Remy ma aumaliza ufalme wa Nicki minaj

Remy ma aumaliza ufalme wa Nicki minaj

Music is about business, Nick sio Remmy Ma tu, kuna mijibaba mizima kwenye Hip Hop wanasubiri sana, kuanzia Fan base, money mpaka michano. Tuzo ni kitu kinachotolewa kila mwaka kwahiyo sio rahisi kila mara achukue mtu mmoja tu. Boost aliyopata ni sababu kamdiss Nicki na haters wamempa Votes lakini game ni bado ngumu

Fan base ya Nick minaj ni kubwa,
Kakosa tuzo kapata key to the city[emoji23] [emoji23]
Remy ma bila diss track asingepata hata hiyo tuzo.
Nick minaj[emoji146]
 
Ktk miaka ya karibuni,hakuna song kali la rap ya female artist kama Anaconda. Ni hatari sana. 'Oh my gosh, look at her butt'
 
Ktk miaka ya karibuni,hakuna song kali la rap ya female artist kama Anaconda. Ni hatari sana. 'Oh my gosh, look at her butt'
We uko inlovr na Yale makalio tu.
Mi naipenda hii aliyo shirikishwa na august na ile ya meek mill, kitambo kidogo.
Namkubali sana Nick, kwenye swalla ya derulo ndio kaua Kabisaa. De baddest
 
We uko inlovr na Yale makalio tu.
Mi naipenda hii aliyo shirikishwa na august na ile ya meek mill, kitambo kidogo.
Namkubali sana Nick, kwenye swalla ya derulo ndio kaua Kabisaa. De baddest
😀😀😀 yale si ya plastic tu kama ya Kim Kardashian?
 
Tatzo unakalili
Ndio uhalisia mkuu.
Unapotaja
mwanamke ni malkia!
Mwanaume ni mfalme.
Kubali kukosolewa, sio kuleta ubishi usio na tija.
Au wewe ni malkia isho_boy?!
Maana wewe mwenzetu hukariri!!
 
Moment for life! Hiii ngoma nikiiskia mwili huwa unanisisimka hatari. Na ile ya Dance aliyoshirikishwa na Big Sean! Na
Remy ma nyimbo niliyopenda jinsi alivyovunja ni "Together" akiwa na Terror Squad na hii "All the way up" ya fat joe. Yeye kama yeye hana nyimbo ya maana. Labda arudi mwehu Lil Kim ndiye atakayemuweza Nick!
 
Yaani unazungumza lil Kim ndo atamuweza nick minaj umesahau kuw huu ni mwaka wa pili tokea remy ma atoke jela na tyari Nicki minaji, maji yapo shingoni.....Remy ni kichwa kingne kile na bado.....shether tu ilimtoa jasho mpk kwnd kuomba msada kwa ghost writer wake akina drake na wiz
 
[emoji124] [emoji124] We umevutiwa na hiyo diss track, sio muziki wao. Haya, safari njema.
 
Remy ma nilipomsikia siku ya kwanza nilijua ni mwanaume, Jaman yule dada anachana hadi sijui nimfananishe na nani yaan kwa ufupi ni Rapa mkali sana,
 
Remy ma ni mkali ila hana nyimbo kali ...Nick ni moto ule na tuzo za BET huko kwao sio ishu sana tuzo za maana ni Gramy awards ...
 
Acha uzwazwa shetter ni diss song
All the way up ni nyimbo ya fat joh

Nimalizie mimi ndio nimeanzisha post ya kijinga
Na wewe kwa kukusaidia tu,,all the way up sio wimbo wa Fat joe sema huyo mtoa uzi hajui tu muziki wa hip hop na wewe pia hujui. Fat joe na remy ma ni kundi linaitwa Terror squad.so ngoma ni ya pamoja,ila Remy ma hanaga ngoma hit za peke yake..ila ni mkali wa Rap kuliko huyo muimbaji wako wa pop Nick minaji,.
 
Back
Top Bottom