Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"
Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.
Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.
Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.
Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.
Paskali
Rejea.

Naunga mkono hoja,Kwema Wakuu!
Nimeona nami kwa nafasi yangu hata kama ni ndogo, niishauri serikali kuhusu haya maandamano ya hawa ndugu zetu wa CHADEMA.
Hakuna haja ya kutumia mabavu na ubabe kuzuia CHADEMA kuonyesha hisia za Maumivu ya ndugu zao waliouawa na kutekwa. Ni wanachama wenzao.
Mimi acha nipumzike Sasa. Tutasimama upande wenye HAKI.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"
Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.
Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.
Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.
Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.
Paskali
Rejea.
- Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
- Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?
- Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?