Baada ya mda mrefu kwa nick minaj kuteka soko la muziki wa rap/hip hop kwa upande wa wanawake naona ufalme wake unaanza kuanguka pole pole baada ya kurudi kwa mkali wa hip hop Remy ma na naona kiti kishafutwa vumbi na kilichobaki ni kwa Remy ma kukaa......Jana Remy ma kwnye tunzo za BET kaudhihirishia umma kuwa Nicki minaj is no longer a queen of rap baada ya kumugalagaza vibaya kwny kipengele cha best female hip hop