Resilience ya 4R za Samia Put 2Test: Kuacha Waandamane, She Has Everything 2Gain & Nothing 2Lose, Kuwazuia, She has Everything 2Lose, Nothing 2Gain!

Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"

Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.

Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.

Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.

Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.

Paskali

Rejea.
Well said Pascal Mayalla , mama anapotoshwa kizembe sana
 
Bilashaka yoyote,
kuna uwezekano huyo sio mwalimu Pascal Mayalla kuna mtu ndio anaendesha account yake ya JF leo sasa hivi, au mwaandishi huyu nguli wa habari kuna changamoto anapitia, kwasabb pia kitambo kidogo binafsi sijapata kuona darasa lake muhimu humu jukwaani,

ila kwa hili la kuunga mkono maandamano haramu ya Chadema ya Samia Must Go, ambayo yalipigwa marufuku mapema sana na polisi Tanzania, mwanasheria huyu ametia shaka uwezo wake kifikra juu ya masuala haya, na kuweka rehani heshima yake kwa kiasi kikubwa mno miongoni mwa wana JF.
Ni uhuru na haki yake sawa,

Lakini kweli mwanasheria mbobevu, kuunga mkono Chama Cha Demokrasia, kuvuruga na kunajisi Demokrasia, ambayo ndio msingi wa kuanzishwa kwake? kweli ? hii kweli ndio ile mbwa kala mbwa🐒
Kama kwa bandiko hili kapoteza heshima yake, basi kapoteza kwa watawala aliokuwa anajipendekeza kwao.
 
Usitake kupotosha, hakuna habari za Samia must Go, katazame kibali kilichombwa polisi kama kuna neno Samia must go. Ukweli ni kuwa huku Mpkutekwa kwa wapinzani kuna mkono wa huyo Samia, na hii nguvu kubwa anayotumia, lengo lake ni kuficha ukweli wa hiyo strategy yake ya kuteka na kuua wapinzani ili aogopwe.

Kwakuwa alichoagiza cha kutekwa na kuuwawa kwa wapinzani kimebakifire, na hayuko tayari ukweli huu kufahamika ndio analeta jazba, na kutumia madaraka yake kuzuia maandamano ili asiwajibike.
Mpaka hapa, teyari wameshaanikwa dunia nzima na media zote zinafuatlia yanayoendelea. Walifikiri wataendelea tu kuuwa watu na watu wakabaki kimya.
 
Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"

Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.

Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.

Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.

Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.

Paskali

Rejea.

Andiko la Maana, mtazamo makini!
 
Usitake kupotosha, hakuna habari za Samia must Go, katazame kibali kilichombwa polisi kama kuna neno Samia must go. Ukweli ni kuwa huku kutekwa kwa wapinzani kuna mkono wa huyo Samia, na hii nguvu kubwa anayotumia, lengo lake ni kuficha ukweli wa hiyo strategy yake ya kuteka na kuua wapinzani ili aogopwe.

Kwakuwa alichoagiza cha kutekwa na kuuwawa kwa wapinzani kimebakifire, na hayuko tayari ukweli huu kufahamika ndio analeta jazba, na kutumia madaraka yake kuzuia maandamano ili asiwajibike.
Kwani gentleman,
si tulikua wote kwenye ile press conference siku ile chairman Taifa anaitangazia Dunia kwa mbwembwe sana , na tulipiga makofi na kushangilia mno, alipoeleza dhumuni la maandamano ya Samia must go?🤣

alibadilisha saa ngapi tena? Na hayo mambo ya barua yametoka wapi tena
 
Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"

Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.

Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.

Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.

Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.

Paskali

Rejea.
Uwaache watu waandamane na slogan ya samia must go!?
 
1. Unapenda serikali yetu iwe kama ile ya samaki?

2. Unapenda ukoloni mamboleo? Yaani serikali yetu iwe inaelekezwa cha kufanya na mataifa ya Amerika, Uingereza na Canada?

3. Unataka polisi wa Uingereza (Scotland yard) ndiyo wawe criminal investigators wa nchi yetu? Wawe wanavinjari kwenye vijiwe vyetu? Hii ni akili kweli?

4. Unataka hizo 4Rs ndiyo ziwe mbadala wa sheria zetu na katiba yetu? Mama kawabembeleza sana hawa chadema lakini wapi: hawana adabu, wanamtukana na wanasema she must go. Mbona wale wa vyama vingine tunaendelea nao vizuri tu kwa kutumia hizo 4Rs na nchi inaenda vizuri.

5. Hawa jamaa (chadema) wameshindikana. Hizo 4Rs kwao hazifui dafu. Sasa ulitaka waachwe tu, nchi yetu iingie kwenye machafuko kama tunayoyashuhudia kwa majirani wetu na kwingineko duniani? Ili tumufurahishe Mwamerika na Muingereza?

6. Samia haondoki bali wao ndiyo wataondoka. Mbowe and Lissu must go. Hii ndiyo msingi wa good governess.
 
Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"

Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.

Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.

Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.

Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.

Paskali

Rejea.
You are right Hon. Senior Journalist and Learned Counsel

Authority flexing muscle against someone not armed and who merely demonstrates an emotional show-off is ridiculous...

Again, it is the misuse of resources funded by normal citizens circumventing every corner of the streets and village with vivid threat mode waylaying to apprehend the would-be statesmen arbitrarily.

The best wisdom ever to recall is to leave them expressing their political grievances which certainly won't cause turbulence in the tranquility of the country as it is being rhetorically propagated.

Key takeaway: Differing religious beliefs, traditional cultures, ideologies, and political values among the Tanzanians should not invite animosity toward each other. Abstain being a reason for unnecessary atrocity.....
 
Mawazo ya busara! Samia lazima aoneshe kuwa ni Presidential material kwa kuchapa atakayeandamana. Hiyo ndiyo nguvu ya dola
Waswahili wanasema "ukicheka na nyani utavuna mabua".

CDM walipewa 4R, kesi za kubambikiziwa na Magufuli zikafutwa, waliokuwa ukimbizini Canada na Belgium wakarudi, walikuwa wanadai fidia ya hela walizonyang'anywa wakapewa.

Ila walimkosea sana Rais kwa namna ya haiba yake, wakasahau kuwa URais ni Taasisi. Kuna wakati wamekuwa wanatoa matamko utadhani CDM ndiyo wako Ikulu

Sasa nawataarifu tu kuwa wana deal na TAASISI na siyo Samia
 
Zile 4R ulikuwa utapeli kama utapeli mwingine. Lengo ilikuwa ni kumfanya Samia atawale bila pressure ya wapinzani. Lakini baada ya wapinzani kumkemea Samia wazi wazi tena kwa lugha kali kwa kugawa raslimali zetu, ameona bora aige tabia za Magufuli dhidi ya wapinzani, amepotea kwenye zile 4R ambazo msingi wake ulikuwa ni hadaa.
You can't eat a cake and have it simultaneously. Amekupa 4R halafu unaendeleza siasa zisizo na heshima na zilizojaa matusi.

Samia might be gentle and humble, but the power behind her are coercive and violent.

Now you are dealing with the state apparatus, be prepared for the worst
 
Usitake kupotosha, hakuna habari za Samia must Go, katazame kibali kilichombwa polisi kama kuna neno Samia must go. Ukweli ni kuwa huku kutekwa kwa wapinzani kuna mkono wa huyo Samia, na hii nguvu kubwa anayotumia, lengo lake ni kuficha ukweli wa hiyo strategy yake ya kuteka na kuua wapinzani ili aogopwe.

Kwakuwa alichoagiza cha kutekwa na kuuwawa kwa wapinzani kimebakifire, na hayuko tayari ukweli huu kufahamika ndio analeta jazba, na kutumia madaraka yake kuzuia maandamano ili asiwajibike.
Wenye kazi yao wana taarifa nyingi kuliko zako. Hata kama kwenye barua ya kuomba kibali Polisi hawajaandika lakini ushahidi wanao TISS. Ni bora kuzuia maandamano yenye INSANITY kama haya kuliko kuyaacha yakaleta madhara mabaya.
 
Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"

Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.

Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.

Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.

Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.

Paskali

Rejea.
Bahati mbaya tuna kiongozi mwenye ubongo wa ndege! hawezi chambua lolote! Anaingizwa mkenge na wanaomtakia mabaya hajielewi! asipojiangalia Hague inamsubiri kama mamba wa mto mara! Wenye akili akina Comrade Kinana walijiengua mapema wameenda zao canada kutafuna walichochuma hapa!
 
Wenye kazi yao wana taarifa nyingi kuliko zako. Hata kama kwenye barua ya kuomba kibali Polisi hawajaandika lakini ushahidi wanao TISS. Ni bora kuzuia maandamano yenye INSANITY kama haya kuliko kuyaacha yakaleta madhara mabaya.
Of course TISS ndiye mtuhumiwa mkuu! lazima atoe ushauri kama huu!
 
You can't eat a cake and have it simultaneously. Amekupa 4R halafu unaendeleza siasa zisizo na heshima na zilizojaa matusi.

Samia might be gentle and humble, but the power behind her are coercive and violent.

Now you are dealing with the state apparatus, be prepared for the worst
Who cares?
 
Sasa sa100 must go Ina ubaya Gani ilhali Yeye si malkia Elizabeth?
Treason. Rais Samia ataondoka kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 toleo la 2000 na siyo maandamano.

CHADEMA wamepoteza mwelekeo kwa kuwa wameshindwa kuleta ushawishi wa kisera kwa wananchi. Wanafikiri mob psychology na public sympathy vitawasaidia.
 
Back
Top Bottom