Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Anadefend kishabiki au kwa facts?
anadefend kwa ushabiki simply because anachukua mistari nusu nusu,
waislam wanawacriticize wakristo kwamba yesu si mungu n.k, ila wakumbuke bible yao ndo imeandikwa hvyo, kama qur'an inavyosema mungu hafananishwi na chochote, hakuzaa wala hajazaliwa n.k, mim sioni haja ya kucriticize wengne wakat wote wanarefer maandiko without vivid evidence.