Ilo povu sasaNick Minaj na ufalme wapi na wapi? Au tuseme Ray Van ameumaliza umalkia wa Diamond
ShetherTaja nyimbo 5 hit za Remy Ma
Acha uzwazwa shetter ni diss songShether
All the way up
Zingne malizia ww
Swali lako na mada yng vitu viwili tofauti
Nick Minaj na ufalme wapi na wapi? Au tuseme Ray Van ameumaliza umalkia wa Diamond
Hajakuelewa ndo maana anakuwa mkali.......hajui neno mfalme linaendana na jinsia ya kiume na malkia jinsia ya kike.
Tatzo unakaliliHajakuelewa ndo maana anakuwa mkali.......hajui neno mfalme linaendana na jinsia ya kiume na malkia jinsia ya kike.
Nicki minaj ndo ajipange kufika level za Remy ma......mwaka mmoja tu toka Remy ma atoke jera kashaanza kumuhenyesha.......tafakari chukua hatuaAjipange sana aweze kufika level za Nick then atafute njia ya kupanda juu
Mtoa post kichwa maji kweli... sasa mwanamke anakuwaje mfalme???????Baada ya mda mrefu kwa nick minaj kuteka soko la muziki wa rap/hip hop kwa upande wa wanawake naona ufalme wake unaanza kuanguka pole pole baada ya kurudi kwa mkali wa hip hop Remy ma na naona kiti kishafutwa vumbi na kilichobaki ni kwa Remy ma kukaa......Jana Remy ma kwnye tunzo za BET kaudhihirishia umma kuwa Nicki minaj is no longer a queen of rap baada ya kumugalagaza vibaya kwny kipengele cha best female hip hop
OK mm na kalili ukweli ni UPI?Tatzo unakalili
We ndo kichwa maji ufalme ni mpk awe mwanaume unajua maana ya ufalme kweli ww kanjanja......afu sijasema mfalme nimesema ufalme ebu jaribu kuelewaMtoa post kichwa maji kweli... sasa mwanamke anakuwaje mfalme???????