Zama hizi za sasa si za kuwa na chama kimoja kinaongoza peke yake..yaani kuanzia ma-veo, weo, ma-dc, Ma-rc, mawaziri nk siasa za sasa lazima ziwe jumuishi na shirikishi..kila kura iwe na nguvu ya matokeo, vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi na kupata idadi fulani ya kura lazima viwe na nafasi kwenye uongozi..mambo ya the winner takes all hayajatufikisha popote zaidi ya chama kukumbatia wizi, upendeleo, matumizi mabaya ya madaraka, ufisadi na ubaguzi wa kiitikadi..na hivyo si tu chadema, chama chochote kikipata ridhaa ya kuongoza peke yao hawawezi kubadilisha misingi ya uongozi wa nchi km wanavyotaka..ndio maana lazima yawepo mabadiliko ya katiba sasa!Na siku CCM kupitia machawa wao wakisema Uganda na Rwanda hawana ukomo wa Rais tuwasikilize na tuwaelewe.
Jinsi watu wa CHADEMA huwa wanapiga kelele juu ya maswala ya hii nchi unaweza kudhani ni watu makini kweli.
Hawa hawa wapambe wa Mbowe siku CHADEMA ikipewa madaraka ya kuongoza nchi, watakuja na mifano ya mbona Uganda na Rwanda hakuna ukomo wa urais.
Mimi nawashangaa mawakili wasomi wanapopigia debe suala hili. Ukomo wa uongozi katika vyama ni kujifunga mikono. Hata CCM wanajua hilo ndio maana hawana. Au ufanye usanii kama ACT-WAZALENDO ambapo Kiongozi Mkuu ameng'atuka lakini yupo sana.Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo
View: https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
Unachanganya mambo. CCM haina ukomo wa uongozi ndani yake. Wenyeviti wa CCM wanabadilika kwa sababu tu ya utaratibu wao wa Rais kuwa Mwenyekiti. Hawatakuwa na ubavu wa kutumia mfano wa CDM kama watataka kuondoa ukomo wa urais. Ukomo katika Urais hauna uhusiano kabisa na ukomo wa kwenye chama.Na siku CCM kupitia machawa wao wakisema Uganda na Rwanda hawana ukomo wa Rais tuwasikilize na tuwaelewe.
Jinsi watu wa CHADEMA huwa wanapiga kelele juu ya maswala ya hii nchi unaweza kudhani ni watu makini kweli.
Hawa hawa wapambe wa Mbowe siku CHADEMA ikipewa madaraka ya kuongoza nchi, watakuja na mifano ya mbona Uganda na Rwanda hakuna ukomo wa urais.
Ukikosa hoja unaanza kutukana........ nilitegema utoe maoni yako kwa hao wa USA/UK... sasa waleta matusiFreeman Mbowe Kamuzu Banda
Enzi za Kamuzu Banda ulikuwaga bado viunoni πππUkikosa hoja unaanza kutukana........ nilitegema utoe maoni yako kwa hao wa USA/UK... sasa waleta matusi
Usichokijua ni kwamba Katiba ya JMT na Katiba ya CCM ziliandikwa pamoja, Siku Moja na Kamati MojaUnachanganya mambo. CCM haina ukomo wa uongozi ndani yake. Wenyeviti wa CCM wanabadilika kwa sababu tu ya utaratibu wao wa Rais kuwa Mwenyekiti. Hawatakuwa na ubavu wa kutumia mfano wa CDM kama watataka kuondoa ukomo wa urais. Ukomo katika Urais hauna uhusiano kabisa na ukomo wa kwenye chama.
Amandla...
Matusi tena sasa wewe ni rafiki yangu wa JF unaanza kunitukanaEnzi za Kamuzu Banda ulikuwaga bado viunoni πππ
Katiba ya CCM imo humu na haina kikomo. Hizo ngonjera zako za ziliandikwa siku moja hazina mchango katika mada hii.Usichokijua ni kwamba Katiba ya JMT na Katiba ya CCM ziliandikwa pamoja, Siku Moja na Kamati Moja
Ndio sababu Wingi wa Kura kamwe hazitawapa Wapinzani uRais πππ Maalim Seif alilijua Hilo na Lowasa alilijua
Wapuuzi ndio Hawajui kwa upuuzi wao
Happy New Year
Ndio zao.Matusi tena sasa wewe ni rafiki yangu wa JF unaanza kunitukana
Rais wa JMT ndiye Mwenyekiti wa CCM na Amiri Jeshi mkuuNdio zao.
Amandla...
Hakuna mahali kwenye Katiba panaposema kuwa Rais wa JMT lazima awe Mwenyekiti wa CCM. Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa CCM muhula wa kwanza wa urais wa Ali Hassan Mwinyi.Rais wa JMT ndiye Mwenyekiti wa CCM na Amiri Jeshi mkuu
Sasa huoni Ukomo hapo? πΌ
Katiba siyo hayo Makaratasi angalia practice πΌπHakuna mahali kwenye Katiba panaposema kuwa Rais wa JMT lazima awe Mwenyekiti wa CCM. Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa CCM muhula wa kwanza wa urais wa Ali Hassan Mwinyi.
Kama vile haisemi kuwa mgombea wa urais lazima Mwenyekiti wa CCM. Haya mambo ya fomu moja hayamo katika Katiba yao.
Amandla...
Pamoja na kwamba nakubaliana na wewe LAKINI ndio kweli tujifunze kwa Rwanda na Uganda? Hao viongozi si ni sisi ndio tumewaweka madarakani? Sema PK hanaga shukurani tu but yule ni kijana wetu kabisa yaaniNa siku CCM kupitia machawa wao wakisema Uganda na Rwanda hawana ukomo wa Rais tuwasikilize na tuwaelewe.
Jinsi watu wa CHADEMA huwa wanapiga kelele juu ya maswala ya hii nchi unaweza kudhani ni watu makini kweli.
Hawa hawa wapambe wa Mbowe siku CHADEMA ikipewa madaraka ya kuongoza nchi, watakuja na mifano ya mbona Uganda na Rwanda hakuna ukomo wa urais.
Unachanganya mambo. CCM haina ukomo wa uongozi ndani yake. Wenyeviti wa CCM wanabadilika kwa sababu tu ya utaratibu wao wa Rais kuwa Mwenyekiti. Hawatakuwa na ubavu wa kutumia mfano wa CDM kama watataka kuondoa ukomo wa urais. Ukomo katika Urais hauna uhusiano kabisa na ukomo wa kwenye chama.
Amandla...