Mkuu Mzee Mwanakijiji,
Kuna siku nilichambua kanuni humu baada ya Mhe. Speaker kukasirika na kuamuru hakuna cha muongozo wa spika wa cha nini, bunge linaendelea!. Nakauli mamlaka hayo ya kuzuia muongozo wa spika, huyu mama anayapata wapi?,
Sikujibiwa!.
Juzi mbunge ametoa hoja binafsi, kwa kanuni za bunge, serikari inatakiwa kujibu hoja, waziri anasimama anatoa hoja ya kuiwithraw hoja ya mbunge!, spika anaridhia!. Kwa mujibu wa kanuni, hoja ikishakubaliwa, mwenye mamlaka ya kuiondoa kabla haijajadiliwa ni mbunge mtoa hoja only!, no one else!.
Tangu mama Makinda anachaguliwa, nilikuwepo Dodoma!, nilipost hii kitu,
Bunge la 10: A Wrong 1st Step!, A Wrong 1st Start! . Press Conference yake ya kwanza nilihudhuria, na nilimuuliza kuhusu kupigiwa upatu wa nafasi hiyo na kumtajia waliompigia upatu huo, akawaruka!,
Spika Makinda Press Conference Live!.
Sio mara moja wa mbili, Mhe. Spika amejidhihirisha her ignorance on kanuni, kitendo cha kuzifuta hoja zote binafsi, ni uthibitisho wa udhaifu wake kuendesha bunge, hivyo kwa kifupi, Spika wa Bunge Mhe. Anne Semamba Makinda (MP), ameshindwa Kazi!.
When she was picked to top kutokana na "alichonacho", CCM thought that she was an "asset!", now she has proven beyond reasonable doubt that she is a not an asset anymore but she is a liability waiting for disposal!. Kama kawaida yao CCM watagangamala naye, this makes the 2015 job more easier!.
Pasco.