Kinana hajajiengua, bali ameenguliwa. You need to have more than 3 Ds to comprehend this oneBahati mbaya tuna kiongozi mwenye ubongo wa ndege! hawezi chambua lolote! Anaingizwa mkenge na wanaomtakia mabaya hajielewi! asipojiangalia Hague inamsubiri kama mamba wa mto mara! Wenye akili akina Comrade Kinana walijiengua mapema wameenda zao canada kutafuna walichochuma hapa!
Taarifa za kubumba sio taarifa. Katika taasisi zilizokosa uadilifu ni pamoja na hao TISS.Wenye kazi yao wana taarifa nyingi kuliko zako. Hata kama kwenye barua ya kuomba kibali Polisi hawajaandika lakini ushahidi wanao TISS. Ni bora kuzuia maandamano yenye INSANITY kama haya kuliko kuyaacha yakaleta madhara mabaya.
Form 4 failure wa CCP anajua hili!Kinana hajajiengua, bali ameenguliwa. You need to have more than 3 Ds to comprehend this one
Wapi CHADEMA wamesema kuwa Samia must go today?Treason. Rais Samia ataondoka kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 toleo la 2000 na siyo maandamano.
CHADEMA wamepoteza mwelekeo kwa kuwa wameshindwa kuleta ushawishi wa kisera kwa wananchi. Wanafikiri mob psychology na public sympathy vitawasaidia.
Absolutely.You care of course and your fellow Chademanians
Naunga mkono hoja πWanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani
Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"
Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.
Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.
Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.
Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.
Paskali
Rejea.
- Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
- Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?
- Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?
"Watu wasiojulikana" wamempa taharuki mno (panic mode) kiasi ambacho na ninadiriki kusema kimemfanya ashindwe maamuzi ya hekima.Wanabodi,

If you are a better cop than TISS then provide here what do you haveTaarifa za kubumba sio taarifa. Katika taasisi zilizokosa uadilifu ni pamoja na hao TISS.
Mkuu this is a very good analysis. πππ€πWanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani
Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"
Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.
Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.
Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.
Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.
Paskali
Rejea.
- Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
- Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?
- Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?
Dah! Kaka Paskali unatarajia kweli kutangaza nia mwakani au uliishaamua kumwachia Askofu?Wanabodi,

Hii hapa kama hujaisikia wewe ni introvert;Wapi CHADEMA wamesema kuwa Samia must go today?
Lengo la CHADEMA must go ni kuushawishi umma wa Watanzania kuikataa CCM na Samia, kuanzia ngazi ya Kijiji kwenye Serikali za mitaa Nov na uchaguzi mkuu 2025.
Uhaini ni kitendo, Si kushika bango na kuimba.
Hii ni Nchi ya kidemokrasia sio police state.
Umeelewa?
Pole sana Mzee Pascal Mayalla na wenzako kwa kuamini utapeli wa kisiasa uliopewa jina la maridhiano.Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani
Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"
Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.
Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.
Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.
Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.
Paskali
Rejea.
- Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
- Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?
- Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?
It's not my responsibility, but I know our TISS cooks informations.If you a better than TISS then provide here what do you have
Manake ni kupitia sanduku la kura 2025mi nikajua hata unafafanua maana ya SAMIA MUST GO gentleman π€£
sasa fujo za nini 2024 gentleman π€£Manake ni kupitia sanduku la kura 2025
Siyo fujo ni kuhamasisha kuelekea 2025.Sorry,mimi ni SHEsasa fujo za nini 2024 gentleman π€£
okay madam pole, id za kijuba hizi kutambua jinsia unahitaji intelijensia ya juu kidogo,Siyo fujo ni kuhamasisha kuelekea 2025.Sorry,mimi ni SHE
PaskalWanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani
Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
na nikalishauri jeshi letu la polisi Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na kuwasisitiza polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu Kakamavu na Adilifu la La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, Kwenye Maandamano Yetu, Please Msigeuke. Gestapo au Makaburu!"
Hivyo leo hii ndio kwa mara ya kwanza, hii falsafa ya R ya Resilience kwenye 4R za Rais Samia, is put to a test, je kwenye hizi 4R za Rais Samia, do we real mean it, or just paying lip services for just preaching only, and don't practice what we preach?.
Rais Samia akiwaacha Chadema waandamane, japo watatamba sana, but She'll have everything to gain & nothing to lose, kwa kuwazuia kuandamana kwa kuwatandika, She'll have everything to lose, and nothing gain!.
Hiki ni kipimo cha busara za Mama. Wangwana wanashauri, if coughs between the two devils, choose the lesser!.
Je CinC wetu amechagua nini?.
Time will tell!.
Paskali
Rejea.
- Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
- Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?
- Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?
No worries πokay madam pole, id za kijuba hizi kutambua jinsia unahitaji intelijensia ya juu kidogo,
but hiki sio kipindi cha uchaguzi wala kampeni za uchaguzi, huo sio uhaini kweli?π