Resilience ya 4R za Samia Put 2Test: Kuacha Waandamane, She Has Everything 2Gain & Nothing 2Lose, Kuwazuia, She has Everything 2Lose, Nothing 2Gain!



Tatizo yeye hata hajui wabaya wake!
 
No worries 👍
Kuna waziri flani, majuzi alisema Rais akimaliza kipindi hiki ni mitano tena na mitano tena. Hii tuiweke kwenye uchaguzi au wapi kwa sababu katiba itakuwa imevunjwa.
bilashaka yoyote alikua akiizungumza na wanachama wa chama chake🐒
 
Sasa ushauri mzuri kama huu kwa nini unautoa baada ya MTU kukosea wakati ungeweza kumshauri siku tatu zikizopita.
 
So far the scoreboard shows:-
Reconciliation minus 100%
Resilience minus 100%
Reform minus 100%
Rebuild minus 100%

Kazi iendelee
 
Hague ya Buza Kwa Mpalange labda. Yaani hiyo ICC mumeiona ni sawa Mahaka ya Kisutu siyo!!
 


Ukiangalia jinsi matumizi ya nguvu yalivyo, unashangaa, kulikoni. Kuna kitu hakiko sawa ila sijajua ni wapi. Hawa tunawaita wapinzani, kama wakiachwa bila kupewa attention, sidhani kama impact yao matters.

Unapotumia nguvu sana, watu wanaanza kuwasikia na kuwachukulia serious. Kiufupi, ni kama wanafanyiwa marketing, tena ndani na nje ya nchi.

Katika kujiuliza, nikakumbuka hadithi moja ya Steven Covey kwenye kitabu chake cha 7 habits of Highly Effective People kuhusu trim tab, ambayo ni kifaa kidogo kitumikacho kubadili mwelekeo wa ndege au meli....tusije kudharau haya mambo madogo. Huwa yanazalisha mambo mengine makubwa sana, tena kwa muda mfupi tu...mwenye masikio na asikie, ila chini naweka yale aliyoyaandika Steven Covey, maana sio maneno yangu

"In "The 7 Habits of Highly Effective People," Stephen Covey mentions the concept of a trim tab in his discussion of Habit 1: Be Proactive. Covey refers to the trim tab as a metaphor for the small, seemingly insignificant actions that can lead to major changes.

A trim tab is a small rudder on the larger rudder of a ship or airplane. Even though it’s tiny compared to the vessel, the trim tab exerts a significant influence on the direction the vessel takes, as it helps steer the larger rudder. Covey uses this analogy to highlight how proactive individuals can make small, intentional choices that have a large, positive impact over time.

The idea is that while we may not have control over everything that happens in our lives, we do have control over how we respond—our proactive, "trim tab" actions can steer our lives in the direction we want. This concept is linked to personal responsibility and the power of choice in shaping outcomes."
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…