonyesha hata kutafakari kidogo hutaki. Ndio,na maana ya kuwa uwe na masikio ni kwamba uwe na uwezo wa kusikia,kama Lugha anayosikilizisha Mungu huna uelewa kwayo utasikiaje ?

Watu wanaozaliwa na ulemavu ? mwanasayansi hujui kinachosababisha watu wazaliwe na ulimavu hata wataka kumuwajibisha Mungu,Shame on you, au hujaambiwa tafiti zimethibitisha kuwa wanawake wengi wanakula milo isiyo kamili na ndicho chanzo cha kukosa baadhi ya virutubisho muhimu kwa kiumbe tumboni na kupelea kuzaliwa watoto wenye ulemavu...WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA...by GOD. Mungu wetu anatutaka tutafute maarifa tuwe nayo ili tusiangamie...Mazu.zu hasa Maatheist hamuwezi elewa ukweli huu wa Mungu wetu,maana kwa ujuha wenu mnadhani watu wa Mungu tunatakiwa kuishi kama hayawani wengine.

Vyanzo vya magonjwa vinajulikana,ni aibu kwa mtu anayejinasibu kuwa anapenda sayansi kumsingizia Mungu kwa vitu ambavyo Sayansi inathibitisha kwamba ni matokeo ya shughuli za kibinadam,makemikali yanayoleta uchafuzi wa hali ya hewa yanawajibika kwa magonjwa mengi sana,ajabu mwanasayansi Atheist wa Jf hujui wamtwisha Mungu lawama,Hakika watu wa Mungu mnaangamia kwa kukosa maarifa,mmebaki kukaririshwa tu.

Vifo vya kikatili ndiyo vifo gani zuz.u wewe, watu kumwagiwa tindikali,watu kuteswa mabwepande na kuuwa,majambazi kuuwa watu,magaidi kuuwa watu,ajali kuuwa watu,sumu/chemikali zilizotengenezwa na wanadamu/wanasayansi kuuwa watu Atheist wamtwisha Mungu lawama ! Majangaaa...

Pumba.vu,nini maana ya kuzaliwa kwenye umasikini uliokithiri ? ulitaka Mungu aje alime, avune,awapikie,awapakulie ndio ujue Mungu yupo, hata kukuita zu.zu ni kuku-under rate tu...

Mungu anahusikaje kumchagulia mama yako Mume, very bogus,kumbe umerithi matatizo ya baBA yako anavyoishi na Mama yako i.e Baba yako ndiyo yamekuacha na msongo hadi kujifariji kwa kuamini Mungu hayupo !!! wewe kichwani kweupeeee...abussive marriage ya mama yako Mungu anahusika vipi zu.zu wewe, toa wapi umefundishwa Mungu kuagiza wanawake waishi kwenye abuissive marriege ? mbona mama yangu anakula bata (yeye sio Mwanamke) na mbona mke wangu anakula bata yeye sio mwanamke, na huyo wako anashida kweli,kama kichwa chenyewe ndo hiki,like father like son. Shukuru mama yako ni zealous christian ndiyo akakuzaa wewe ambaye badala ya kuwa teja sijui Mungu ameedit DNA ili usiathiriwe sana na genes za baba yako na unaishi umesoma hata waweza kujiunga na kuchangia JF, shukuru mama yako kuwa nuruni ndiyo wokovu wako,kwa ujuha tu hujui hayo.

Umri wangu umeenda, shule nimeenda na maisha nayafaidi katika ajira na katika mambo yangu binafsi,huku nikiwa Mfuasi mwaminifu wa Yesu Kristo. Zinduka zuz.u wewe
 
Pia una matatizo na kutoelewa context. Sijui secondary ulisomaje!!!

Or maybe I was open to many interpretations.

When you quote a source, you quote it as facts from the source.

Wewe ulimisinterprete man's evolution. I corrected you from the evolution's point of view, that is the evolution fact from the evolution source.

Now whether the info is subjectively fact or not is another case.

Hope I'm clear

Thanks, full browm zu.zu...
 
Nguvu ya asie na elimu ni matusi!
Imani yenu hamuijui wala kuifahamu vizuri!
Mnakubali kuwa yesu alioendwa na baba yake mpaka akamtoa kafara kwa ajili ya dhambi zenu!
Leo hii baba zenu wangewapenda kama yesu alivyopendwa na huyo mnaemwita baba yake, hakuna mgalatia angebaki duniani.
Wacha matusi! Na kujifanya mjanja kutia dots katikati ya maneno yasiofaa ili ufanikishe uchafu wako!
Hio sio busara na unaliangusha kanisa lako hadharani kwa kuonyesha ufinyu wa elimu.

mungu wako kuwa Best DECEIVER ni tusi au sifa. mtu unayeamini mungu anaweza kuwa best deceiver, utakuwa mzima kweli ? no wonder unafundishwa kweli unaona ni matusi,biblia imeandika shetani ni baba wa uwongo na muuwaji tangu zamani, na mungu wenu ni mbora wa waongo,atakuwa nani kama sie Shetani ?

sina kanisa,Yesu Kristo pekee ndiye mwenye kanisa,ama hayo uliyoandika yanaonyesha wewe ni binadmu kamili mwenye utashi ni shetani tu,kakupiga muhuri ili usiijue kweli,ndiyo maana ukweli wauti matusi,na ni bahati njema kuwa hata wale ambao walidhani Allah ni Mungu wajue kuwa sio Mungu bali ni BABA WA UWONGO NA MUUWAJI TANGU ZAMANI. Ukiishi nyumba ya vioo usirushe mawe, Best deceiver follower take note
 
JUST WHAT I THOUGH AND SAY!!

Silaha ya mlevi hio!! matusi na kashfa!
Hlafu leo WATANZANIA WANADHANI KUTAKUWA NA USALAMA WATU WENYE IMANI KAMA HUYU KUTUONGOZEA NCHI!!

Sio ndio nyinyi mnaotujazia waliberali duniani! halafu mkiulizwa mnatupeleka kwenye andiko! ya kuwa imeruhusiwa!!

EEH MUNGU TUSAIDIE!!

Wapumba.vu watu wa ajabu sana, Walibersali ni zao la Atheism, hii imetokana ni moral issue,kitu ambacho ni janga lililoenezwa na ninyi Atheist,masikini hujui... kuna wapumb.avu wengine ambao wangependa kutenda kadri ya Maatheist huku wakitaka waendelee kuwa wa Yesu Kristo ndiyo hao wanaojitokeza na ku edit Biblia ili wawe na ile itakayo wa accomodate na matedno yao ya Kiatheist.

Wewe ni mjanja, kupitia andiko la JF umegundua mtawala mbovu.Una haki ya kuwa Atheist.
 
Wapumba.vu watu wa ajabu sana, .

Mlevi alipita mtoni akaona watu wanabatizwa akajua kuna kitu wanatafuta kwa vile mchungaji anawazamisha na kuwatoa kwny maji, mlevi nae akapanga folen, ilipofika zamu yake mchungaji akamzamisha hlf akamtoa,akamuuliza umempokea Yesu? Akajibu bado, akamzamisha tena hlf akamtoa akamuuliza jee umempokea Yesu? Akajibu bado, mara ya tatu akamuuliza tena jee umempokea Yesu? Mlevi akajibu "Mchungaji unauhakika alizama maeneo haya au tunahangaishana???? 😆😀😀

Teh teh teh teh!

JE ! WEWE MWENYE BUSARA UMESHAMPOKEA Yesu??
 
With your second last paragraph it occured to me that i might be talking to a computer program and not a reasonable being. Plus your insults and failure to carry a mature and descent convo, this is my last reply to you, unless u decide to go on with a descent convo.

Throughout you have been playing semantics.

You pretend to not know what I meant by mtu mwenye nguvu za ajabu. (although, kweli, it would have made more sense in English)

Swali lako number tisa halikuwa clear, nikauliza if what u meant is advance in technology ndo evolution au vipi. Ukashikwa na ushabiki na kuasaume nimesema advance ya technology ni evolution. Ona ulivyonijibu na swali lako no. 9 uone unavyojicontradict.
Either way your interpretation on advance in technology and evolution is beyond ridiculous.....

DNA is a good topic for debate between educated and matured atheists and theists. I read lots and I could dare challenge one. In this case neither of us qualify for this debate, I having a limited knowledge of it, and you being immature or both.

Sijui ni wapi nimesema science ni ya atheist, hata baada ya kurudia rudia kusoma my text. So I'll assume nguvu zako za ushabiki zimepita za kudebate. SIJASEMA SCIENCE NI MALI YA ATHEISTS. THAT DOESN'T EVEN MAKE SENSE.

About macro evolution, as I said I know very little about it. I would have taken your word for it if u had been giving scholarly inputs in your previous posts. But I'll have to ignore you due to your previous hogwash.

I answered all your questions as I saw fit, kama hukuridhika that's no my problem. Although, I would be happy to elaborate if you changed your attitude. But again, I lost interest in this silly convo.

Atheism can be used just like theism. Eg. Killing inthe name of god. In this case, killing because there is no god!

Nimependa mfano wako wa akili. Umeonyesha kuwa mungu ni wa kufikirika kama 'akili' ilivyo

Utakuwa taahira wewe, alikwambia ukiandika kiinglish ndiyo kinaweka uzito nani kama sio uzu.zu tu ? unasema mara ya mwisho kunijibu,bala hata aibu unaandika upuu.zi kujaza server za JF,nimekutumia barua ya maombi kunijibu. KALALE UKUE.

Sayansi ni ya Maatheist wapi umesema,hilo ni tatizo la ugumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau...mko bize na kesho wakati sis tuko bize na Mungu, ubize na kesho ni wa kitu gani kama sio kujifanya mnajikita kwenye tafiti ili kuisadia dunia wakati sisi hatujishughulishi zaidi ya makanisani ? hujui ulichomaanisha kiundani eeh
 
Mlevi alipita mtoni akaona watu wanabatizwa akajua kuna kitu wanatafuta kwa vile mchungaji anawazamisha na kuwatoa kwny maji, mlevi nae akapanga folen, ilipofika zamu yake mchungaji akamzamisha hlf akamtoa,akamuuliza umempokea Yesu? Akajibu bado, akamzamisha tena hlf akamtoa akamuuliza jee umempokea Yesu? Akajibu bado, mara ya tatu akamuuliza tena jee umempokea Yesu? Mlevi akajibu "Mchungaji unauhakika alizama maeneo haya au tunahangaishana???? 😀😀

Teh teh teh teh!

JE ! WEWE MWENYE BUSARA UMESHAMPOKEA Yesu??

taahira kweli, unajiotekenye mwenyewe na kucheka mwenyewe... wahi mirembe hospital
 
Hata enzi za Yesu yote haya yalikuwepo..so sishangai fuateni mkumbo ila siku ikifika nayo i karibu kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe!
 
Soma tena hili bandiko lako utagundua kwamba, hutaki kuamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hafanyi vile unavyotaka wewe. Sasa jiulize unadhani wewe nani hadi umuelekeze huyo Muumba jinsi ya kufanya mambo yake?

Sasa nini maana ya "hufanyi vile unavyotaka wewe?"

And swali lako la mwisho, itakuwa rahisi ukinijibu ni mungu gani unamuongelea.....specifically.
 
mungu wako kuwa Best DECEIVER ni tusi au sifa. mtu unayeamini mungu anaweza kuwa best deceiver, utakuwa mzima kweli ? no wonder unafundishwa kweli unaona ni matusi,biblia imeandika shetani ni baba wa uwongo na muuwaji tangu zamani, na mungu wenu ni mbora wa waongo,atakuwa nani kama sie Shetani ?

sina kanisa,Yesu Kristo pekee ndiye mwenye kanisa,ama hayo uliyoandika yanaonyesha wewe ni binadmu kamili mwenye utashi ni shetani tu,kakupiga muhuri ili usiijue kweli,ndiyo maana ukweli wauti matusi,na ni bahati njema kuwa hata wale ambao walidhani Allah ni Mungu wajue kuwa sio Mungu bali ni BABA WA UWONGO NA MUUWAJI TANGU ZAMANI. Ukiishi nyumba ya vioo usirushe mawe, Best deceiver follower take note

Kumbe ni Mkristo! What do you think your attitude reflects about your faith/god?

Labda kwasababu huna kanisa, ungetafuta hata moja likakusaidie jinsi ya kuact kama mkristo. Kukaa chumbani pekeyako na kutumia hekima za peke yako Labda ndo kinachokuangusha.
 
Hata enzi za Yesu yote haya yalikuwepo..so sishangai fuateni mkumbo ila siku ikifika nayo i karibu kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe!

Sasa nyie mbona mnatichanganya!!?
Mara mseme YESU KAFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU WOTE!

Halafu leo unasema "KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE!

SASA TUSHIKE LIPI??
Hebu mparokia wa kkkkt Eiyer uje utusaidie hapa!
Je! Yesu alikufa ili wewe upone? Au alikufa na nyie kivyenuvyenu!!
 
Last edited by a moderator:
Hata siku moja Mungu hawezi kushindwa nguvu na shetani, bali anajaribu kuwavuruga binadamu, aliahidi kufanya hivyo na Mungu akamruhusu kama kweli ataweza, kwahiyo tupo kwenye vita ya vita ya kupambana na shetani kama vile tunavyohangaikia chakula, elimu, makaazi n.k. duniani ni kama darasani au boarding school! tupo hapa mda mfupi tu ili kuandaa maisha ya milele yasiyoisha!!

Huyo mungu ana akili timamu kweli? wewe unaweza kumwacha simba ajaribu kuwala wanao?:Cry:
 
wakati anaumbwa binadamu, shetani alichukia sana na kumwambia Mungu kwa nini ameumba kiumbe chengine na kusema kwamba ni chema, ilihali yeye shetani ndo alijiona kuwa mwema zaidi! baada ya kuumbwa Adam viumbe vyote vilitakiwa kumsujudia, lakini shetani alikataa, na hapo ndipo alipoanza kumuasi Mungu, aliahidi kuwapoteza wanadamu wote ila aliomba apewe muda mrefu wa kuishi kutimiza ahadi yake! Mwenyezi Mungu alimkubalia ombi lake la kuishi mda mrefu, lakini Mungu alimuhakikishia shetani kwamba hatawapoteza wote ila wale tu ambao hawatamuogopa na kumuabudu YEYE kama alivyoagiza. Kupambanisha ni njia moja ya kujua ukomavu wa timu moja dhidi ya nyingine, sisi wanadamu tunapambanishwa na shetani na vibaraka wake, atakae shinda vita ndio anapata maisha mema baada ya haya!!

Hapo kwenye nyekundu naomba unikumbushe hiyo mistari inapatikana wapi nikajisomee mkuu! Mungu aliumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa maana hiyo mwanadamu yuko kamilifu kabisa kwa sababu mungu alijiangalizia yeye mwenyewe, sasa huyo shetani anaruhusiwa vipi kuhoji achilia mbali kujaribu kiumbe ambacho kinafanana na muumba wake?
 
Sasa nyie mbona mnatichanganya!!?
Mara mseme YESU KAFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU WOTE!

Halafu leo unasema "KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE!

SASA TUSHIKE LIPI??
Hebu mparokia wa kkkkt Eiyer uje utusaidie hapa!
Je! Yesu alikufa ili wewe upone? Au alikufa na nyie kivyenuvyenu!!

Hahahaaha, Eti Mungu alimruhusu shetani aje kuwarubuni wanadamu, kisha baadaye akaona kweli shetani anafanikiwa kumrubuni kiumbe aliyemuumba kwa mfano wake, ikabidi amtume mwanaye yesu aje awafie wanadamu!..hizi stori hata unywe viroba vya kutosha hauwezi kusadiki, sijui hawa watu wanaoamini wana akili zao timamu ama la!
 
Back
Top Bottom