Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Retited. Tunza hata kidogo heshima uliyobakiwa nayo kwa watu wachache kuna mambo ukiongea watu wanasema hiiiii......Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo
View: https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
Pamoja na kwamba nakubaliana na wewe LAKINI ndio kweli tujifunze kwa Rwanda na Uganda? Hao viongozi si ni sisi ndio tumewaweka madarakani? Sema PK hanaga shukurani tu but yule ni kijana wetu kabisa yaani
Mfano wako hauna uhalisia.Usifananishe vyama vya siasa na nchi.kufananisha uongozi wa nchi na vyama vyakisiasa vinaweza ata kufutwa na nchi ikaendelea sio sawa.lakini ukiharibu mambo ya nchi,nchi inaweza kuingia kwenye machafuko na upotevu wa amani tukabaki vilema.Tujifunze kuiheshimu nchi yetu.Na siku CCM kupitia machawa wao wakisema Uganda na Rwanda hawana ukomo wa Rais tuwasikilize na tuwaelewe.
Jinsi watu wa CHADEMA huwa wanapiga kelele juu ya maswala ya hii nchi unaweza kudhani ni watu makini kweli.
Hawa hawa wapambe wa Mbowe siku CHADEMA ikipewa madaraka ya kuongoza nchi, watakuja na mifano ya mbona Uganda na Rwanda hakuna ukomo wa urais.
Kwa kweli sijui hata nitakujibu vipi. Na hiyo font yako ndio kabisa.Wewe ni chama mbadala, unapaswa kuwa mfano kuanzia kwenye taasisi yako.
Kama umegoma kuuachia uongozi wa chama ukidai bado chama kinakuhitaji na hamna wa kutosha kushika nafasi ya mwenyekiti, huoni kama unawaambia watu siku wakikuamini utatumia ujanja huo huo kubadili katiba utawale mpaka ufe?
Chama mbadala kinapaswa kuwa safi na kufanya matendo ya mfano, kama hatutoona tofauti kati ya chama mbadala na chama tawala, hamna sababu ya kuwa kinyume na chama kinachoongoza.
Na siku CCM kupitia machawa wao wakisema Uganda na Rwanda hawana ukomo wa Rais tuwasikilize na tuwaelewe.
Jinsi watu wa CHADEMA huwa wanapiga kelele juu ya maswala ya hii nchi unaweza kudhani ni watu makini kweli.
Hawa hawa wapambe wa Mbowe siku CHADEMA ikipewa madaraka ya kuongoza nchi, watakuja na mifano ya mbona Uganda na Rwanda hakuna ukomo wa urais.
Mfano wako hauna uhalisia.Usifananishe vyama vya siasa na nchi.kufananisha uongozi wa nchi na vyama vyakisiasa vinaweza ata kufutwa na nchi ikaendelea sio sawa.lakini ukiharibu mambo ya nchi,nchi inaweza kuingia kwenye machafuko na upotevu wa amani tukabaki vilema.Tujifunze kuiheshimu nchi yetu.
Kwa kweli sijui hata nitakujibu vipi. Na hiyo font yako ndio kabisa.
Amandla...
Sio hivyo. Siko humu kubishana bila sababu. Kwa sababu hiyo sitakujibu. Ninachokushukuru ni kuwa haujatumia lugha ya kebehi au matusi katika kunijibu. Natumaini kuna siku tutaweza kubadilishana mawazo katika suala lingine lakini sio hili.
Sio kitu kibaya kusema umeishiwa hoja mkuu.
Hakuna mtu anakataa hilo. Na wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ya wingi wao Bungeni na sio kwa sababu Rais ni CCM.Kwa nchi yetu chama ndio kinatawala, leo hii wanaCCM wakiamua kusiwe na ukomo wa urais WANAWEZA.
Kwamba wafute uchaguzi ili turudi tena kwenye siasa ya chama kimoja? Kinadharia wanaweza lakini in reality hawatathubutu maana itakuwa ni kutangaza wazi kuwa hamna demokrasia nchini. Hata nchi zenye mfumo wa kibabe wana vyama vya upinzani.
Leo CCM ikiamua tuwe na rais wa milele itakuwa hivyo tena kwa utaratibu wa kisheria kabisa.
Hawataweza kwa sababu hamna jinsi wataweza kushinda urais na robo tatu za wabunge. Wakifika hapo tutawapinga kama tunavyo wapinga CCM.
Sasa kama baadhi ya wana CHADEMA na mwenyekiti wao hawaamini katika ukomo wa uongozi, ni nini kitawashinda wakipewa nchi wasirekebishe sheria na tukawa na rais wa muda wote?
Kwa sababu hauwaelewi. Kuongoza nchi kama chama cha siasa ndio kumetufikisha tulipo sasa.
Huwa nawashangaa sana watu wanaosema tutofautishe vyama vya siasa na nchi katika mambo ya uongozi.
Vyama vya siasa havina ubavu huo ndio maana kila baada ya muda inabidi vitafute kuhalalishwa na wenye nchi. Ukiona chama cha siasa kina uwezo basi ujue kuna tatizo katika Katiba yao.
Hivi ni wazito kiasi kwamba hamuelewi vyama vya siasa ndio vinaamua nchi iongozwe vipi?
watu darasa la saba hapa JF hawanisumbui! "Naongea" na Ansbert, Kabendera Kabebdera na waandishi engine kama hao.....(and the like!). Kwani JF kuna nini? angalia posts zao utaona kuna tatizo kubwa la intellect ya wachangiaji.......... Walio wengi wenye akili wameachana na JF baada ya kutoka kuwa uwanja/platform ya great thinkers na kuvamia na watu kama wewe!Retited. Tunza hata kidogo heshima uliyobakiwa nayo kwa watu wachache kuna mambo ukiongea watu wanasema hiiiii......
Kwani nchi ulizozitaja hazina chaguzi za marais?Na siku CCM kupitia machawa wao wakisema Uganda na Rwanda hawana ukomo wa Rais tuwasikilize na tuwaelewe.
Jinsi watu wa CHADEMA huwa wanapiga kelele juu ya maswala ya hii nchi unaweza kudhani ni watu makini kweli.
Hawa hawa wapambe wa Mbowe siku CHADEMA ikipewa madaraka ya kuongoza nchi, watakuja na mifano ya mbona Uganda na Rwanda hakuna ukomo wa urais.
Kama ambavyo Juma Mkamia alivopendekeza kwamba tuanze kuchaguana baada ya miaka 7 ili ajipendekeze kwa Magufuli! Nimekuelewa sana kakaUkiwa unataka kufanya kitu cha hovyo huwezi kukosa mtu wa kumtumia kama rejea yako. Tena tutasema na ni wenzetu katika EAC.
Usiondoke. Bado unahitajika.watu darasa la saba hapa JF hawanisumbui! "Naongea" na Ansbert, Kabendera Kabebdera na waandishi engine kama hao.....(and the like!). Kwani JF kuna nini? angalia posts zao utaona kuna tatizo kubwa la intellect ya wachangiaji.......... Walio wengi wenye akili wameachana na JF baada ya kutoka kuwa uwanja/platform ya great thinkers na kuvamia na watu kama wewe!
For your information, I will be abandoning JF soon!
Kibongo bongo winner takes all ndio inafaa, ukishaanza Mkuu wa mkoa chadema, mara Mkuu wa wilaya ACT, bas utaanzisha varangatiZama hizi za sasa si za kuwa na chama kimoja kinaongoza peke yake..yaani kuanzia ma-veo, weo, ma-dc, Ma-rc, mawaziri nk siasa za sasa lazima ziwe jumuishi na shirikishi..kila kura iwe na nguvu ya matokeo, vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi na kupata idadi fulani ya kura lazima viwe na nafasi kwenye uongozi..mambo ya the winner takes all hayajatufikisha popote zaidi ya chama kukumbatia wizi, upendeleo, matumizi mabaya ya madaraka, ufisadi na ubaguzi wa kiitikadi..na hivyo si tu chadema, chama chochote kikipata ridhaa ya kuongoza peke yao hawawezi kubadilisha misingi ya uongozi wa nchi km wanavyotaka..ndio maana lazima yawepo mabadiliko ya katiba sasa!
Ha ha ha.... You are so pathetic. Why havent you abandoned yet? Yaani hao uliowataja ndo watu wakubwa kwako? Wewe utakuwa ndo Ntobi....watu darasa la saba hapa JF hawanisumbui! "Naongea" na Ansbert, Kabendera Kabebdera na waandishi engine kama hao.....(and the like!). Kwani JF kuna nini? angalia posts zao utaona kuna tatizo kubwa la intellect ya wachangiaji.......... Walio wengi wenye akili wameachana na JF baada ya kutoka kuwa uwanja/platform ya great thinkers na kuvamia na watu kama wewe!
For your information, I will be abandoning JF soon!
Habari ya term limit ni uminywaji wa demokrasia. Wananchi wanahitaji kupewa nafasi kumchagua kiongozi wanayemtaka pasipo kuwekewa mipaka.Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo
Ila siku CCM wakisema uingereza haina written constitution hivyo na sisi hatujitaji katiba mpya mliwaita majina yote!!Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo
View: https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU