Report ya Makonda ya kutembelea mikoa 20 ikimfikia Rais tutarajie yafuatayo kutolea!

Makonda anampiga mama kiaina bila kuonesha sura halisi. Madudu yote ni kuonesha mama hafanyi kazi
 
Hapo labda amuondoe waziri wa elimu.
Waziri wa afya anatokea Tanga, Mambo ya ndani Ni home boy, naibu unategemea wayahudi, wasukuma na wasumbwa watamuelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…