Report ya Makonda ya kutembelea mikoa 20 ikimfikia Rais tutarajie yafuatayo kutolea!

SIR- 100 anasemga yeye na JPM ni kitu kimoja.

Sasa ameanza kuumbuka baada ya mamilioni ya watu kuibuka na mabango kwenye mikutano ya Makonda.
 
Hizo taarifa za kutolewa hao watu Nani amekupa Au ni Lucas mwashambwa ?
 
hamna kitu kma hicho. hao wote nyani wa nyumba moja.
 
Ingependeza iwapo ungetoa sababu za "out".

Binafsi nimeona tatizo kubwa kwa watendaji wa vijiji, mitaa na kata.

Hii kada ninaielewa kiundani kuliko kada zote.

Ukizingatia majukumu yao ya kisheria utagundua kwamba matatizo mengi aliyoyakuta Mwenezi yalipaswa kutatuliwa na watendaji.

Kingine ni ukosefu wa elimu ya uraia.

Watu hawajui haki zao, wakionewa hawajui waende wapi, hukumu au maamuzi yakitoka hawajui yana maanisha nini.
 
11. Viwanda
12. Mkoa wa Njombe pekee ndio unaweza kusalimika
13. Wizara yenye dhamana ya PSSSF na NSSF kunyanyasa wastaafu
14. Waziri anayeshughulikia nishati hana tija cheo cha naibu waziri waziri mkuu kitaondolewa ili ajikite kwenye kusghulikia nishati kwa maslahi ya nchi na wananchi sio kuongozwa na matakwa ya wafanyabiashara wanaotaka kuuza mafuta, mitungi ya gesi na jenereta
15. Wizara mtambuka yenye dhamana ya kuhakikisha wananchi hawaendelei kutumbukizwa kwenye lindi la umasikini na maisha magumu
 
Asije akaondoka yeye peke yake kwa hali ya aina yeyote ile itakayowezekana.
 
ONDOA UPUUZI WAKO KWA USAFI GANI NA UTENDAJI GANI alionao MAKONDA kuwazidi hao uliowataja? Ikiwa hivyo basi Hii NCHI ni Takataka

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kujenga taifa kuna changamoto zake, ambazo hutatuliwa na raia wenyewe zaidi kuliko viongozi au Rais wa nchi.
Viongozi hadi Rais (serikali) hutoka kwa raia, na kama hawajielewi ndipo msingi changamoto ulipo.
Jambo muhimu ni kujua tofauti ya taifa na nchi na hivyo kupeleka lawama kwa Rais Samia siyo sawa hata kidogo. Tumuache Mama atimize majukumu yake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumsaidie na kumheshimu.
 
Hata Rais Out
 
Ni maamuzi ya Kiongozi, kumbuka kuna kunastriana .
 
Zilipendwa. Kinana na Nape walifanya vivyo hivyo kipindi cha kuelekea uchaguzi 2020.
Div. 0 anataka kuhakiki matokeo ya Div 1 . Ni hapa kwetu tuu hili linaweza kufanyika.
 
Wizara ya ardhi imemshinda KERO ni nyingi, arudishwe Lukuvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…