Remy ma aumaliza ufalme wa Nicki minaj

Remy ma aumaliza ufalme wa Nicki minaj

We ndo kichwa maji ufalme ni mpk awe mwanaume unajua maana ya ufalme kweli ww kanjanja......afu sijasema mfalme nimesema ufalme ebu jaribu kuelewa
[emoji15] [emoji15] [emoji382] [emoji382]
 
U
We ndo kichwa maji ufalme ni mpk awe mwanaume unajua maana ya ufalme kweli ww kanjanja......afu sijasema mfalme nimesema ufalme ebu jaribu kuelewa
Umeniwahi mkuu. Nilitaka niwape za uso. Wanalazimisha kingdom iwe Queendom. Sijui walishawahi kuisikia wapi!!
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
We ndo kichwa maji ufalme ni mpk awe mwanaume unajua maana ya ufalme kweli ww kanjanja......afu sijasema mfalme nimesema ufalme ebu jaribu kuelewa
Rudi darasani afu uje hapa tena... usikurupuke tu umetoka kuchezewa huko unaandika upupu hapa...
 
Acha uzwazwa shetter ni diss song
All the way up ni nyimbo ya fat joh

Nimalizie mimi ndio nimeanzisha post ya kijinga
Mkuu usisahau kuwa diss song ndo huwa zinamshusha msanii cku zote endapo utaloose hiyo battle, nakumbuka Ja rule alivyo potezwa jumla na 50 cent, au Drake alivompoteza meek mill kipindi kile, na kweny hip hop diss ndo huwa zinaweza kuhamisha mashabiki kutoka upande mmoja adi mwengine. Kibongo bongo ndo huwa hatufatilii sana iz diss song lakin kwa wenzetu kule ni bora ukadisiwa na ukakaa kmya kulko ukajibu alafu ukapotezwa.
 
Playback nilfikir bongo tu kumbe hata majuu

Mkuu sikiliza vizuri, anachana live huko nyuma kuna computer inacheza back vocal tu, ndio maana unasikia chorus tu ndio anaimba nayo, lakini mistari yote ni kavukavu. Haya mambo unatakiwa uyafahamu mkuu, Ukiondoa Acoustic perfomance, mara nyingi hata bendi zinakuwa na sauti kutoka kwenye computer wakati zinapiga live.
 
We ndo kichwa maji ufalme ni mpk awe mwanaume unajua maana ya ufalme kweli ww kanjanja......afu sijasema mfalme nimesema ufalme ebu jaribu kuelewa
Ufalme unaitwaje kwa lugha ya malkia wa Uingereza?
 
Mimi nilijuaga iggy azarea ndo angekua mpinzani wa nick ila akaniangusha sana.
 
Nicki minaj ndo ajipange kufika level za Remy ma......mwaka mmoja tu toka Remy ma atoke jera kashaanza kumuhenyesha.......tafakari chukua hatua
Kumbuka kuna watu ni wazaliwa wakipindi young money ina zaliwa so kumjua remy ma na akina papoose, da brat, mss eliot, mc light, queen latifa, mob deep, WUTANG clean, ni ngumu wao wambie drake, young thug!!!

Mtu ajui kua remy ma alikua kwa gem na alikua best sell female mc, akafungwa karudi only for two years amerudi on top!!
 
Back
Top Bottom