zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
It's high time you retire, the legacy that you had established for years has gone crumbling due to your irrational judgements and views pertaining to Mbowe's chairmanship bid.watu darasa la saba hapa JF hawanisumbui! "Naongea" na Ansbert, Kabendera Kabebdera na waandishi engine kama hao.....(and the like!). Kwani JF kuna nini? angalia posts zao utaona kuna tatizo kubwa la intellect ya wachangiaji.......... Walio wengi wenye akili wameachana na JF baada ya kutoka kuwa uwanja/platform ya great thinkers na kuvamia na watu kama wewe!
For your information, I will be abandoning JF soon!
I HAVE THE SAME VIEWS ON YOU SUPPORTING LISU...A JUNIOR TRYING TO THINKIt's high time you retire, the legacy that you had established for years has gone crumbling due to your irrational judgements and views pertaining to Mbowe's chairmanship bid.
FOR EXAMPLE , I AM BLOCKING YOU!Ha ha ha.... You are so pathetic. Why havent you abandoned yet? Yaani hao uliowataja ndo watu wakubwa kwako? Wewe utakuwa ndo Ntobi....
Huyu naye ni chawa tuHuko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo
View: https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
Hatuna matatizo na maelezo au matamanio yako ww na Ngurumo, tunachosema muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita. Ni kipi hakieleweki hapo?Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo
View: https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
nani kaupitisha? Lisu? wewe?Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita.
SahihiZama hizi za sasa si za kuwa na chama kimoja kinaongoza peke yake..yaani kuanzia ma-veo, weo, ma-dc, Ma-rc, mawaziri nk siasa za sasa lazima ziwe jumuishi na shirikishi..kila kura iwe na nguvu ya matokeo, vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi na kupata idadi fulani ya kura lazima viwe na nafasi kwenye uongozi..mambo ya the winner takes all hayajatufikisha popote zaidi ya chama kukumbatia wizi, upendeleo, matumizi mabaya ya madaraka, ufisadi na ubaguzi wa kiitikadi..na hivyo si tu chadema, chama chochote kikipata ridhaa ya kuongoza peke yao hawawezi kubadilisha misingi ya uongozi wa nchi km wanavyotaka..ndio maana lazima yawepo mabadiliko ya katiba sasa!
You've been on the defensive side, that says a lot. Not a single day you've stressed what your candidate will do but rather you've reiterated how he should keep a tight grip in power!!I HAVE THE SAME VIEWS ON YOU SUPPORTING LISU...A JUNIOR TRYING TO THINK
My only concern is the way/the means Lisu is advancing/ "proposing" to attain power! Ka kukigawa chama kama NCCR Mageuzi?You've been on the defensive side, that says a lot. Not a single day you've stressed what your candidate will do but rather you've reiterated how he should keep a tight grip in power!!
In some instances you've suggested voter fraud for Mbowe to keep power by "any means". Is that rational?
The platform will be a much better place if you indeed retire
Mleta mada ametuasa kufikirisha kichwa , unachosema wewe ni tofauti..Na siku CCM kupitia machawa wao wakisema Uganda na Rwanda hawana ukomo wa Rais tuwasikilize na tuwaelewe.
Jinsi watu wa CHADEMA huwa wanapiga kelele juu ya maswala ya hii nchi unaweza kudhani ni watu makini kweli.
Hawa hawa wapambe wa Mbowe siku CHADEMA ikipewa madaraka ya kuongoza nchi, watakuja na mifano ya mbona Uganda na Rwanda hakuna ukomo wa urais.
Ndio Mbowe apishe sasa mbona republicans waliachia MAGA movement itawale chama na leo wananufaika. Ila wangepambana naye chama kingewafiaMy only concern is the way/the means Lisu is advancing/ "proposing" to attain power! Ka kukigawa chama kama NCCR Mageuzi?
The man is contesting for.....how comes anakigawa chama? Yeye ameweka wazi madhaifu ya uongozi huu na njia ya kuutoa ni kugombea full stop anakigawaje hapo?My only concern is the way/the means Lisu is advancing/ "proposing" to attain power! Ka kukigawa chama kama NCCR Mageuzi?