juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Sure mkuu,watu wameanza kufuatilia muziki mwaka 2010 kipindi drake anatoka na album yake ya thank me later..hawawezi kumjua Remy Ma,,hapa tunabishana na watoto.Kumbuka kuna watu ni wazaliwa wakipindi young money ina zaliwa so kumjua remy ma na akina papoose, da brat, mss eliot, mc light, queen latifa, mob deep, WUTANG clean, ni ngumu wao wambie drake, young thug!!!
Mtu ajui kua remy ma alikua kwa gem na alikua best sell female mc, akafungwa karudi only for two years amerudi on top!!