Resilience ya 4R za Samia Put 2Test: Kuacha Waandamane, She Has Everything 2Gain & Nothing 2Lose, Kuwazuia, She has Everything 2Lose, Nothing 2Gain!

Well said Pascal Mayalla , mama anapotoshwa kizembe sana
 
Kama kwa bandiko hili kapoteza heshima yake, basi kapoteza kwa watawala aliokuwa anajipendekeza kwao.
 
Mpaka hapa, teyari wameshaanikwa dunia nzima na media zote zinafuatlia yanayoendelea. Walifikiri wataendelea tu kuuwa watu na watu wakabaki kimya.
 

Andiko la Maana, mtazamo makini!
 
Kwani gentleman,
si tulikua wote kwenye ile press conference siku ile chairman Taifa anaitangazia Dunia kwa mbwembwe sana , na tulipiga makofi na kushangilia mno, alipoeleza dhumuni la maandamano ya Samia must go?🤣

alibadilisha saa ngapi tena? Na hayo mambo ya barua yametoka wapi tena
 
Uwaache watu waandamane na slogan ya samia must go!?
 
1. Unapenda serikali yetu iwe kama ile ya samaki?

2. Unapenda ukoloni mamboleo? Yaani serikali yetu iwe inaelekezwa cha kufanya na mataifa ya Amerika, Uingereza na Canada?

3. Unataka polisi wa Uingereza (Scotland yard) ndiyo wawe criminal investigators wa nchi yetu? Wawe wanavinjari kwenye vijiwe vyetu? Hii ni akili kweli?

4. Unataka hizo 4Rs ndiyo ziwe mbadala wa sheria zetu na katiba yetu? Mama kawabembeleza sana hawa chadema lakini wapi: hawana adabu, wanamtukana na wanasema she must go. Mbona wale wa vyama vingine tunaendelea nao vizuri tu kwa kutumia hizo 4Rs na nchi inaenda vizuri.

5. Hawa jamaa (chadema) wameshindikana. Hizo 4Rs kwao hazifui dafu. Sasa ulitaka waachwe tu, nchi yetu iingie kwenye machafuko kama tunayoyashuhudia kwa majirani wetu na kwingineko duniani? Ili tumufurahishe Mwamerika na Muingereza?

6. Samia haondoki bali wao ndiyo wataondoka. Mbowe and Lissu must go. Hii ndiyo msingi wa good governess.
 
You are right Hon. Senior Journalist and Learned Counsel

Authority flexing muscle against someone not armed and who merely demonstrates an emotional show-off is ridiculous...

Again, it is the misuse of resources funded by normal citizens circumventing every corner of the streets and village with vivid threat mode waylaying to apprehend the would-be statesmen arbitrarily.

The best wisdom ever to recall is to leave them expressing their political grievances which certainly won't cause turbulence in the tranquility of the country as it is being rhetorically propagated.

Key takeaway: Differing religious beliefs, traditional cultures, ideologies, and political values among the Tanzanians should not invite animosity toward each other. Abstain being a reason for unnecessary atrocity.....
 
Mawazo ya busara! Samia lazima aoneshe kuwa ni Presidential material kwa kuchapa atakayeandamana. Hiyo ndiyo nguvu ya dola
Waswahili wanasema "ukicheka na nyani utavuna mabua".

CDM walipewa 4R, kesi za kubambikiziwa na Magufuli zikafutwa, waliokuwa ukimbizini Canada na Belgium wakarudi, walikuwa wanadai fidia ya hela walizonyang'anywa wakapewa.

Ila walimkosea sana Rais kwa namna ya haiba yake, wakasahau kuwa URais ni Taasisi. Kuna wakati wamekuwa wanatoa matamko utadhani CDM ndiyo wako Ikulu

Sasa nawataarifu tu kuwa wana deal na TAASISI na siyo Samia
 
You can't eat a cake and have it simultaneously. Amekupa 4R halafu unaendeleza siasa zisizo na heshima na zilizojaa matusi.

Samia might be gentle and humble, but the power behind her are coercive and violent.

Now you are dealing with the state apparatus, be prepared for the worst
 
Wenye kazi yao wana taarifa nyingi kuliko zako. Hata kama kwenye barua ya kuomba kibali Polisi hawajaandika lakini ushahidi wanao TISS. Ni bora kuzuia maandamano yenye INSANITY kama haya kuliko kuyaacha yakaleta madhara mabaya.
 
Bahati mbaya tuna kiongozi mwenye ubongo wa ndege! hawezi chambua lolote! Anaingizwa mkenge na wanaomtakia mabaya hajielewi! asipojiangalia Hague inamsubiri kama mamba wa mto mara! Wenye akili akina Comrade Kinana walijiengua mapema wameenda zao canada kutafuna walichochuma hapa!
 
Wenye kazi yao wana taarifa nyingi kuliko zako. Hata kama kwenye barua ya kuomba kibali Polisi hawajaandika lakini ushahidi wanao TISS. Ni bora kuzuia maandamano yenye INSANITY kama haya kuliko kuyaacha yakaleta madhara mabaya.
Of course TISS ndiye mtuhumiwa mkuu! lazima atoe ushauri kama huu!
 
Who cares?
 
Sasa sa100 must go Ina ubaya Gani ilhali Yeye si malkia Elizabeth?
Treason. Rais Samia ataondoka kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 toleo la 2000 na siyo maandamano.

CHADEMA wamepoteza mwelekeo kwa kuwa wameshindwa kuleta ushawishi wa kisera kwa wananchi. Wanafikiri mob psychology na public sympathy vitawasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…