minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Hata kama unasaka uteuzi si kwa kujitoa ufahamu kiasi hichoHivi visingizio vilisha kuwa Zilipendwa
Hata kama unasaka uteuzi si kwa kujitoa ufahamu kiasi hichoHivi visingizio vilisha kuwa Zilipendwa
Nchi Hizo haziwezi kuwa waangalizi hao watakuwa walikuja kulala Lumumba wakapewa posho na polepole wakaondoka kwenda kutengeneza report haramu ya kishetaniWaangalizi kutoka Burundi, Rwanda na Uganda. My foot? Wana kipi kipya cha mfano kutoka katika nchi zao hadi waje wasimamie uchaguzi wa Tanzania?
Upuuzi mtupu
Hiyo haiwezi kuwa report ni uhuni mtupu ni zuzu mbumbumbu juha kilaza pekee ataweza kuiita ni reportYaani ripoti za hawa wahuni wa Afrika mashariki akina Museveni ndiyo unaziita kuwa ni ripoti za kimataifa?Tumbili akimuandikia Ngedere ripoti unategemea matokeo gani?Yaani dikteta akimuandikia dikteta mwenzake ripoti unategemea upate ripoti ya aina gani?
Jamaa yako anasubiri kwenda ubelgiji kwa matibabu, wewe utabaki hapa JF ukibonyeza keyboard hadi uchoke.Hawezi kuchanganyikiwa kwa report za kutengeneza kwa njia haramu za kishetani
Acha upoyoyo Lissu mwenyewe alikiri kwa uchaguzi ulikuwa vizuri. Limekuja swala matokeo, hakubaliani na matokeo wakati alishakiri kuwa zoezi la kupiga kura limefanyika vizur.
Baada ya matokeo Lissu analaumu kwamba utaratibu wa uchaguzi ulikuwa mbovu wakati hapo awali alikuwa amekiri kuwa ni mzuri.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
😀😂😅🤣😂😅!!Hana msimamo!!! Atakuwa ameshinikizwa abadili msimamo na yule aliyekuwa amempangia kuwa ndani ya masaa 72 atakuwa Waziri Mkuu! Kwisha habari yao.
Na nyie bana acheni akili za kukurupuka. Lissu alitoa maoni ya kakituo kamoja alikopigia yeye kura.Hana msimamo!!! Atakuwa ameshinikizwa abadili msimamo na yule aliyekuwa amempangia kuwa ndani ya masaa 72 atakuwa Waziri Mkuu! Kwisha habari yao.
Mkuu, najua wewe ni mmoja ya walimu wangu. Na moja ya vitu muhimu nilivyojifunza kwako ni kujenga hoja kwa kuipa msingi/ sapoti ya ushahidi ama logics zinazoeleweka kwa watu wengi bila kutilia shaka. Hili soma lako sijalitupa kapuni.😀😂😅🤣😂😅!!
I know you don't even believe what you've written coz' hakuna popote Lissu aliposema uchaguzi umeenda vizuri zaidi ya kupitia hiyo clip ambayo alikuwa anazungumzia kituo alichopigia kura yeye!!!
Rejea posti namba 38 ya uzi huu, Mkuu.Na nyie bana acheni akili za kukurupuka. Lissu alitoa maoni ya kakituo kamoja alikopigia yeye kura.
Wewe mwenyewe haujaona yaliyotokea hadi umsubiri burundi aseme?
Tulizeni viuno mechi imeisha hiyo,Yaani ripoti za hawa wahuni wa Afrika mashariki akina Museveni ndiyo unaziita kuwa ni ripoti za kimataifa?Tumbili akimuandikia Ngedere ripoti unategemea matokeo gani?Yaani dikteta akimuandikia dikteta mwenzake ripoti unategemea upate ripoti ya aina gani?
Kwahiyo ndugu yangu TUJITEGEMEE ama hukusikiliza clip hadi mwisho, au umeamua kwa makusudi kupotosha kwa kumlisha maneno TL.Zoezi limekwenda vizuri, nafikiri kwa jinsi nilivyoona utaratibu upo vizuri. Wasimamizi wa kituo, waongozaji, mawakala, kuna kila dalili ya kuonesha kwamba KWENYE KITUO HIKI angalau mambo yamekwenda vizuri. LAKINI hapa jimboni kwangu, kwa watu wangu bado sijapata taarifa yoyote kwamba mambo hayajaenda sawasawa.