Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kinana hajajiengua, bali ameenguliwa. You need to have more than 3 Ds to comprehend this oneBahati mbaya tuna kiongozi mwenye ubongo wa ndege! hawezi chambua lolote! Anaingizwa mkenge na wanaomtakia mabaya hajielewi! asipojiangalia Hague inamsubiri kama mamba wa mto mara! Wenye akili akina Comrade Kinana walijiengua mapema wameenda zao canada kutafuna walichochuma hapa!